Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

Aliyepost hii thread ni Miss Judith, so waste not your time to find who did it.

mpendwa wangu, taratibu eee,

kama huna chakuchangia si ukae kimya tu usome michango ya wengine nawe ujipatie hekima?

ooh Lord have mercy on your people

Glory to God
 
mtu mzima hoovyo yani umetoka ulikotoka na mipombe yako ukaja kupost huu upupu wako hapa
This is not how great thinker wanajibu hoja.....

mjibuni mtoa hoja with critical Biblical Quotes wazee......sio bezo kama hizi...
 
Wanaoisoma Biblia kama "novo" ndio hao wanaokuwa wepesi kuamini wakisikia mtu anasema "Nimetumwa..." "Nimeoteshwa..." Hawajui hata mungu wa dunia hii(shetani) anawaotesha watu!
Manabii wa uongo(kama babu) tunawatambua kwa matunda(matendo, maneno) yao. Huyu babu anayedai kwamba yeye ni mtumishi wa Mungu na huku hataki kuwahubiri maelfu ya watu wanaokwenda kwake kupata kikombe, ni nabii wa uongo maana anapingana na Neno la Mungu linalotuagiza kuhubiri Injili. Mtume Paulo alifanya miujiza mingi ya kupita kawaida hata hivyo alijua ni lazima ahubiri Injili. Ndio maana akasema "Ole wangu nisipoihubiri Injili" (1 Wakorintho 9:16). Wana JF, mshukuruni Mungu maana ametufunulia siri iliyokuwa imefichika. Ametujulisha kuwa babu ni mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo. Anafananishwa pia na panya anayeuma huku anapuliza. "Unapona" leo, halafu kesho unaenda Jehanam, crap!

Nipo pamoja na wewe ndugu, Mungu ameattach greater importance kwenye uponyaji wa roho za watu na ndio maana anaagiza watumishi wake wahubiri neno lake, maana litaleta uponyaji wa roho.

Ndugu zangu the reason Mungu anasisitiza watu waponywe roho zao ni kwa sababu roho zitaishi milele, either Jehanum au kwenye raha ya milele. Kwa hiyo kwake Mungu ni injili kwanza halafu uponyaji na hata kama utafanyika uponyaji ni lazima injili ihubiriwe, hizo ndio principles za Mungu.

Ukiona mtu anakuambia nakuponya halafu nenda na hana interest na roho yako, jiulize mara kumi kumi je, katumwa na Mungu kweli au mungu wa small letter "m". Sasa babu anachemsha miti shamba unakunywa unaondoka.

Sasa wengine tukipima utendaji wa Mungu ambao upo so organized na una principles na precepts zake tunaona kuwa babu ni mganga tu wa kienyeji. Na kwa sababu there is a spirit operating katika kila jambo lifanywalo ndio maana tunamu-associate babu na spirit isiyotoka kwa Mungu.

Yesu alituambia tutawaombea wagonjwa/kuwawekea mikono nao watapata afya. And God being so clever he knew kwamba nikianza kuwaambia wakakate miti wataharibu mazingira, i have all power, they should just pray and believe and people will be healed. Simple and straight forward, you don't need to travel kumpata Mungu kwenye kikombe cha babu, ni jambo la aibu na la kusikitisha kwa kweli!!
 
asante sana kaka Rutashubanyuma kwa kuweka sauti yako ya nguvu ya hoja iliyoenda shule katika utata huu wa imani. hakina nimesikitishwa sana na kuona maelfu ya watu wanapotea hivihivi kwa kuyakataa maarifa.

biblia ni jibu la hakika na ni ufunuo kamili wa Mungu, kila atakaye kujua nini mapenzi ya Mungu atapaswa kuisoma na kuiamini. kwa kweli Mungu anayemuamuru mtumishi wake kuponya magonjwa pekee bila kuliinua jina lake na kuwafundisha wakosaji njia zake, huyo si Mungu Muumba ninayemfahamu mimi.

tena kuna mahali wengine wamekiri kuwa wao wanamuamini babu! yaani ni ajabu na weli. mtu mzima mwenye akili timamu amefikia hatua ya kumuamini mwanadamu badala ya Mungu? jamani, hili ni janga la kitaifa la imani. tuzidishe kuwaombea hawa wapendwa wetu wanaopotea hivihivi huku wamezungukwa na wingu kubwa sana la mashahidi wa imani ya kweli.

ooh, Lord have mercy on your people. amen

ubarikiwe sana mpendwa Ruta.

Miss judy.....wakatoliki wanaamini watu waliowabatiza utukufu kama watakatifu...na wana sala zao mt filomena,mt yuda thadei wanasali na kuwaamini kuwa watawaponya....vipi kuna tofauti na wanaomuamini babu?
 
msijiingize ktk lawama ambazo zitawafanya nyote tuwaone hamna akili, usikimbilie kulaumu kuwa Babu katumwa na shetani bila ushahidi, maana ninachoamini ni kuwa hata siku moja shetani hajawahi kumshinda Mungu, kumbuka Musa alipodondosha fimbo ikawa nyoka, wale wachawi nao walidondosha zikawa nyoka lakini ya Musa ikameza za wachawi, nashauri tu kuwa watu wanaomjua Mungu hawashindani kwa maneno bali huakikisha kwa kumuuliza Mungu na Mungu hujibukwa vitendo na siyo maneno kuepusha malumbano, no reseach no right to speak!,. Haya ya Babu yanadhihirisha kuwa watu wana shida na wanataka mtu wa kuzimaliza shida zao, hii iwe challenge kwa Watumishi wa Mungu na siyo kulalamika wala kukimbilia kwenye vyombo vya habari kuhukumu!. Ningefikiri wangekuwa wa mwisho kutoa misimamo kama Mungu bado kuongea nao ila ninachotambua halifanyiki jambo lolote bila Mungu kuwataarifu watumishi wake kabla. Pia hawa vijana wasiokuwa na adabu na Watumimishi wa Mungu wajifunze adabu siyo tu kukurupuka na kuwataja Mwingira na Kakobe kwa kila unachofikiri ni sawa akilini mwako, tofautisha Wanasiasa,wasanii,mafisadi na Watumishi wa Mungu, watavuna laana na huenda wanaziongeza maana andishi hili lanitia wasiwasi kama aliyeandika mzima! Pia wenye hekima wamshauri Babu asije kuingia ktk malumbano maana atapoteza mwelekeo hata kama ametumwa na Mungu,maana nimeshaona watu wanapochukizwa ni rahisi sana kumwasi Mungu! Mf: Nabii Yona, Babu pia alitaka kupotoka alipowaalika Kakobe na Mwingira kunywa dawa, alitakiwa tu ajue kuwa akina Mwingira na Kakobe hawaumwi na alishasema dawa yake siyo kinga! Simlaumu sana maana ni mwanadamu pia na kila mwanadamu huweza kupotoka, maana hata hao wagojwa hakuwaita yeye wlikuja kwa matatazo yao. Wote tutafakari kabla ya kuongea tutaonekana wenye busara.
 
Nipo pamoja na wewe ndugu, Mungu ameattach greater importance kwenye uponyaji wa roho za watu na ndio maana anaagiza watumishi wake wahubiri neno lake, maana litaleta uponyaji wa roho.

Ndugu zangu the reason Mungu anasisitiza watu waponywe roho zao ni kwa sababu roho zitaishi milele, either Jehanum au kwenye raha ya milele. Kwa hiyo kwake Mungu ni injili kwanza halafu uponyaji na hata kama utafanyika uponyaji ni lazima injili ihubiriwe, hizo ndio principles za Mungu.

Ukiona mtu anakuambia nakuponya halafu nenda na hana interest na roho yako, jiulize mara kumi kumi je, katumwa na Mungu kweli au mungu wa small letter "m". Sasa babu anachemsha miti shamba unakunywa unaondoka.

