Siri nyingine za wandani...Lol

hahah chauro usiogoope.... unajua tunaonana tukitembea tumevaa tumependeza lakini wanayovumilia wanandoa ni siri yao, ila wa nje huwa hawajui hayo

we utakuta mtu akilala sebuleni mpaka unaona aibu tena hasa kwa wanywaji
 
Siri ya ndani usiitoe hadharani.
WELL SAID PAL

the thread starts with generic infomration and that is how it is intended to go... sitegemei mtu kuja kusema mke/mume wangu anafanya hivi... i'd rather gather general habits that many people dont share kwa mfano tulipokua boarding kuna jamaa alikua kilala akilala lazima aote anakula, na alikua anaongea kwa sauti... i am sure sometimes hadi leo hali ile huwa inamtokea

au issue like kuuma meno which is a sign ya minyoo

there are other like kulala na kuongea kwa nguvu, kunusa nguo chafu nk

i hope that will clarify
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahaaa vishuzi kwenye mashuka some kama skunky anapumua lol. .
 
WELL SAID PAL

the thread starts with generic infomration and that is how it is intended to go... sitegemei mtu kuja kusema mke/mume wangu anafanya hivi... i'd rather gather general habits that many people dont share kwa mfano tulipokua boarding kuna jamaa alikua kilala akilala lazima aote anakula, na alikua anaongea kwa sauti... i am sure sometimes hadi leo hali ile huwa inamtokea

au issue like kuuma meno which is a sign ya minyoo

there are other like kulala na kuongea kwa nguvu, kunusa nguo chafu nk

i hope that will clarify

...kaka, wanasema 'msimulia mvua imemnyea...'

kila kitachoandikwa kitakuwa ama directly au indirectly kinamlenga mhusika...
unyuzi huu haujakaa vizuri....acha siri zibakie siri kama mheshimiwa fulani hapo juu
aliyesema siri ya ndani usiitoe hadharani...otherwise utajikuta na kazi ya ziada ku 'moderate'
topik yako hii....

is snoring a crime? hapana...apnoea ni sleeping disorder, kama ilivyo kigugumizi, au obesity ilivyo eating disorder nk...
...ni maoni yangu tu kamanda,

nice day.
 
Kuna mambo mengine kuyafikiria tu unajiskia kua embarrassed sembuse kuongea.... Alafu kuna spouses wengine ni washamba, yaani mkiachana tu kosa! Habari zooote zitatoka akisahau kabisa ama kukosa busara ya kusema nae pia ajidhalilisha...
 
Mimi naona bora yule anaye-snore, maana talking in your sleep ile huwa mbaya sana unajikuta unatoa siri zako nakumbuka kuna jamaa alikuwa anapiga infidelity hadi akiwa usingizini.....siku ya siku amelala na wife wake, wife akamsikia jamaa anaongea usingizini....."Mke wangu ***** tu hawezi fanya chochote" baada ya hapo jamaa aliamshwa usiku usiku halafu jamaa haelewi hata alichokuwa anaongea akawa anabakia kumshangaa wife wake uso ulivyokuwa mwekundu.
 
......lol.... Sijui kama wife ufanyeje?? Maana tatizo la talking in your sleep sio necessary kua umefanya kweli...
 
Ilikuwa shughuli maana jamaa kwanza haelewi hata alichokuwa anaongea, huku wife nae amefura ile mbaya anataka maelezo jamaa alibakia amepigwa butwaa kama msukule halafu ukichanganya na usingizi wa usiku ndio kabisaaa
 
Umeona sasa the way ilivo ngumu kukamatisha... The guy was havin wet dreams na mwanamke mingine not the wife... So dissapointing... PA hata hivo out of curiosity from a man's perspective hivi wanaume anaweza kua na wet dreams na wife??
 
Lol.....ngoja nikanawe uso nakuja sasa hivi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom