Siri nzito;sali usiku wa leo kukemea kikao cha freemassons kesho

Hapa waislam hawaruhusiwi kuomba maana aya zao zinasema majini ni viumbe wa mungu wao,ambao ndo wanatumiwa na freemasons!

Mkuu!
Just to correct :(

Majini na Binadamu wote ni viumbe wa Mungu na ndinyo ilivyo.

Kama ilivyo kwa Binaadamu, Majini pia kuna wanaotenda mambo mema na wanaotenda mabaya.

Hivyox2 ktk freemasons kuna members ambao ni binaadamu na majini baina yao.

Naomba uofautishe kati ya ufreemason na uislam.

Pia naomba tuheshimiani na tuvumuliane tofauti zetu za kidini na tuangalie maendeleo ya nchi yetu, tuepukane na chokochoko za kidini zisizo na maana wakati ndugu zetu wanakosa hata mlo mmoja huko vijijini.

Kuomba ni sawa na kuomba kwetu ni sharti kuwe sawa sawa na mapenzi ya Mungu, ambayo ni neno lake.
Katika kitabu kuna aya ambayo inasema hivi watu wangu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Hivi kama members wa freemasons ni baazi ya viongozi wetu wa kisiasa na wa kidini, ambao sisi ni wafuasi wao tena washabiki wa matendo yao tutarudi je basi kizani kuomba kinyume na wale tuliowasifia nuruni? Umaskini tulio nao umesababishwa na mikataba mibovu iliyopelekea udhaifu wa kiafya hasa akili kushindwa kufanya kazi za kutupa kipato cha halali. Tumeshindwa nini kuzitumia sheria zetu kuwashughulikia hawa wahalifu wa kisiasa na kidini ikiwa ushahidi tunao? Kama huna ujasiri wa kuliondoa ovu phisically usitarajie kuomba juu ya hilo uvu kuondolewa na mwingine kwa niaba yako.
Cha kuzingatia katika suala hili ni kujiuliza ikiwa kikao hicho cha hao mafreemason ni hatari kwetu ni kuchukua hatua ya kuzuia kibali chao kukutana kwa mujibu wa sheria hata ikibidi kutumia mahakama kuzuia ama kushinikiza uongozi kutengua kikao hicho. Cha kuzingatia hapa ni kuwa na ushahidi wa madai yetu.
Mimi freemasons nawasikia na nilijaribu kupata undani wao kidogo kupitia simulizi la Dan Brown katika utunzi wake wa Angels and demons. Nimewachukia sana kutumia kitabu cha biblia katika tafsiri potofu. Hasa pale wanaposema kuwa ile binadamu aweze kum-experience mungu ni sharti awe amebalehe na ni kwa tendo la ngono mtu huyo anapata experience kwa mungu. Halafu kuna sherehe yao ya millenia wanaifanya baada ya ibada yao ya wanaume walioko ibadani kuanza kungonoana na wanawake waliohudhuria ibadani. Hii inafanyika bila kujua anaeingilia/ingiliwa na nani maana wanakuwa wamevaa masks's. Kwa habari ya ibada hatuna sheria ya kuwapinga maana nchi yetu tumekubali kila mtu aamini anachoamini bila kuvunja sheria za nchi. Hii imepelekea kila mwenye uwezo wa kuanzisha muungano wa kiibada kufanya hivyo na karibu yote yanafanana, maana kimsingi hakuna dhehebu linalokubaliana na jingine na wala hakuna lisiloamini kuwa lenyewe ndilo pekee la kweli.
HIVYO KATIKA KUOMBA TUJILILIE SISI WENYEWE NA WATOTO WETU, ILI MUNGU ATUEPUSHE KUWA SEHEMU YA UPOTOFU UNAOTUKUZWA MNO DUNIANI LEO.

Asante mkuu kwa taarifa... Ila yasije kuwa yale yale tuliyoyazoea ya May 21, 2011 ndio mwisho wa dunia

i hate those damn stories about freemasons...i can say they dont exist.. why we africans behaving like this? look!! missionaries came in africa with bible and at period we had land.. but now they left us with bible and they have land.. ndio maana sipendi hizi scary stories..waafrica tunapenda sana kumezeshwa vitu especcially kama hicho kitu kimetoka kwa wazungu.. i have beenliving in europe na sijawahi kuwaoana wazungu wakienda kanisani na wengine wanasema kabisa hakuna Mungu na wanaishi raha mustarehe wengine wanathubutu kusema kabisa kuwa waafrica ni maskini wa kutupwa ndio maana wanamwamini Mungu ili kujifariji... i dont believe in this shit(freemasons)
Mkuu hawa watu wapo na wana nguvu sana, Ila MUNGU ni mwisho wa maneno yoooooooooote.
Kutomwamini Mungu haina maana kuwa hutoishi maisha unayoyataka, Lakini mwisho wa siku Mungu anabaki kuwa Mungu. Kwa Mtizamo wangu mimi kama mimi nasema kuwa hauhitaji Upeo mkubwa sana wa kufikiri kujua kuwa kuna Mungu. Ila tumepewa Uhuru, Uhuru ambao siku ya mwisho mungu anauchukua kupitia Kifo, hapo ndio mwisho ma uhuru wa Binadamu.

