Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,509
- 2,695
Ni kweli kabisa hi nchi sio riziki...Nchi sio riziki hii..
Ni kweli kabisa hi nchi sio riziki...Nchi sio riziki hii..
Mkuu hiyo uranium haina thamani kiasi hicho mpaka kampuni ya nje ya nchi irisk kuja kuchimba kisirisiri na after all lazima uelewe kuna masuala ya grade per ton. Jmani watanzania tunahitaji tuelimike kuhusu haya mambo sasa kama hata mbunge anaweza kuongea hii (kama ni kweli) basi tuna tatizo kubwa!!!!!! Uchimbaji industrialized si sawa na "uchoji" (uchimbaji wa sululu).
Uranuim yenye thamani kubwa ni ile enriched ambayo hata kuna baadhi ya nchi zilizoendelea kama Australia, Canada still wanauza raw (not enriched). Sasa mtu eti kwenda Tunduru ambako hata umeme hakuna, barabara ya lami hakuna, maji hakuna, reli hakuna halafu ikafanyika hiyo mining ya uranium is just a HOAX.
Unajua mkuu ndiyo haswaa nachokiongea klakini kwa sababu watanzania tumeaminishwa there is a mix btn Uranium na Marekani basi tena hata kufikiri kunakuwa hakupo.
Mkuu hiyo uranium haina thamani kiasi hicho mpaka kampuni ya nje ya nchi irisk kuja kuchimba kisirisiri na after all lazima uelewe kuna masuala ya grade per ton. Jmani watanzania tunahitaji tuelimike kuhusu haya mambo sasa kama hata mbunge anaweza kuongea hii (kama ni kweli) basi tuna tatizo kubwa!!!!!! Uchimbaji industrialized si sawa na "uchoji" (uchimbaji wa sululu).
Uranuim yenye thamani kubwa ni ile enriched ambayo hata kuna baadhi ya nchi zilizoendelea kama Australia, Canada still wanauza raw (not enriched). Sasa mtu eti kwenda Tunduru ambako hata umeme hakuna, barabara ya lami hakuna, maji hakuna, reli hakuna halafu ikafanyika hiyo mining ya uranium is just a HOAX.
Naona ndugu yangu nyambala unaleta porojo humu...mtu kakuambia ameona kwa macho yake ww unakataa...nikikuambia niko na hao wachimbaji utajibu nini?
Nyie mnaopiga kelele humu JF si ndio kila kukicha mnawasifia Wamarekani kila jambo au mnakuwa pamoja wanapowashambulia Libya na Iraq. Endeleeni kuchimba miafrica ni watumwa wenu wanawababaikia, naomba wachimbe kwa nguvu mpaka yaishe yote
Hapa point ni kuwa tuwe serious na resources zetu and be accountable as well as transparance itawale ata kama ni exploration tuu tujue
Mkuu Nyambala,Unajua mkuu ndiyo haswaa nachokiongea klakini kwa sababu watanzania tumeaminishwa there is a mix btn Uranium na Marekani basi tena hata kufikiri kunakuwa hakupo.
Tatizo naloliona kwa watanzania walio wengi ni kwamba wako obsessed mno na hiyo uranium but for a fact liganga, mchuchuma ndiyo haswaa kunaweza kufanyika serious mining ya kututoa watanzania. Coal na iron ore deposit ya pale ina thamani kuliko proven reserves zote za gold Tanzania ukichanganya na ile iliyochimbwa na kuuzwa pia.
Wakuu Niger kuna uranium ya kufa mtu na imeanza kuchimbwa miaka kibao, vipi wamefaidika nini ulifanya comparison say hata na Equatorial Guinea au Angola. Kuna uranium kibao Namibiana imeanza kuchimbwa siku nyiingi. Ukija South Africa ya kumwaga, lakini hata siku moja SA wakiwa wanazungumzia mining industry hawaifikirii hata kuifikiria. There's huge deposits of uranium in Australia na inachimbwa miaka kibao. LAKINI "THE MOTHER OF ALL MINING INDUSTRY NI COAL NA IRON ORE".
Wawekezaji wa coal wameliona hilo na wanajua watanzania tunapuuzia na hatujui kitu kuhusu coal, si inaitwa mkaa, hivyo hapa tutapigwa bao balaaaa!!!! Lakini kama tungekuwa taifa serious coal mining ndiyo tungeikazania kwa sasa.
mkuu ndiyo maana nimeanza kwa kusema uranium haina bei kiasi hicho, in short kwa mazingira yale huwezi ku-make profit. Kakola, buhemba na nyamongo zote ziko less than 100km kutoka barabara ya lami au reli. Na pia the finished product (gold) inasafirishwa kwa ndege.
Sababu nilizotaja ndiyo haswaa zimefanya kabanga nickel isianzishwe mpaka leo!!!!
kaka hivi unajua moja na moja unapata mbili na hauwezi kupata mbili bila kupitia moja,hayo madini unayodai ni kidogo ndio baadhi ya vyanzo vya mapato yetu kaka jamaa wanachimba bila kulipa kodi madhara ya mazingira yote hayo hauyaoni to be honest nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri hata elimu yako ulionayo kama kweli umesoma nina wasiwasi nayo,
Mkuu, nadhani kinachoendelea hapo ni prospecting tu lakini kwa kutojua huyo shuhuda ameona kama kuna uchimbaji.Jana mbunge wa viti maalim (CHADEMA) Naomi Amy Kaihula kasema kuwa kuna kampuni ya Kimarekani inachomba Uranium kisirisiri (clandestinely) katika wilaya ya Tunduru .
Alisema kaona kwa macho yake uchimbaji ukiwa unaendelea. Sasa cha kujiuliza mbona hili hatuna habari nalo? Mkataba wake ulisainiwa lini? environmental impact assessment ilifanywa na nani? Mkataba una worth how much? serikali inapata kiasi gani?
Lakini sitoshangaa kusikia kama huu ulikuwa ni mchongo wa BILIONEA Jairo na dumber mwenzie Ngeleja.
Why keep it secret? kwa nini wananchi hawajulishwi kinachoeendelea ndani ya maeneo yao? Hivi law & order iki break katika mazingira haya serikali itajibu nini?
Habari ndio hiyo
kaka hivi unajua moja na moja unapata mbili na hauwezi kupata mbili bila kupitia moja,hayo madini unayodai ni kidogo ndio baadhi ya vyanzo vya mapato yetu kaka jamaa wanachimba bila kulipa kodi madhara ya mazingira yote hayo hauyaoni to be honest nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri hata elimu yako ulionayo kama kweli umesoma nina wasiwasi nayo,
Mkuu, naona ujui habari za Uranium Weapons watu wamepata matatizo makubwa Iraq watoto wanazaliwa na matatizo makubwa watu wamepata cancer na magonjwa ya kutisha. Ukipata muda soma habari za Uranium weaponsMkuu vipi? mambo ya Iraq na Libya yameingiaje humu? Au nako kuna Uranium?