Sasa wengine tukipima utendaji wa Mungu ambao upo so organized na una principles na precepts zake tunaona kuwa babu ni mganga tu wa kienyeji. Na kwa sababu there is a spirit operating katika kila jambo lifanywalo ndio maana tunamu-associate babu na spirit isiyotoka kwa Mungu.

Yesu alituambia tutawaombea wagonjwa/kuwawekea mikono nao watapata afya. And God being so clever he knew kwamba nikianza kuwaambia wakakate miti wataharibu mazingira, i have all power, they should just pray and believe and people will be healed. Simple and straight forward, you don't need to travel kumpata Mungu kwenye kikombe cha babu, ni jambo la aibu na la kusikitisha kwa kweli!!

mpendwa ubarikiwe sana kwa maneno haya ya kweli.

tunapambana na watu tena baadhi yao waliojiita ama kuitwa wakristo na wakabatizwa na hata pia waliojitangaza na kushuhudia hadharani kuwa wameokoka, lakini wakishi makanisani mwao miaka nenda rudi bila kulisoma vizuri nenno la Mungu na kulifahamu kwa usahihi wala kuujua ukisto wenyewe. tena wengine viongozi wa kiroho kama hao maskofu na wachungaji wa kanisa la KKKT wanaoshabikia uganga huu na kuhitimisha kuwa haupatikani na ushirikina!

kweli mpendwa, kazi tunayo. makanisha yamefurika watu wasio na maarifa huku wakijisifia kuwa wana imani! hapa dar watu wanavbadili makanisa kila siku eti kutafuta uponyaji. alipokuja mzee wa "siku ya matendo ya miujiza" akavuna na mpaka leo anavuna mavuno makuu, akaja matanshati na mheshimiwa wa mikocheni B ambaye kwake Mungu huwapa watu mpaka safari za kwenda marekani! akavuna hadi akatisha, mara kuna mwinginne anajiita amejaa upako, mwingine natural therapist! alipojitokeza mtu wa ku-deal na misukule, walijaa kwake mpaka wafunga barabara, sasa ameibuka mwenye kikombe cha mitishamba wamefurika mpaka serikali imepeleka huduma za dharura! hapo sijataja huduma za hakuna lisilowezekana kwa Mungu na nyinginezo amabazo huvuta mamia ya watu na saa nyingine unakuta ni walewale wanzunguka tu makanisa na huduma tofauti kutafuta miujiza kana kwamba muijiza ndiyo "main goal" ya dini ya ukristo!

hivi, tunaelekea wapi na imani zetu jamani? tuna tofauti gani na wapagani? wahubiri wameacha kufundisha neno la Mungu kwa ufasaha, wamegeukia kushughulikia miujiza pekee. wapegeuka kutoka evangelists hadi kuwa miracle workers!

ooh Lord have mercy on your people!

ndugu yangu hakika shambani mwa Bwana mavuno ni mengi ila watenda kazi ni wachache. tuzidishe maombi kumuomba Bwana wa mavuno aongeze wahudumu shambani mwake.

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God
 
Miss judy.....wakatoliki wanaamini watu waliowabatiza utukufu kama watakatifu...na wana sala zao mt filomena,mt yuda thadei wanasali na kuwaamini kuwa watawaponya....vipi kuna tofauti na wanaomuamini babu?

hakuna tofauti. ndio walewale.

njia iendayo upotevuni ni pana sana inasomba maelfu kwa maelfu!

ee Mungu, turehemu watu wako amina

Glory to God
 
This is not how great thinker wanajibu hoja.....

mjibuni mtoa hoja with critical Biblical Quotes wazee......sio bezo kama hizi...

