Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

Sina ubishi na Rais wala kukosoa chochote kwa Tanzania Bara uwenda visiwani siwajui, lakini kwa hili J.K hongera una nia njema na marekebisho ya katiba. Watanzani penye ukweli na malengo mazuri tuyasifie.
 
Wana Jamvi
Mawazo ya Paparazi Muwazi yasipuuzwe. Nimefuatilia na kugundua kuwa wale walioteuliwa kuwakilisha makundi ni wale walioshika nafasi ya tatu na ya nne. Wale waliopendekezwa wakiwa wa kwanza na wa pili wameachwa baada ya TISS kupeleka taarifa kwa JK kuwa waliopendekezwa wakiwa wa kwanza ni "wakali" sana kuhusu sheria ya katiba mpya. Baadhi ya wateule waliitwa na kuonana na maofisa wa TISS ama kuwekwa sawa au TISS kujihakikishia juu ya misimamo yao. Ushahidi kuhusu madai haya ni:
-Prof Baregu alipendekezwa akiwa namba tatu - wa kwanza alikuwa na Tundu Lissu akifuatiwa na Prof Safari
-Jesca Mkuchu alikuwa wa tatu kutoka CCT akiwa nyuma ya maaskofu wawili - mmoja wa Mbeya na mwingine wa Tanga, n.k.

Pamoja na uhuru wa Rais kuteua kutoka mapendekezo ya makundi, ni sahihi kuhoji kwa nini ateue chaguo la tatu na siyo la kwanza na la pili.

Naelewa tume haina kauli ya mwisho juu ya katiba, lakini wakiishaandika draft na kuacha mengine, inakua vigumu kuyaondoa. Serikali inafanya makosa kujaribu kudhibiti mchakato huu maana hakuna serikali ya milele mahali popote. Katiba ikiwa mbaya wajue itatumika kuwakandamiza wao watakapokuwa wapinzani.

Nakubaliana na maoni yako. JK nimwoga; hapendi kuona watu makini wenye msimamo tofauti na wake ndani ya tume. Lakini Mungu ni mkubwa hao hao watamgeuka kwa kuwasilisha kwake maoni halisi ya wananchi na mwisho wa siku wananchi tutashinda. Ole wao wakichakachuo maoni ya wananchi kwani tutawaaibisha kwenye sanduku la kura za kupitisha au kutopitisha rasimu itakayoandaliwa
 
Tusiwe wavivu kufikiri na kuja na hoja kuukuu namna hii, hakuna mtu hata mmoja anayetoka kwenye taasisi ambaye hayumo kwenye orodha ya waliopendekezwa na taasisi husika, hili lipo wazi, pili licha majina hayo kupendekezwa Rais anachagua miongoni mwa majina hayo pamoja na mambo mengine huzingatia maeneo wanayotoka na jinsia ili tume iwe na uwakilishi mpana wa makundi yote katika jamii, hili suala liko wazi kwanini watu wanaongozwa na itakadi ya "pinga kila kitu kinachofanywa na serikali"? Kwa hili la tume Rais amejitahidi sana!
 
Kwa Kuongezea tu Kuhusu huyo ndugu Polepole alisoma Sekondari Azania Dar es salaam Mwaka 1997-2000 akachaguliwa kwenda Shule Benjamin William Mkapa Mwaka 2001,Katika Matokeo ya kidato cha Sita alipata 0(Zero),Kuthibitisha hili sio shida,Nenda Baraza la Mitihani pata matokeo ya Wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha 6 Mwaka 2003 BWM Secondary School!!

Katika Maisha yake ya Shule hasa Azania,aliwahi Kuongoza Azania Debating Society akisaidiwa na baadhi ya watu akiwemo Bwana Nyakia Ally(Sekretariet Member wa TYC) alikuwa ni Mzungumzaji Mzuri mbele ya hadhira na anapenda Kuongea Kiingereza!!!

Inasemekana in recent years,alisoma Chuo Cha Maendeleo Tengeru Arusha and some online course!!

Kuhusu kama atafanya kazi Nzuri kwenye hiyo Tume jibu ni HAPANA,Kwa sababu asasi anayoiongoza ya Tanzania Youth Coalition haifanyi kazi ya Utetezi wa Vijana ndiyo maana kwenye Mambo yote ya Msingi kuhusu Vijana,Polepole amekuwa mtu wa kuchukua msimamo Neutral au wenye mlengo wa kuitetea Serikali ya Ccm!!

