Siri nyingine ya Ngeleja: Wamarekani tayari wanachimba Uranium Tunduru kisiri siri?

Mkuu, naona ujui habari za Uranium Weapons watu wamepata matatizo makubwa Iraq watoto wanazaliwa na matatizo makubwa watu wamepata cancer na magonjwa ya kutisha. Ukipata muda soma habari za Uranium weapons

Nchi pekee duniani iliyoonja raha ya mabomu ya Nyuklia ni Japan. Mwaka 1945. Miji ya Hiroshima na Nagasaki.

Iraq haijawahi kupigwa bomu la nyuklia. Kuna risasi zinatumia ncha za yuranium iliyoisha nguvu zake lakini ni kwa ajili ya kutoboa kuta za zege, siyo kwa ajili ya kuua kwenye medani ya vita ya kawaida. Hizi pia hazikutumika Iraq.
 
Umejuaje ni ya uongo? unaweza dhibitishaau unataka tuamini tu ni yauongo? na mbona umeharakisha sana kuiita ya uongfo una masligani na hao wanaochimba ....
Mkuu you got me wrong, nachomaanisha hiyo habari ni ya uongo period.
 
Nchi pekee duniani iliyoonja raha ya mabomu ya Nyuklia ni Japan. Mwaka 1945. Miji ya Hiroshima na Nagasaki.Iraq haijawahi kupigwa bomu la nyuklia. Kuna risasi zinatumia ncha za yuranium iliyoisha nguvu zake lakini ni kwa ajili ya kutoboa kuta za zege, siyo kwa ajili ya kuua kwenye medani ya vita ya kawaida. Hizi pia hazikutumika Iraq.
Mkuu vitu vingine kama wewe ujui usiropoke ngoja takupa ushahidi
 
Mkuu hiyo uranium haina thamani kiasi hicho mpaka kampuni ya nje ya nchi irisk kuja kuchimba kisirisiri na after all lazima uelewe kuna masuala ya grade per ton. Jmani watanzania tunahitaji tuelimike kuhusu haya mambo sasa kama hata mbunge anaweza kuongea hii (kama ni kweli) basi tuna tatizo kubwa!!!!!! Uchimbaji industrialized si sawa na "uchoji" (uchimbaji wa sululu).

Uranuim yenye thamani kubwa ni ile enriched ambayo hata kuna baadhi ya nchi zilizoendelea kama Australia, Canada still wanauza raw (not enriched). Sasa mtu eti kwenda Tunduru ambako hata umeme hakuna, barabara ya lami hakuna, maji hakuna, reli hakuna halafu ikafanyika hiyo mining ya uranium is just a HOAX.

Nyambala ndg yangu,
Are you there for Country first au? Tatizo ni kuwa watueleze ni kuna shughuli gani hapo tunduru na kama ni kweli uchimbaji wa siri upo we need an answer from the Government period kwani kuna activity hiyo ina mikataba au ni shagharabagala, Unajua wananchi sasa wameisha choka kwani serikali yao ina mambo mengi ya siri mno na ndio maana wameisha poteza uaminifu kwa kila serikali ikifanyacho.

Waziri / Naibu wake watupe details za hapo Tunduru period then waka resign effectively before end of this Assembly
 
Mkuu hiyo uranium haina thamani kiasi hicho mpaka kampuni ya nje ya nchi irisk kuja kuchimba kisirisiri na after all lazima uelewe kuna masuala ya grade per ton. Jmani watanzania tunahitaji tuelimike kuhusu haya mambo sasa kama hata mbunge anaweza kuongea hii (kama ni kweli) basi tuna tatizo kubwa!!!!!! Uchimbaji industrialized si sawa na "uchoji" (uchimbaji wa sululu).