Umenena ndg yangu, watu wanajibu vitu wasivyojua hasa kizazi cha sasa hakisomi Bible, mimi napenda kusema hivi: Mungu hawezi kufanya jambo kabla ya kuwajulisha kwanza Watumishi wake mitume na Manabii! Sasa hapo vipi? Watumishi wamelala? Au walijulishwa kwanza? Wangejulishwa wangetuambia kabla na siyo baada: vinginevyo ufalme mmoja hauwezipingana: halafu mstaarabu hujulikana kwa maneno watu masuala ya imani wasijibu bila ustaarabu, tutakuwa kama Rostam Aziz amasema haamini dawa lakini ameruhusu ndg zake wakatibiwe na anasema hawajapona maana hawana imani hao, huyu kama alijua hivi si ana pesa nyingi tu ametuibia? Kwnini asiwapeleke India wakatibiwe hadi anaruhusu waje loliondo na imani nusunusu? Mwaka huu tutaona Mengi: Rostam huyu huyu anayetutesa!!!!!
 
Kweli siri imejulikana kwamba wewe mediaman na babako shetani mna mkakati wakupotosha jamii kwa kukariri baadhi ya mistari,Jesus aliponya hata kwa tope na kwa neno! Unavyosema hakutumia gome la mti,em' soma Ezekiel 47:12 na kama haitoshi soma ufunuo 22:2!!
Asante kwa ufafanuzi mzuri,jamani Biblia sio NIPASHE au MAJIRA !
 
leo ulidhani babu wa loliondo ni kama kakobe, yeye ana washabiki na wafuasi wengi humu JF weka ushahidi wa kuumbuka na si kutoa aya za biblia na kuzitafsiri. Mie simo umelianzisha pambana nalo

Kumbe ni Washabiki, mh! Kazi tunayo ndo maana hatuelewani, Kakobe na Mwingira wana Washarika siyo Washabiki, Wajameni ndg wapendwa tujue kuwa inawezekana Babu hana shida ila hawa wanaojiita Mashabiki ndo wenye matatizo maana hata ukisikiliza kuna wanaokwenda kuiba dawa jikoni kule! Sasa tunaweza kumlaumu baba sababu ya Mashabili wake bure: siyo wastaarabu maana pale wanakwenda dini zote na wapagani pia, hivyo watu wengine wanamtumia Babu kama mtaji wao, tutaona tu tuendako,ila sioni sababu ya kupona mwili ubakia roho iliyokufa, watu wajue kupona mwili siyo bora sana kama roho yako.
 
Sichukii watu kuwekwa huru na kuponywa magonjwa. Namchukia yeye(shetani) anayewadanganya watu kwa miujiza ya uongo, WASIONE UMUHIMU WA KUSIKILIZA TENA NENO LA MUNGU ili waendelee kukaa katika dhambi zao na kisha siku ya mwisho waangamie pamoja naye katika moto wa milele. Kama unaamini kikombe cha babu kinaweza kukuponya kisukari, kwanini usiamini kwamba Yesu anaweza kukuponya bila kutoa pesa? Hujui kwamba Yesu ni Mungu na kwa Neno lake vitu vyote viliumbwa? Aliyeumba madini au material yaliyotengeneza hivyo vikombe na miti inayotumiwa na babu, atashindwa kukuponya kisukari? Unakubali kutapeliwa mchana kweupe? THINK TWICE