Hakika kama kuna asieamini mungu basi mungu yupo kuna waraka waliouona wana freemassons

wamepanga tar 30 july 2011 kufanya kikao cha kuyaangamiza makanisa ya kiroho yanayosumbua

uliomweengu wa mashetan...kama ulikuwa aujui hii iko live

ndugu wapendwa shetan ni mbaya na mjanja klama hutomuwahi shetani atakuwahi so usiku wa leo

usilale amka usiku kemea nguvu zote walizopanga kwa ajili ya kuyaribu na kuyafarakanisha makanisa na wachungaji

ili nguvu za mungu zisitende kazi naamini mungu alie hai atawavuruga in jesus name...natangaza upofu na kila atakaeongea kuhusu hilo mungu akamuangamize kuanzia mguu aaliosimamia mpaka mdomo atakaoongea

soma

zab 24,97,99 usiku wa leo pambana ndugu mashetan awalali hao wanakuangamiza kesho usipowawahi wanakumaliza wewe

mungu awaabariki siku zote sisini washindi

Chanzo cha habari ni wapi?/nini?, hata hivyo umechelewa kwani makanisa ya kiroho yalishasambaratika zamani- ni drug dealers, ni wezi na wanyanganyi wa mashamba, ni wadanganyifi, ni mafisadi wa mali za waamini etec, need to say more?.........

Hapa waislam hawaruhusiwi kuomba maana aya zao zinasema majini ni viumbe wa mungu wao,ambao ndo wanatumiwa na freemasons!

............. kama unajua majini ni viumbe na wapo, wameumbwa na nani !? na kama hawapo, kuna haja gani yakuogopa kisichokuwepo ambacho unajua hakipo ?
............... Nani kaumba majini ! je, kuna waumbaji wangapi ? huyu kaumba majini, huyu watu, huyu malaika, huyu mashetani huyu mapepo !
narudia tena ..................... waumbaji ni wangapi ? kama una amini nilivyovitaja vipo hapa Duniani

Hapa waislam hawaruhusiwi kuomba maana aya zao zinasema majini ni viumbe wa mungu wao,ambao ndo wanatumiwa na freemasons!

Acha ujinga. Uislam umehusu nini hapa. Yaliyotakiwa kufanya sala za maombi ni Makanisa tu. Pumbaff zako. Waislam wana taratibu zao, si wajinga.

Mungu ni mkubwa na mwenye nguvu za ajabu aliyalinda ,anayalinda na ataendelea kuyalinda makanisa yake daima na milele!

acha ujinga. Uislam umehusu nini hapa. Yaliyotakiwa kufanya sala za maombi ni makanisa tu. Pumbaff zako. Waislam wana taratibu zao, si wajinga.

safety
tuwe makini tunachoandika tusilete mgongano wakimaslahi akuna ukristo wala uislamu humu tuandike kilichoandikwa

Hakika kama kuna asieamini mungu basi mungu yupo kuna waraka waliouona wana freemassons

wamepanga tar 30 july 2011 kufanya kikao cha kuyaangamiza makanisa ya kiroho yanayosumbua

uliomweengu wa mashetan...kama ulikuwa aujui hii iko live

ndugu wapendwa shetan ni mbaya na mjanja klama hutomuwahi shetani atakuwahi so usiku wa leo

usilale amka usiku kemea nguvu zote walizopanga kwa ajili ya kuyaribu na kuyafarakanisha makanisa na wachungaji

ili nguvu za mungu zisitende kazi naamini mungu alie hai atawavuruga in jesus name...natangaza upofu na kila atakaeongea kuhusu hilo mungu akamuangamize kuanzia mguu aaliosimamia mpaka mdomo atakaoongea

soma

zab 24,97,99 usiku wa leo pambana ndugu mashetan awalali hao wanakuangamiza kesho usipowawahi wanakumaliza wewe

mungu awaabariki siku zote sisini washindi

tutakesha na kukemea nguvu zote na hila za yule muovu.
Attach basi nakala ya huo waraka wa siri ili tukuelewe zaidi

tutakesha na kukemea nguvu zote na hila za yule muovu.
Attach basi nakala ya huo waraka wa siri ili tukuelewe zaidi

mkuu unataka kuwa tiomaso umwone shetan ndio uamini shetan ukimwona ujue ashakufikia unaitaji kumwasha kabla mkuu hiyo letter ilikuwepo nipe muda ilinyofolewa na mtu mmoja ndugu wa mkubwa ambae mpaka sasa anajiuliza alindosha wapi kumbe watu wa Mungu wameshainyakua

Mkuu!

Just to correct

Majini na Binadamu wote ni viumbe wa Mungu na ndinyo ilivyo.

Kama ilivyo kwa Binaadamu, Majini pia kuna wanaotenda mambo mema na wanaotenda mabaya.