Uranuim yenye thamani kubwa ni ile enriched ambayo hata kuna baadhi ya nchi zilizoendelea kama Australia, Canada still wanauza raw (not enriched). Sasa mtu eti kwenda Tunduru ambako hata umeme hakuna, barabara ya lami hakuna, maji hakuna, reli hakuna halafu ikafanyika hiyo mining ya uranium is just a HOAX.

Huyu ni mtanzania kweli au rais wa wapi? maana hata hao wamarekani wana natationla interest zao! sasa mbunge kuuliza mali zetu imekuwa nongwa.... hakuna kisicho na thamani mradi kiko kwenye list ya madini..... wajua malighafi ya vioo kwaa jili ya chupa ni mchanga tu?
 
Mkuu hiyo uranium haina thamani kiasi hicho mpaka kampuni ya nje ya nchi irisk kuja kuchimba kisirisiri na after all lazima uelewe kuna masuala ya grade per ton. Jmani watanzania tunahitaji tuelimike kuhusu haya mambo sasa kama hata mbunge anaweza kuongea hii (kama ni kweli) basi tuna tatizo kubwa!!!!!! Uchimbaji industrialized si sawa na "uchoji" (uchimbaji wa sululu).

Uranuim yenye thamani kubwa ni ile enriched ambayo hata kuna baadhi ya nchi zilizoendelea kama Australia, Canada still wanauza raw (not enriched). Sasa mtu eti kwenda Tunduru ambako hata umeme hakuna, barabara ya lami hakuna, maji hakuna, reli hakuna halafu ikafanyika hiyo mining ya uranium is just a HOAX.

Huyu ni mtanzania kweli au raia wa wapi? maana hata hao wamarekani wana natationla interest zao! sasa mbunge kuuliza mali zetu imekuwa nongwa.... hakuna kisicho na thamani mradi kiko kwenye list ya madini..... wajua malighafi ya vioo kwaa jili ya chupa ni mchanga tu?
 
WaTZ kama mradi siyo wa serikali au wa Wachina, wanauona kuwa ni mradi mbovu. Ni legacy ya mawazo ya Kijamaa ambayo yamefanya tuwe watu ambao hauwezi ukafanya nao biashara.

Hebu angalia ni miradi mingapi ya ubinafsishaji iliyofeli kutokana na haya mawazo hasi dhidhi ya wafanyabiashara wa magharibi;

- ATC na SAA. Wenzetu Kenya wanafanya vizuri sana na KLM
- DAWASCO na City Water. City Water walikuwa na mpango wa kuongeza uzalishaji na usambazaji wa maji. Tumewafukuza na sasa hivi ni kula tu
- TTCL na Celtel. Kenya wako na Orange na wanapeta, lakini sisi?
- TRL na Rites. Rites ni kampuni yenye mafanikio makubwa duniani, lakini TZ imeshindikana
- TICTS. Hawa wanapigwa vita sijui mpaka wanatia huruma
- Barrick. Kampuni hii inaongoza kwa uchimbaji duniani, lakini hapa TZ wanapigwa vita
- AnglogoldAshanti. Hili ni kampuni la uchimbaji dhahabu la tatu kwa ukubwa duniani. Hapa TZ wanapigwa vita
- Resolute. Imeajiri wananzega kibao na linategemewa sana na watu wa hapo. Lakini mbunge wa Nzega analipiga vita, labda atawaajiri yeye wananzega, au atawakatia posho kama anavyosema Shibuda

Mifano ni mingi, nitajaza server. Labda nihitimishe kwa kusema kuwa WaTZ tunatakiwa tuachane na mawazo hasi dhidhi ya wawekezaji wa magharibi.

Mkuu Stig hapa naona umekwenda nje ya mstari.
Sio vizuri ku-generalize mambo, unapotusemea watanzania kwamba tuko proChina ni kutukosea adabu. Unataka kusema watanzania wote tumekuwa makaburu???
Na kwa vile unawasema wao (watanzania) ina maanisha wewe sio mtanzania hivyo unakosa haki ya kutusemea.

Ugomvi wa sisi watanzania wengi na serikali ni usiri unaoambatana na uwekezaji mbovu wala sio mwekezaji ametoka wapi. Hayo makampuni ya kimagharibi ya kupigia mfano mbona hayapo. Kama Barrick na kina Anglogold ni wenye sifa unazotaka tuziamini kwa nini wameingia mikataba ya kinyonyaji na nchi masikini kama Tanzania?? Kwa nini hawataki review ya mikataba ili kuwe na win/win situation.

Wewe ambaye si mtanzania unapenda uwekezaji wa Paul Tudor Jones (Singita Grumeti Reserves) ambako watanzania wanafungiwa kwenye cold-rooms???
Kama unadhani sisi watanzania ni watumwa wa ujamaa/uchina basi wewe ni mtumwa wa umagharibi.

Tujikite kwenye hoja ya uranium tafadhari!!!!
 
Nyambala na wadu wengine,

Tusipende kuamini amini tu, eti kasema mbunge. Ukweli ni kuwa waTZ wengi tu wavivu kusoma, na kufanya upembuzi kwa lengo la kupata authorities kabla ya kusema katika public!! Mimi naamini kuwa mbunge aliye leta mda ile bungeni hakufanya home work yake vizuri. Ni kweli kuwa kuna makampuni ya kigeni huko south eat of TZ yanafanya EXPLORATION kubaini uwezekano wa kuchimba URANIUM. Hakuna mgodi unaoweza kuanza katika eneo ambalo haliko accessible!! Mgodi ukianza hauwezi kujificha, maana unahitaji support services from different companies!!! Ndiyo maana miji yote ambapo kuna mgodi panakuwa kwa kasi!!!

Kinachoendelea huko ni utafiti, I feel bad kama tuna wabunge wanaoropoka bila utafiti!!! I concur with Nyambala, the whole story is a HOAX!! Jamani tusome, tupende kujipa uelewa!!!!
 
Kuna ukweli wowote kuwa uranium inachimbwa Tunduru au ni hadithi hadithi njoo utamu njoo mwishowe ukolee??
 
Jana mbunge wa viti maalim (CHADEMA) Naomi Amy Kaihula kasema kuwa kuna kampuni ya Kimarekani inachomba Uranium kisirisiri (clandestinely) katika wilaya ya Tunduru .

Alisema kaona kwa macho yake uchimbaji ukiwa unaendelea. Sasa cha kujiuliza mbona hili hatuna habari nalo? Mkataba wake ulisainiwa lini? environmental impact assessment ilifanywa na nani? Mkataba una worth how much? serikali inapata kiasi gani?

Lakini sitoshangaa kusikia kama huu ulikuwa ni mchongo wa BILIONEA Jairo na dumber mwenzie Ngeleja.

Why keep it secret? kwa nini wananchi hawajulishwi kinachoeendelea ndani ya maeneo yao? Hivi law & order iki break katika mazingira haya serikali itajibu nini?

Habari ndio hiyo

Vyombo vyetu vya usalama vimelala fofo

Kibaya zaidi maamuzi nayo yamelala dolo wapo wapo tu.

Si ajabu watu wa wamagamba wakaja wakasema huyo mbunge Kaihula anatafuta umaarafu.

Tumesha wazoea wanaweza enda mbali zaidi na kusema huyo mbunge anawaonea wivu hao wamarekani wanao chimba
 
Nchi pekee duniani iliyoonja raha ya mabomu ya Nyuklia ni Japan. Mwaka 1945. Miji ya Hiroshima na Nagasaki.Iraq haijawahi kupigwa bomu la nyuklia. Kuna risasi zinatumia ncha za yuranium iliyoisha nguvu zake lakini ni kwa ajili ya kutoboa kuta za zege, siyo kwa ajili ya kuua kwenye medani ya vita ya kawaida. Hizi pia hazikutumika Iraq.
Mkuu tembelea hii link www.care2.com au kwa faida ya wadau wanaochangia hii topic ya Uranium wanaweza ku-google uranium weapons iraq
 