.
Mungu anafanya kazi zake kwa njia nyingi, anaponya kwa kutamka neno na pia hilo hilo neno anaweza kuliweka kwenye kitu kama maji, tope likaponya na kuna ushahidi wa kimaandiko laa sivyo ukanushe. Mungu ametupa akili na hizi akili alizotupa ni kwa ajili ya utukufu wake pia. Fikiri kama sii akili wewe sasa hivi ungewasiliana je mimi? Huoni sasa tunawasiliana japo niko nje ya tanzania?
Mnaompinga babu, sidhani kama mmenyimwa fursa ya kuwahubiria wale wagonjwa wanaoenda kwake, nendeni mkaweke kituo pale arusha na mpaaze sauti zenu kwao kwamba babu anatumia nguvu za giza kwa hiyo mkiponywa basi mpeni sifa Mungu wa nuru, huenda wakawasikiliza. Pia kumbukeni kisa cha Eliya na manabii wa baali. Waponyeni wagonjwa pale Arusha kabla ya kufika kwa babu ili Mungu wenu amzidi kete mungu wa babu na halafu kisha waamrisheni mliowapa afya kwa neno wamkamate babu ili tumpotelezee. Msipoweza hayo hamuoni mnajaribu ketetea imani dhaifu mbele ya imani sabiti? Babu akiamua kuamrisha wanaoponywa wawakamate na kuwashughulikia hamtasalimika. Sema tu ni kwa sababu babu amefungwa na neno la Kristo la kumsamehe adui na kumwombea mema.
Uponyaji ni mvuto wa kwanza then mvuto wa pili ni utambuzi wa siri za mioyo ya watu kisha mvuto wa tatu wakiisha kushawishika kwa hiyo miwili ni neno la uzima kwa roho za hao watu. Acheni injili kavukavu za kukaza misuli ya ubishani, mdhihirisheni mungu mnaedai kumtumikia kimatendo zaidi.
.
 
It is just an" eye opener", you have the right to take or ignore it, lets build a habit of respecting others ideas.
 
Siri iliyofichuka ni kwamba Shetani ndiye aliyemtuma Babu wa Loliondo awape watu kikombe. Na sio Mungu aliyeumba mbingu na nchi. Mungu anapotuponya anapenda tumshukuru na kumtukuza Yeye Mungu pekee. Jambo hilo shetani halipendi. Ndio maana anazidi kuwashawishi hata wana JF wakiamini na kukitukuza tu kikombe cha babu! Watanzania, Biblia ni Neno halisi la Mungu ndio maana imetafsiriwa kwa lugha nyingi kuliko vitabu vingine. Tuisome, tufumbuliwe macho, tusichukuliwe na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu(Waefeso 4:14-15).

Nani kakwambia kinatukuzwa kikombe?Watu wanafuata uponyaji aliouleta Mungu kupitia huyo mchungaji mstaafu,watu hawaendi kukisujudia kikombe tafadhali
 
mpendwa ubarikiwe sana kwa maneno haya ya kweli.

tunapambana na watu tena baadhi yao waliojiita ama kuitwa wakristo na wakabatizwa na hata pia waliojitangaza na kushuhudia hadharani kuwa wameokoka, lakini wakishi makanisani mwao miaka nenda rudi bila kulisoma vizuri nenno la Mungu na kulifahamu kwa usahihi wala kuujua ukisto wenyewe. tena wengine viongozi wa kiroho kama hao maskofu na wachungaji wa kanisa la KKKT wanaoshabikia uganga huu na kuhitimisha kuwa haupatikani na ushirikina!

kweli mpendwa, kazi tunayo. makanisha yamefurika watu wasio na maarifa huku wakijisifia kuwa wana imani! hapa dar watu wanavbadili makanisa kila siku eti kutafuta uponyaji. alipokuja mzee wa "siku ya matendo ya miujiza" akavuna na mpaka leo anavuna mavuno makuu, akaja matanshati na mheshimiwa wa mikocheni B ambaye kwake Mungu huwapa watu mpaka safari za kwenda marekani! akavuna hadi akatisha, mara kuna mwinginne anajiita amejaa upako, mwingine natural therapist! alipojitokeza mtu wa ku-deal na misukule, walijaa kwake mpaka wafunga barabara, sasa ameibuka mwenye kikombe cha mitishamba wamefurika mpaka serikali imepeleka huduma za dharura! hapo sijataja huduma za hakuna lisilowezekana kwa Mungu na nyinginezo amabazo huvuta mamia ya watu na saa nyingine unakuta ni walewale wanzunguka tu makanisa na huduma tofauti kutafuta miujiza kana kwamba muijiza ndiyo "main goal" ya dini ya ukristo!

hivi, tunaelekea wapi na imani zetu jamani? tuna tofauti gani na wapagani? wahubiri wameacha kufundisha neno la Mungu kwa ufasaha, wamegeukia kushughulikia miujiza pekee. wapegeuka kutoka evangelists hadi kuwa miracle workers!

ooh Lord have mercy on your people!

ndugu yangu hakika shambani mwa Bwana mavuno ni mengi ila watenda kazi ni wachache. tuzidishe maombi kumuomba Bwana wa mavuno aongeze wahudumu shambani mwake.

