Siri nzito gazeti la SAUTI

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Wanabodi,katika mikakati ya mafisadi kupambana na Dr.SLAA na Chadema wameamua kutumia kijijarida cha Sauti.mpango huu unadhaminiwa na El na kanisa la TbJ Wa Nigeria ambaye anasifika sana kwa kulivuruga taifa hilo kwa kutumia uchawi kufanikisha dhamira za mafisadi.

HIVI SASA YUPO KARIBUNI KUTUA NCHINI KWA AJILI YA KUTUA MAGOGONI NA KUWEKA MAUCHAWI ILI KUMNG'ARISHA EL.NI WAKATI WA WATANZANIA KUONGEZA HASIRA DHIDI YA MAKUNDI YOTE YA KIFISADI HAPA NCHINI EG.GAZETI LA SAUTI, MAOFISA POLISI, TBJOSHUA, EL,CCM NA WENGINE WENGI.UNATAKA UNAISOMA HUTAKI UNAACHA,SUBIRI MATOKEO.

Source:NI Sauti halali ya Mungu wa kweli.
 
Wanabodi,katika mikakati ya mafisadi kupambana na Dr.SLAA na Chadema wameamua kutumia kijijarida cha Sauti.mpango huu unadhaminiwa na El na kanisa la TbJ Wa Nigeria ambaye anasifika sana kwa kulivuruga taifa hilo kwa kutumia uchawi kufanikisha dhamira za mafisadi.HIVI SASA YUPO KARIBUNI KUTUA NCHINI KWA AJILI YA KUTUA MAGOGONI NA KUWEKA MAUCHAWI ILI KUMNG'ARISHA EL.NI WAKATI WA WATANZANIA KUONGEZA HASIRA DHIDI YA MAKUNDI YOTE YA KIFISADI HAPA NCHINI EG.GAZETI LA SAUTI,MAOFISA POLISI,TBJOSHUA,EL,CCM NA WENGINE WENGI.UNATAKA UNAISOMA HUTAKI UNAACHA,SUBIRI MATOKEO. Source:NI Sauti halali ya Mungu wa kweli.

Gazeti hilo limeanzishwa na kina Nape na na jopo la mafisadi wenye hofu na hatima yao baada ya nchi kukombolewa. Linaandika habari wanazopewa na TISS waliopewa mision ya kuwavuruga wananchi ili waichukie CHADEMA na vuguvugu la ukombozi.

My take: Watanzania wa leo si wale waliokuwa wakiamini kila uharo toka gazetini na sanasana mnawaongezea chuki dhidi ya mkoloni CCM.

Siijui CCM imelogwa na nani? Au ni laana kwa waliyomfanyia muasisi wao Nyerere? Naona kila wanalojaribu linawamaliza! Hebu angalia kule Morogoro wamepiga watu mabomu na kuua kwa risasi za moto lakini nakwambia ule ulikuwa mkutano mkubwa kuliko yote iliyopata kufanyika pale. Nilihudhuria na kuona kwa macho yangu mwenyewe.

Jamani kama mambo yenyewe ndiyo kama vile acheni hawa jamaa wapate homa ya kuharisha kama tunavyoshuhudia sasa wakiweweseka mithili ya wagonjwa wanao recover toka kwa dawa ya usingizi aina ya Ketamine.
 
CCM wana mambo 2 waweza kuisononesha tena nguvu ya umma; kuiba kura au kujitangazia ushindi. Basi. Hakina mtu anaioenda CCM kwa at SAUTI au JB JOshua.

CCM MUST GO!
 
Hapa KANISA na TB JOSHUA wameingiaje?????? ongea point zenye mshiko usituletee sera za KUBAGUA WATU usiwe kama MAGAMBA.
 
usilete imani za kishirikina, weka hoja, kama EL atakuwa hana hoja hawezi toboa.
 
Kwenda shule ni muhimu sana. Ikibidi niibe watoto wangu wasome basi nitaiba,kuliko huko mbeleni watoto wangu waje wafaye upumbavu kama huu.
 
Hapa KANISA na TB JOSHUA wameingiaje?????? ongea point zenye mshiko usituletee sera za KUBAGUA WATU usiwe kama MAGAMBA.

sijui kwenye siasa wanaingizaje mambo ya Dini!?
hapo upuuzi wake ndo ulipo!
 
Back
Top Bottom