Nyambala na wadu wengine,

Tusipende kuamini amini tu, eti kasema mbunge. Ukweli ni kuwa waTZ wengi tu wavivu kusoma, na kufanya upembuzi kwa lengo la kupata authorities kabla ya kusema katika public!! Mimi naamini kuwa mbunge aliye leta mda ile bungeni hakufanya home work yake vizuri. Ni kweli kuwa kuna makampuni ya kigeni huko south eat of TZ yanafanya EXPLORATION kubaini uwezekano wa kuchimba URANIUM. Hakuna mgodi unaoweza kuanza katika eneo ambalo haliko accessible!! Mgodi ukianza hauwezi kujificha, maana unahitaji support services from different companies!!! Ndiyo maana miji yote ambapo kuna mgodi panakuwa kwa kasi!!!

Kinachoendelea huko ni utafiti, I feel bad kama tuna wabunge wanaoropoka bila utafiti!!! I concur with Nyambala, the whole story is a HOAX!! Jamani tusome, tupende kujipa uelewa!!!!
Kibatani cha THANKS kirudishwe please!
Hata mimi nipo kwenye tasnia ya migodi,ulichokiongea wewe na alichokiongea Nyambala ni sahihi kabisa.Toka mwaka jana nimekuwa nawafuatilia hao jamaa wa MANTRA kwa ukaribu sana...ukweli ni kwamba bado hawajaanza kuchimba!Wanachokifanya kwa sasa ni uchimbaji mdogo kwa ajili ya tafiti za kimaabara na pengine uchimbaji wa kufanya "levelling" kwa ajili ya kuandaa maeneo ambayo watakuja kuweka plant zao mbali mbali.Ikumbukwe wataweka plant kama tatu pale,main plant ya ku-process uranium,acid plant na electricity plant coz umeme wetu ndio hivyo tena.

Nawasilisha.
 
Nakuomba nikuulize swali unaposema wana fanya tafiti ukiwa unamaanisha nini? Hawachimbi au wana chimba na kwa muda gani hiyo tafiti inaendelea kufanyika na mpaka lini wataanza kutoa vibali vya wachimbaji au kuileta kampuni kuchimbaa? Kumbuka Bahi Dodoma walisema Uranium ipo je huko nako wanafanya research bado au wananchimba?

Wajua yawezekana ili swala lipo na laendelea au hapana tatizo kubwa ni wananchi kuchoshwa na serikali yao kuwa na usiri mkubwa kwa mikataba na ndilo hilo lina wapa wasiwasi na hali hali pia ulijione jana bungeni kama idara za Madini zina weza kuto 50mil kutoka idara 21 then hizo pesa zatoka wapi katika hizo tafiti au?
 
Katika watu tuliona mabwege nawalitufika hapa zaidi ni wataalam wapuuzi ambao ni wajinga kama wanasiasa tuliona; Nani anasema madini ya Tanzania yanahitaji exploration? huu ni upuuzi ambao unatugarimu kutokana na hawa wasomi uchwara ambao wamejaza vyeti huku kichwani hakuna kitu, madini ya Tanzania ya Uranium, Dhahabu na Almasi yanahitaji exploration gani leo 2011, wakati hii nchni ina ramani ya maeneo yenye madini tokea enzi za ujemani na hata uchimbaji ulianza tokea enzi hizo ingawa ilikuwa kwa small scale!

Hivi hawa wapumbavu kwenye ofisi za serikali wanafanya nini? hii nchni ilifanyaiwa coordination na Ujemarumani kwanini? kama siyo exploration ya madini! madini ya tanzania ni ya kuchimba tu, exploration ni neno linalokubalika kwa wapumbavu tulioajiri kama wataalam wetu, kinachotakiwa ni setting out tu ya kujuwa mtambo ukawe wapi, boring kuelekea wapi na kinachochimbwa kiwekwe wapi ili kuchimba kuelekea kwenye mzigo mkubwa na hii kazi kwa technologia ya sasa haiitaji hata mwezi mmoja.

