Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

Pumbaaaaaaa.......f zao!!!. Mtuhumiwa wa kwanza wa tukio hilo ni yule ambaye Dr. Ulimboka mwenyewe alimtambua na kumwambia amrudishie simu yake, huyu Mkenya ni danganya toto tu!. Kama kweli alihusika wasubiri Ulimboka arudi amtambue mwenye halafu akashitakiwe Kenya ikiwa ni kweli kahusika na sio serikali ya CCM kutuletea sanaa zao.

Hii picha itakuwa hivi, kabla Dr. Ulimboka hajarudi ili kumtambua mtekaji wake, huyo mtekaji fake atafia gerezani kwa ugonjwa wa Neumonia!!!!

Tiba
 
Pastor Mwansasu alikuwa Criminal wa kutumia Machine gun, lakini alizisalimisha kwenye counter ya polisi Mbeya baada ya Kutubu, Record ipo. Pastor Lusekelo aliacha U-Gangster na madawa baada ya kutubu Record ipo Iringa. Pastor Mwiru huyu alikuwa 'Super' Maana alikuwa na Skeleton Master-Key zenye uwezo wa kufungua mageti yote. Baada ya kutumikia kifungo akatubu na amekabidhi zana zote kwa Polisi Nairobi Record ipo,
Vipi huyu Kanyanga...isiwachanganye sana hii
Mbona wao hawakupelekwa Kisutu kwa vile makosa yao yalikuwa serious kuliko hili? Kwani sheria inaruhusu confession ya kanisani kisha basi?
 
Haiyaaaaa. Tutasikia mengi.
Nimeshangazwa Na jambazi sijui gaidi Sugu, limeenda kutubu tena kwa Mchungaji, wakati hawa wachungaji hawaamini katika kutubu kwa mtu. Ni wakatoliki tu ndio huenda kutubu kwa padri. Sasa la huyu kiboko.
mbona msangi hawajamkamata ambaye Ulimboka alimtambua japo alikuwa mgonjwa
 
mahakamani wakili alisema jamaa anaitwa joshua mlundi ana mika 21 ...katika taarifa ya kova alisema jamaa anaitwa joshua mahindi akiwa na miaka 31.......hahaaha......kova na watu wake wanajichanganya ile mbaya
 
The government of United Republic Of Tanzania has lost all credibility ... Even to make a successful, simple false episode show ... to cover itself ... YOU ARE DONE!!! All who are involved on this are coming from hell and they should go back to where they are coming from!! AND in this way? soon they will be xposed totally and barely!!! .... WE ARE WATCHING!!!!
 
Kuna mtu hapa alisema mapema kabisa, mtu anatafutwa wa kuuziwa zigo hilo aburuzwe mahakamani na watu wajue serikali imechukua hatua. Mwisho wa siku huyo mtu akifungwa atapata msamaha wa rais na kuendelea kula mahela yake.Hilo ndilo linalotokea sasa.
Ni lini nchi hii itaacha kuendeshwa kisanii?! Hata hivyo Kova mwenyewe kupewa atangaze upuuzi huo usio hata na chembe ya logic ni mjinga wala si msanii! Nchi hii inaendeshwa na wajinga+wasanii.
 
Huyo jamaa mkenya wala sio muhusika wa tukio nahisi. Tokea lini muhusika akaenda kujisalimisha kiulaini namna hiyo?. Huu ni mchezo ambao Usalama wa Taifa wamepanga kuucheza kwa nia ya kuficha kilichotokea na wahusika halisi wa tukio.

Exactly. They are just dramatizing and stage-managing the whole event.
 
serikali ikutume kuua; ushindwe kazi uliyotumwa, halafu serikali hiyohiyo ikutume uende kanisani kutubu; ukamatwe na serikali halafu hapo hapo udai kuna mkono wa serikali, hawa jamaa zetu wana matatizo sana kampimeni akili huyo mtu wale wastaafu wa taasisi mlionao wanatumia mbinu za zamani kutupaka matope wamesahaua kitu kimoja mbinu hizo zilifutwa siku nyingi sana

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nilishasema tangu jana.
Kova amewafanya Watanzania wote ni wapumbavu.

Sio Kova pekee ni SYNDICATE ya maofisa wote wa serikali. Kwa mfano ukikamata Kova na kumhoji vikali lazima ataanza na baba mwenye nyumba mpaka mtekaji.
Huoni jana anatoa taarifa kwenye press anatetemeka, wamepika uongo hao. UKWELI UTAJULIKANA TU.
 