Hivyox2 ktk freemasons kuna members ambao ni binaadamu na majini baina yao.

Naomba uofautishe kati ya ufreemason na uislam.

Pia naomba tuheshimiani na tuvumuliane tofauti zetu za kidini na tuangalie maendeleo ya nchi yetu, tuepukane na chokochoko za kidini zisizo na maana wakati ndugu zetu wanakosa hata mlo mmoja huko vijijini.

Mapepo ni mapepo tu, hakuna classification yoyote! Kumheshimu mtu ni pamoja na kumwambia ukweli na sio kumpamba kwa maneno matamu, akipenda ameze au ateme! Then, life goes, hakuna haja ya kujilipua kwa sababu huko uendako, kuzimu, ni pachungu na panatisha!

i hate those damn stories about freemasons...i can say they dont exist.. why we africans behaving like this? look!! missionaries came in africa with bible and at period we had land.. but now they left us with bible and they have land.. ndio maana sipendi hizi scary stories..waafrica tunapenda sana kumezeshwa vitu especcially kama hicho kitu kimetoka kwa wazungu.. i have beenliving in europe na sijawahi kuwaoana wazungu wakienda kanisani na wengine wanasema kabisa hakuna Mungu na wanaishi raha mustarehe wengine wanathubutu kusema kabisa kuwa waafrica ni maskini wa kutupwa ndio maana wanamwamini Mungu ili kujifariji... i dont believe in this shit(freemasons)

wazungu waliwadanganya waafrika kwa bilblia ili wachukue ardhi yao??? je ni kweli? inakuwaje miaka kadhaa baada ya azimio la arusha, tunawaita wawekezaji na tunawalamba miguu ili waje kwa wingi????!!!!! hayo maneno ya Tutu hayana logic yoyote zaidi ya kuashiria msimamo wake binafsi wa anti-west. Fuatilia statements zake utagundua ni maxist/cummunism/socialist/leftist/islamist / antisemetic propaganda zilizo jaa chuki dhidi ya nchi za magharibi.

St. Ivuga ulienda kuishi Europe kwa sababu wamissionary walichukua ardhi yako na kukuachia biblia na kukukosesha ardhi ya kuishi na kulima??? Cha ajabu bado tu unawaamini hadi kuwafuata nchini mwao na unadhani hakuna Mungu kwa vile tu umewaona hawaendi makanisani na wanasema waziwazi kuwa hakuna Mungu. Once a slave always a slave!!

Na sheikh mkuu awaomba wagwlwatia kuacha kutumia vunja jungu kuhalalisha dhambi
soma habari leo

Vunja Jungu ni mambo ya uislam, ni siku halali ya kufanya UFUKSA kupitia Allah na deen yake.

Hatuna hiyo mambo kwenye Ukristo wakati wa either Christmas or Pasaka.

Acha ujinga. Uislam umehusu nini hapa. Yaliyotakiwa kufanya sala za maombi ni Makanisa tu. Pumbaff zako. Waislam wana taratibu zao, si wajinga.

Ww hujui ulisemalo,ww ndo mjinga

Mapepo ni mapepo tu, hakuna classification yoyote! Kumheshimu mtu ni pamoja na kumwambia ukweli na sio kumpamba kwa maneno matamu, akipenda ameze au ateme! Then, life goes, hakuna haja ya kujilipua kwa sababu huko uendako, kuzimu, ni pachungu na panatisha!

.......... hivi mapepo na majini yameumbwa na nani? mwenye uwezo wa kuumba naye anacheo gani ? ............ kutwaa mnatoana mapepo badala ya kusali ! WAGALATIA hamuishi visa !

Ni kweli hao frmson nimeawahi ona jumba lao la ibada lipo hapo nyuma ya kempiski......ukitokea IFM....mkono wa kulia.....lakini tulikaa hapo chuoni 3yrs hatujawahi ona anayeingia wala kutoka ndani ya jumba hilo.........tulikuwa tukisikia tu ni jumba la ibada kwa wanaomwabudu shetani.Nje limendikwa kabisa frmson........

Mi nadhani kila mmoja astick kwenye imani yake.....kama wewe ni wa biblia....tafuta kuijua zaidi na kuenenda kama inenavyo.......acha kuchimbua habari za ibilisi......chiumbua biblia ikujenge kiimani............NI MTAZAMO WANGU TU!

Mimi naomba amani kwa wote........sipendi malumbano ya kidini hivyo nashauri wachangia mada wajitahidi kuwa makini na wasemacho.....
Si vizuri kugawanyika kwa kigezo cha tofauti ya dini na imani zetu.....................mimi ninaamini hakuna wakati ambao WATANZANIA wanahitaji kuwa na umoja kama kipindi hiki kigumu chenye matatizo mengi na makubwa yanayoikabili nchi yetu.................

Ninaomba Mungu atujalie amani,umoja na uzalendo kwa nchi yetu....SALA ZETU NI MUHIMU KWA KILA JAMBO

Back
Top Bottom