Buhembe imebaki na mashimo huku hawa wajinga wasioelewa wanaimba neno exploration, soon nyamongo itabaki mashimo huku wataalam wetu bado wamelala, hivi nani anajuwa scendal ya aliyekuwa MG wa NASACO, Mr Odemba ambaye alikimbili Marekani?

Huko madini wamejaa wanafunzi waliomaliza UDSM juzi ambao wao wapo kama trainee hawajui lolote wala chochote, wamebaki kuimba exploration kama watoto wa nursery.
 
Mkuu, utafiti maana yake wanachimba samples kutumia drills only. Utafiti unaweka wazi so manay things before establishing the mine. Wanatambua pattern ya mali, concentration, and how will they be extracting. Haya ni baadhi tu ya mambo wanayoyafanya kabla ya kujenga mgodi, kumuka pia, setting out, plan ya mgodi pia inaletwa na informations from exploration.

Explorations pia inaongeza thamani ya eneo, maana kila results zinapoletwa na kuthibitishwa ndivyo thamani ya kampuni ya utafiti inavyoongezeka na kudetermine meadi utakuwaje. Tusiruke ruke tu bila kijua tunafanya nini bana!!!

Hakuna mgodi huko, ni utafiti tu....
 
Katika watu tuliona mabwege nawalitufika hapa zaidi ni wataalam wapuuzi ambao ni wajinga kama wanasiasa tuliona; Nani anasema madini ya Tanzania yanahitaji exploration? huu ni upuuzi ambao unatugarimu kutokana na hawa wasomi uchwara ambao wamejaza vyeti huku kichwani hakuna kitu, madini ya Tanzania ya Uranium, Dhahabu na Almasi yanahitaji exploration gani leo 2011, wakati hii nchni ina ramani ya maeneo yenye madini tokea enzi za ujemani na hata uchimbaji ulianza tokea enzi hizo ingawa ilikuwa kwa small scale!

Hivi hawa wapumbavu kwenye ofisi za serikali wanafanya nini? hii nchni ilifanyaiwa coordination na Ujemarumani kwanini? kama siyo exploration ya madini! madini ya tanzania ni ya kuchimba tu, exploration ni neno linalokubalika kwa wapumbavu tulioajiri kama wataalam wetu, kinachotakiwa ni setting out tu ya kujuwa mtambo ukawe wapi, boring kuelekea wapi na kinachochimbwa kiwekwe wapi ili kuchimba kuelekea kwenye mzigo mkubwa na hii kazi kwa technologia ya sasa haiitaji hata mwezi mmoja.

Buhembe imebaki na mashimo huku hawa wajinga wasioelewa wanaimba neno exploration, soon nyamongo itabaki mashimo huku wataalam wetu bado wamelala, hivi nani anajuwa scendal ya aliyekuwa MG wa NASACO, Mr Odemba ambaye alikimbili Marekani?

Huko madini wamejaa wanafunzi waliomaliza UDSM juzi ambao wao wapo kama trainee hawajui lolote wala chochote, wamebaki kuimba exploration kama watoto wa nursery.

Mkuu hizo ramani zilizofanywa na Wajerumani umeshaziona? Au ndo tunaendelea kufanyika kazi maneno ya vijiweni!!!
 
sina utaalam kabisa wa maswala haya ninachojuwa mataifa yaliyoendelea yanajiandaa kungatuka yanarudi kwenye Coal, sasa hiweje sisi tunaenda ambako wenzetu wamejaribu na kupaona kubaya, nawaombeni wenye utaalam mtujuze.

Back
Top Bottom