Hivi ni nani anaweza kuniambia KAKOBE yuko wapi? mbona hasikiki, iko siku nitawaeleza picha yote. Kuhusu huyu jamaa ni mbinu chafu tena za kishetani zinazotumiwa na viongozi majua kwa kushirikiana na viongozi wa dini wasiowaminifu ili kuficha ukweli. Watu wangapi wametajwa kwenye hili suala, hata mgonjwa mwenyewe amemtaja mmoja wa polisi hao lakini hakuna hata aliyehojiwa hadi ikulu wapo wametajwa kwa majina , hakuna kilichofanyika, suala la mwanza la mh, Kiwia aliwaona kwa macho yake na namba za magari zikatabuliwa lakini hakuna kilichofanyika. Leo hii wanaleta upuuzi wa kiwendawazimu namna hii, wasubiri siku zinzkuja tutapiga hata makaburi yao kama watakuwa wamekufa.
 
kova watanzania siyo wapumbavu kiasi hicho usitulete movi za kihidi pumbavu mkubwa wewe..
 
Yule mkenya anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka na kisha kujisalimisha kwa mchungaji Gwajima hakwenda kutubu. Katika mahojiano kati ya mtangazaji Rita Chiwalo na mmojawapo wa wachungaji wa kanisa la Ufufuo na Uzima (anaitwa Gwandu Mwangasa) , mtu huyo alifika jana kanisani hapo na kukutana na baadhi ya wachungaji akitaka apelekwe kuonana na mchungaji Gwajima. Wachungaji hao walikataa katakata kumruhusu mtu huyo mpaka pale atakapowaeleza sababu hasa ya kutaka kuonana na Mchungaji wao mkuu. Ndio mkenya yule alipodai kuwa anajambo la kumweleza mchungaji Gwajima kwa vile ndiye aliyemteka Dr. Ulimboka.

Baada ya kusikia hivyo wachungaji wale walistuka na kuamua kumkagua simu yake na kukuta ujumbe unaosema "nimefika lakini bado najaribu kuwazoea." Ni ujumbe huu ndio uliopelekea wachungaji wale kumtilia mashaka mtu yule na kumwona si wa kawaida hivyoo kuamua kumripoti polisi. Pia mtu huyu hakwenda kanisani pale kutubu zaidi ya kujitambulisha tu kuwa ndiye mtekaji. Ndipo wachungaji wale wakaona suala lile si la kikanisa tena bali la polisi.

Katika hatua nyingine mchungaji huyo ametoa onyo dhidi ya watu wanaofanya usanii makanisani kwa lengo la kufanikisha mipango ya makundi fulani. Ameonya dhidi ya dhihaka zinazofanywa katika nyumba za ibada kwa malengo binafsi na kuwa wanaofanya hivyo wanachuma laana. Amesisitiza kuwa ule ujumbe wa simu unaashiria mtu yule alikuwa na ajenda ya siri.

Ssource: WAPO radio FM.

My take... You be a judge!

HATUDANGANYIKI NG'O.
WALE WASHUKIWA WAPO WAPI? YULE ALIYEPIGWA NA MADAKTARI PALE MUHIMBILI NA YULE ALIYETAMBULIWA NA DK ULIMBOKA PALE ICU KUWA ALICHUKUA SIMU NA WALLET YAKE BAADA YA HAPO ALIONDOKA KIMYA KIMYA. MSITUFANYE :baby:
 
Wata umbuka sana mwaka huu! Ina onekana kabisa huyo mtu alitumwa akajisalimishe kanisani japo siyo muhusika.

Huu ni utoto wa kova
 
Ninachosubiri ni kusikia kiKweti,pindi,msangu,kova.zoka n.k wamekamatwa baada ya kujitokeza kutubu makanisani kufuatia kumtesa Doctor ULI
 
That is a problem of being clever among the fools! Sasa hawa ndiyo thinkers na planners wa TISS na Polisi. Tangu utotoni baba yangu alikuwa akinionya nisijiunge na chombo chochote cha kijeshi/usalama kwasababu ukiwa askari unasalimishi akili yako kwa mtawala, yaani unampa UBONGO wako yeye anakuwekea UBUYU ndani ya kichwa chako. Matokeo yake unakuwa below IQ, na kama mtawala naturally yuko below IQ.Hii inaonyesha nikiasi gani aliyetunga jambo hili alivyo na UBUYU badala ya ubongo ndani ya kichwa chake na kuonyesha jinsi vyombo vya usalama vilivyo jaa watu walio below IQ!.

Nimeipenda hiyo. always they will try their best to deceive us, nevertheless, we are aware and conscious of it. MAJIBU YAO WANAYO 2015
 
Huu ni mchezo wa kitoto sana, na kwa Tanzania tusivyokua na akili tutaliamini na hili na tutaliacha lipite hivi hivi!!
 
Mimi nilijua tuu hii kitu imetengenezwa...uwezo wetu wa kufikiri hauko chini kwa kiwango wanachodhani.
 
Back
Top Bottom