Siri kubwa CCM!!!

Unarukia mada bila hata kutafakari nini konaweza kukuta kisheria, hivi huoni kwamba mtoa mada amekitukana chama kwa kutoa maneno ya kichochezi? hata chama kikiwa hovyo vipi hakiwezi kikawa na sharti kama hilo.

Mkuu hilo ndio sharti lenu.. sasa kwanini hupendi tafsiri yake??? Mbu=Mnyonyaji!!!!
 
Unarukia mada bila hata kutafakari nini konaweza kukuta kisheria, hivi huoni kwamba mtoa mada amekitukana chama kwa kutoa maneno ya kichochezi? hata chama kikiwa hovyo vipi hakiwezi kikawa na sharti kama hilo.

Fata link alokupa ndo utasema kakitukana chama
 
Kama wewe siyo mwana CCM Unatafuta nini kwenye website ya CCM? Hauna hoja

Oneni mawazo ya wana-CCM jamani! Kumbe website yao ni ya kwao peke yao hairuhusiwi mtu mwingine kuitembelea!! AIBUUUUUUUU!!!!!!!!! Au huyu jamaa hana kichwa chenye akili nini??
 
Nimekuwa nafuatilia masuala ya CCM ni kwanini viongozi wake wengi wanakumbwa na tuhuma za ufisadi??? Nimeingia kwenye website yao nimesoma masharti ya uanachama ndani ya CCM ni pamoja na kuwa "mbu". Moja ya masharti ya uanachama CCM inasomeka hivi:

Kuwa mtu anayependa kushirikiana na wenzake. Kuwa mbu ambaye siku zote yuko mstari wa mbele katika utekelezaji wa mambo yote ya umma, kulingana na miongozo ya CCM.

Kwa uelewa wangu mtu mwenye tabia za mbu ni mnyonyaji na hafai katika jamii hivyo, huenda wanachama wake wanatimiza hili sharti.

Aleast sasa sitoweza kumlaumu Lowasa, Rostam wala Kalamagi ila CCM yenyewe ibadilishe masharti yake.

Source:Chama Cha Mapinduzi - CCM

Hiyo kali, mimi nadhani walimaanisha kuwa MTU....

Ikiwa ndivyo, itakuwa compatible na maneno haya chini yake, "Kuwa wakati wote ni mfano wa tabia nzuri kwa vitendo vyake na kauli yake, kuwa mwaminifu, na kutokuwa mlevi au mzururaji. Kuwa ama mkulima, mfanyakazi au mwenye shughuli nyingine yoyote halali ya kujitegema"
 
Unarukia mada bila hata kutafakari nini konaweza kukuta kisheria, hivi huoni kwamba mtoa mada amekitukana chama kwa kutoa maneno ya kichochezi? hata chama kikiwa hovyo vipi hakiwezi kikawa na sharti kama hilo.

Umepewa source na link lakini u mvivu wa kufuatilia. Inakuwia rahisi kukanusha kuliko kuhakiki.
Tuna safari ndefu bado.
 
Mkuu nimeingia humo kwenye iyo website, ni kweli mbu imeandikwa but ukisoma vizuri utaona kuwa ni typing error. Ingekuwa wana maanisha hivyo, neno mbu lingetumika hata kwenye sentensi ya mwazo ya paragraph. CCM siwapendi kabisaaa but atleast haki yao nawapa pale wanapostaili.

(Kuwa mtu anayependa kushirikiana na wenzake. Kuwa mbu ambaye siku zote yuko mstari wa mbele katika utekelezaji wa mambo yote ya umma, kulingana na miongozo ya CCM.)

Nadhani walitaka kumaanisha mbunifu!
 
Aisee kweli bana,,, MBU???
 
Attachments

  • ff.JPG
    ff.JPG
    112.8 KB · Views: 36
Ina maana hiyo webisite ni kwa wana CCM tu?

Waweke password kwa members only ili hilo neno Mbu lisionekane kwa wote! kweli wametumia neno Mbu, sijui wanamaana gani labda kueneza malaria na kuuwa watu
 
Yaani niwe mbu?? Haiwezekani
Wakuu.
Wewe na mleta mada,hapa mumekusudia kuchekesha watu na kuwaudhi baadhi.
Ukisoma kwa kutulia hiyo sentensi basi ni typo error....mbu...mtu.
Tumechekeka kidogo. Wenyewe wataliona kosa na webmaster wao atarekebisha.
Vizuri umewafikishia ujumbe.
 
Nadhani hapa walikwepa neno FISADI wakaweka neno MBU yaani Mnyonya Damu za Watu. Kuwatia watu magojwa ya umasikini japo wanagawa vyandarua! Kweli Chama Cha Zamani wamekosa aibu!
 
Wakuu.
Wewe na mleta mada,hapa mumekusudia kuchekesha watu na kuwaudhi baadhi.
Ukisoma kwa kutulia hiyo sentensi basi ni typo error....mbu...mtu.
Tumechekeka kidogo. Wenyewe wataliona kosa na webmaster wao atarekebisha.
Vizuri umewafikishia ujumbe.
Anyways ninapenda sana kuchek hizo typing errors LAKINI kama hiyo ni typing error basi kiboko:
1. Mara nyingi ukisoma maelezo ukakuta typing error, tegemea kukuta errors nyingine
2. Umbali kati ya b na t yaani kuandika mtu, na mbu katika keyboard daah haiingii akilini,,, ingekuwa myu, mru, mgu, somewhere near t kidogo ningeamini amini.
3. Hilo neno ni mbu na liko sahihi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom