Siri hizi za Wanawake

Mimi nina rafiki yangu best kwenye kununua viwalo ni extravagant wakati mumewe ni bonge la bahili na mnoko. Mumewe ana kazi nzuri ni boss kwa hiyo huwezi sema ni masikini ila bahili na anaspend kwenye mambo ya maana tu. Mkewe akinunua kitu ananambia NK hiki kitu ni sh kadhaa ila hubby namdanganya maana ataniua. Well pesa ni yake mwanamke lakini mume wake hapendi ujinga.

What I can say ni kuwa kama mwanaume anakuwa critical akiambiwa true price na wife basi jua next time and other times mke atakudanganya tu ili ukome. Wake zenu uongo mnawafundisha wenyewe

Hii theory ina apply hata kwenye malezi ya watoto. Mtoto akikwambia ukweli kuwa amekosea ukweli wake unamponza anapata kichapo; unadhani next time atasema; labda kama hana akili.

nk nimekukubali, hili jibu limejitosheleza. sasa wacha mtoa mada ahitimishe kwani tukilisherehesha hili neno ulilosema itakuwa twatia chumvi. Big up
 
Back
Top Bottom