Katika Chaguzi zote kuu ukianzia wa Mwaka 2005 hadi wa Mwaka 2010 TYC imekuwa bubu kana kwamba haifanyi kazi ya Uanaharakati!!

Asasi hii imegeuka tu kuwa genge la watu kupata fursa za kuhudhuria mikutano mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi ili kupata senti za Kujikimu kwa wajumbe wasiobadilika Wa Sekretariet kama Vile Juma Mkuu,Nyakia Ally,Lenin Kazoba et all

Kwa haiba,ana uwezo mzuri wa kujieleza,Mwoga wa Changamoto kutoka kwa watu wanaonyesha Uwezo ndiyo maana anafanya kazi na watu walewale kwa zaidi ya Miaka 7 tangu ofisi zilipokuwa kwenye jengo la MS Upanga mpaka sasa pale Kijitonyama Karibu na shule ya Msingi kijitonyama,Kuna Jengo la Ghorofa ndipo zilipo Ofisi za Shirika hilo ambalo linajitambulisha kama Umbrella Organisation ya asasi za Vijana Tanzania!!

Itoshe kusema Polepole hawezi kusimamia Maslahi ya Taifa na hasa Vijana,ni Mtu wa Ccm ndiyo maana hata juzi katika kipindi cha Adam Sembeye cha This Week In Perspective alikuwa anaongea Porojo tu na hatoi Msimamo yabisi Kuhusu hatma ya Ajira za Vijana hapa Bongo!!

Humphrey Polepole atakuwepo pale kufanya Mapenzi ya aliyemchagua tu,kuhusu hili nina hakika kwa 100%

Umetumwa!
kama hafai ilikuwaje kwa TZ hii akawa namba tatu katika orodha ya mapendekezo iliyotumwa kwa rais?
 
Mkuu wangu, haya ni matokeo ya kukubali CCM iendeshe mchakato wa Katiba Mpya kitu ambacho hakijawahi kuwa ajenda yao wala ilani yao. CDM na wale waliokubali Rais awe na nguvu alizonazo kwa kweli hawana haki ya kulalamika sasa. Ama waamue kushirikie na kupokea kitakacholetwa mezani au wakatae mapema kabla mchakato wenyewe haujaiva. Kwa mfano, kwanini walikubali sheria ambayo Rais anateua hadi mwenyekiti wa tume; kwanini asingeteua hao wajumbe wa tume na wao watakapokutana baada ya kuapishwa ndio wangechagua uongozi wao kutoka miongoni mwao?

Mzee mwanakijiji nakuheshimu ila hapa kwenye kusema wajumbe ndio wateue mwenyekiti na katibu toka miongoni mwao sio sahihi maana obvious wangetakiwa kupiga kura na ingezusha JUNGU lingine kuuubwa. kutokana na ratio za uzanzibar na utanganyika.
 
Watanzania hamna kitu walichowahi kukikubali at first. Lazima waponde, wao hawana zuri.
 
Usiangalie majina makubwa manne, pitia mjumbe mmoja baada ya mwingine utaona vituko. Niende kwa huyu Richard Lyimo, huyu ndiye ambaye kwa miaka mingi amekuwa akitumiwa na usalama wa taifa na kundi la propaganda la CCM pale TLP dhidi ya upinzani.

Mwaka 2008 wakati huo nikiwa habari Corporation kuliletwa kazi maalum akakabidhiwa Balille ya kukutana na Bwana Lyimo ikapikwa hadithi ya Mbowe kushangilia kifo cha Chacha Wangwe kule Afrika Kusini. Kwa jinsi tulivyokutana na huyu bwana ni mtu asiye na msimamo wowote akilipwa aseme au afanye chochote kwake ni jambo la kawaida. Ndio taifa itabidi limtegemee kwenye kuandaa rasimu ya katiba.

Miezi michache iliyopita kwenye ukumbi wa idara ya habari maelezo alifanya kituko cha mwaka dhidi ya bwana Tao, pale alipokuja na mwenzake mmoja simfahmu jina, wakataka wanahabari tumpe karatasi tulizokuwa nazo za press release kwamba zina makosa atupe zingine. Akatupa taarifa iliyoghushiwa kuhusu Tao na Mrema.

Kuna mtu anamfahamu zaidi bwana Lyimo? Nitawaletea siri za wajumbe wengine ninaowafahamu.