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God

Mpendwa umenigusa sana. Roho Mtakatifu na azidi kukushudia rohoni mwako ili uzidi kutulisha neno la Mungu ambalo ni upanga wa rohoni uangushao ngome za yule mdanganyifu.
 
Hii filamu ya babu dhidi ya wakristo wasiamini kwamba naye ni mkristo na ametumwa na Mungu naona ndio kwanza inaanza kuchanganya.

Ngoja tuendelee kuvuta subira, tuone hatima yake.

btw; tunaambiwa wakristo wanaongozwa na upendo, sasa wanapo "mhukumu" babu kwamba katumwa na shetani, wanakuwa wako sahihi ama wanakuwa wamepotelea na upendo mioyoni mwao??

Ngoja sisi tuendelee na mizizi yetu ya tangu enzi na enzi!!
 
Nipo pamoja na wewe ndugu, Mungu ameattach greater importance kwenye uponyaji wa roho za watu na ndio maana anaagiza watumishi wake wahubiri neno lake, maana litaleta uponyaji wa roho.

Ndugu zangu the reason Mungu anasisitiza watu waponywe roho zao ni kwa sababu roho zitaishi milele, either Jehanum au kwenye raha ya milele. Kwa hiyo kwake Mungu ni injili kwanza halafu uponyaji na hata kama utafanyika uponyaji ni lazima injili ihubiriwe, hizo ndio principles za Mungu.

Ukiona mtu anakuambia nakuponya halafu nenda na hana interest na roho yako, jiulize mara kumi kumi je, katumwa na Mungu kweli au mungu wa small letter "m". Sasa babu anachemsha miti shamba unakunywa unaondoka.

Sasa wengine tukipima utendaji wa Mungu ambao upo so organized na una principles na precepts zake tunaona kuwa babu ni mganga tu wa kienyeji. Na kwa sababu there is a spirit operating katika kila jambo lifanywalo ndio maana tunamu-associate babu na spirit isiyotoka kwa Mungu.

Yesu alituambia tutawaombea wagonjwa/kuwawekea mikono nao watapata afya. And God being so clever he knew kwamba nikianza kuwaambia wakakate miti wataharibu mazingira, i have all power, they should just pray and believe and people will be healed. Simple and straight forward, you don't need to travel kumpata Mungu kwenye kikombe cha babu, ni jambo la aibu na la kusikitisha kwa kweli!!

Tutakuwa wajinga wote kama kitu kinakuja na sote tunaangukia huko bila mijadala na hoja. Wajinga ni raisi kuwatawala kwa maana wote uangukia upande mmoja haraka sana kama ilivyo pia ni raisi kukukimbia hivyohivyo. Wenye elimu wanaenda ,wengine lazima wajadili, lazima tugawanyike. Mitume wote walikuwa na wapinzani hata leo na mijadala inaendelea. Tusikae kimya kuhusu babu na wote tukasubiri kwenda tu kama kondoo,mijadala ni lazima ili kupata ukweli maana hata Tomaso alipinga ili apate ukweli zaidi
 
Kweli sikio la kufa halisikii dawa.Jamani babu hakufunuliwa na mungu. nina ushaidi wa watu watatu kufariki baada ya kutoka loliondo.Walikwenda kupata kupata kikombe waliporudi hali ilizidi kuwa mbaya,sukari ikazidi kupanda na presha juu hatimaye wamekufa.

wanayemsikiliza huyo nabii muongo shauri yao!
 
Back
Top Bottom