PM
Nimependa sana hoja yako lete na za wengine tuwajue ,ni kweli hatuwezi kuwa na watu wachafu wakati wazuri wapo ingawa hawajapewa na fasi ya kuchomoza .naamini watanzania wazuri wap wengi sio wale wale mababu wanamawazo ya kibabu kwani hatuna wasomi wa maswala hayo .halafu wazee walioteuliwa watachangia nini kwenye nchi ya vijana muda wao wa kuishi umeelekea magharibi sisi tunataka katiba iliyosukwa sio iliyofinyagwa na mikono dhaifu hatutaki.
 
we mpuuzi naona umetumwa kujiunga huku kuwakilisha mawazo mgando ya mabwana zako, napata shida sana mnapoaona watu wenye fikra fupi kama wewe!!! hivi hujui sikumoja utaondoka kwenye hyo nafasi uliyonayo? watoto wa wajukuu zako watakuja kuteseka kwa upuuzi wako!!!
ACHA KUTUMIWA KAMA SALAMA THEN UTUPWE WE ***** a.k.a KUBWA JINGA
 
Kwa Kuongezea tu Kuhusu huyo ndugu Polepole alisoma Sekondari Azania Dar es salaam Mwaka 1997-2000 akachaguliwa kwenda Shule Benjamin William Mkapa Mwaka 2001,Katika Matokeo ya kidato cha Sita alipata 0(Zero),Kuthibitisha hili sio shida,Nenda Baraza la Mitihani pata matokeo ya Wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha 6 Mwaka 2003 BWM Secondary School!!

Hayo maneno hapo jk analo ,nashauri usiwaapishe siku hiyo ijumaa watu ambao jamii imeweka wazi udhaifu wao.jk na amaini umesikia

Katika Maisha yake ya Shule hasa Azania,aliwahi Kuongoza Azania Debating Society akisaidiwa na baadhi ya watu akiwemo Bwana Nyakia Ally(Sekretariet Member wa TYC) alikuwa ni Mzungumzaji Mzuri mbele ya hadhira na anapenda Kuongea Kiingereza!!!

Inasemekana in recent years,alisoma Chuo Cha Maendeleo Tengeru Arusha and some online course!!

Kuhusu kama atafanya kazi Nzuri kwenye hiyo Tume jibu ni HAPANA,Kwa sababu asasi anayoiongoza ya Tanzania Youth Coalition haifanyi kazi ya Utetezi wa Vijana ndiyo maana kwenye Mambo yote ya Msingi kuhusu Vijana,Polepole amekuwa mtu wa kuchukua msimamo Neutral au wenye mlengo wa kuitetea Serikali ya Ccm!!

Katika Chaguzi zote kuu ukianzia wa Mwaka 2005 hadi wa Mwaka 2010 TYC imekuwa bubu kana kwamba haifanyi kazi ya Uanaharakati!!

Asasi hii imegeuka tu kuwa genge la watu kupata fursa za kuhudhuria mikutano mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi ili kupata senti za Kujikimu kwa wajumbe wasiobadilika Wa Sekretariet kama Vile Juma Mkuu,Nyakia Ally,Lenin Kazoba et all

Kwa haiba,ana uwezo mzuri wa kujieleza,Mwoga wa Changamoto kutoka kwa watu wanaonyesha Uwezo ndiyo maana anafanya kazi na watu walewale kwa zaidi ya Miaka 7 tangu ofisi zilipokuwa kwenye jengo la MS Upanga mpaka sasa pale Kijitonyama Karibu na shule ya Msingi kijitonyama,Kuna Jengo la Ghorofa ndipo zilipo Ofisi za Shirika hilo ambalo linajitambulisha kama Umbrella Organisation ya asasi za Vijana Tanzania!!

Itoshe kusema Polepole hawezi kusimamia Maslahi ya Taifa na hasa Vijana,ni Mtu wa Ccm ndiyo maana hata juzi katika kipindi cha Adam Sembeye cha This Week In Perspective alikuwa anaongea Porojo tu na hatoi Msimamo yabisi Kuhusu hatma ya Ajira za Vijana hapa Bongo!!

Humphrey Polepole atakuwepo pale kufanya Mapenzi ya aliyemchagua tu,kuhusu hili nina hakika kwa 100%
Hayo maneno hapo jk analo ,nashauri usiwaapishe siku hiyo ijumaa watu ambao jamii imeweka wazi udhaifu wao.jk na amaini umesikia
 
we mpuuzi naona umetumwa kujiunga huku kuwakilisha mawazo mgando ya mabwana zako, napata shida sana mnapoaona watu wenye fikra fupi kama wewe!!! hivi hujui sikumoja utaondoka kwenye hyo nafasi uliyonayo? watoto wa wajukuu zako watakuja kuteseka kwa upuuzi wako!!!
ACHA KUTUMIWA KAMA SALAMA THEN UTUPWE WE ***** a.k.a KUBWA JINGA

Mpuuzi nani tena
 
Tusiwe wavivu kufikiri na kuja na hoja kuukuu namna hii, hakuna mtu hata mmoja anayetoka kwenye taasisi ambaye hayumo kwenye orodha ya waliopendekezwa na taasisi husika, hili lipo wazi, pili licha majina hayo kupendekezwa Rais anachagua miongoni mwa majina hayo pamoja na mambo mengine huzingatia maeneo wanayotoka na jinsia ili tume iwe na uwakilishi mpana wa makundi yote katika jamii, hili suala liko wazi kwanini watu wanaongozwa na itakadi ya "pinga kila kitu kinachofanywa na serikali"? Kwa hili la tume Rais amejitahidi sana!

Wewe ndiyo mwenye fikra nyembamba.sisi hatuangali uwakilishi mpana hitaji letu je wanauwezo,unaposema Rais anaagali pamoja na mambo mengine yepi ,mambo mengine yepi twambie mwezetu .acha kujichora kama huna hoja ama una maslahi binafsi tuachie wenye uzalendo ,hatuwezi kuacha kupinga kama serikali inafanyatofauti na matarajio ya watazania .umetumwa nini au wewe ndiye unayesemwa umekosa sifa,wapishe wanaostahili
 
Umetumwa!
kama hafai ilikuwaje kwa TZ hii akawa namba tatu katika orodha ya mapendekezo iliyotumwa kwa rais?

Sema kipi kati ya hayo niliyoeleza ni Uongo au Uzushi sio unakurupuka tu kusema ni Uongo!!
Kama wewe unajifanya unamjua embu sema Unavyomjua!!

Ndiyo,linapokuja swala la Utetezi na Kusimamia Maslahi ya Wananchi hana Rekodi ya Kusema tofauti na Watawala hata katika mambo yaliyo wazi!!

I dare u to challenge me where have told a lie?!!
 
hata ingeundwa na malaika lazima kuna watu wangetoa maoni ya kuipinga!
Cha mihimu ni kuangalia wanachokipinga ni nini ili kiwe addressed.
Asiyependa kukosolewa ni adui namba moja wa maendeleo ya nchi yetu.

Kwa bahati mbaya sikioni kitufe cha Ku-like,uwezi kutaka kufanya kazi za kitaifa halafu uwe mwoga kukosolewa au watu wakimwaga mambo yako hapa Useme wametumwa au wana wivu tu!!

Kama mtu anajua anataka Utumishi wa Umma na achunge njia zake,Uwe mwadilifu kwa lazima katika watu 40000 atakuwepo mmoja au zaidi anayekujua kinagaubaga!!
Huyu Jamaa anayejiita Tume ya Taifa,anatamani tusiwachambue hao Wajumbe,He is just a hopeless ninkampopoo!!
 
Hayo maneno hapo jk analo ,nashauri usiwaapishe siku hiyo ijumaa watu ambao jamii imeweka wazi udhaifu wao.jk na amaini umesikia

Inabidi hao wajumbe wengine wawekwe wazi hapa wasifu na haiba zao,tuwajue vizuri ili tujue nn tutarajie kutoka kwa hao Waheshimiwa!! Mm nimemzungumzia huyo Polepole,nimesema Ukweli tupu,hata yeye mwenyewe hawezi kubisha let alone huyu Gamba anayejiita Tume ya Katiba!!
 
Watanzania hamna kitu walichowahi kukikubali at first. Lazima waponde, wao hawana zuri.

Kaka hiyo ni Generalisation,ndiyo maana hata kwenye ajira watu huitwa kwenye Usahili ili kupima Elegibility yao kwa kazi waliyoiomba!!

Cha Msingi ni Kuangalia Ukweli wa Jambo linalosemwa kuhusu Muhusika,kama si uwongo then hatuwezi kutazamia chochote cha maana kutoka kwa mtu huyo,Period!!

Kuusema wasifu wa mtu wa Ukweli sio Kuponda,Its just the truth,Mbona Makamba alipopigwa na Mzee Slaa kuhusu kilichomfanya atimuliwe Ualimu alikaa Kimya?
Kama na hawa waheshimiwa wanasingiziwa au wanafanyiwa hila Wajitokeze wajibu hoja!!
 
Back
Top Bottom