Sir Elton John claims Jesus was gay (Mbona mnatuchanganya)

Status
Not open for further replies.
I wonder ,at last he got the attention , anyway is he still doing well in the music industry or gay business ?
 
Wenye data tupeni details huyu Elton John anamegwa na super star gani?
 
elton john atahukumiwa kwa haki maana mungu wetu ni mungu wa haki.nimekwazwa na kauli hii lakini nimemsamehe hasa baada ya kukumbuka kwamba tabia ya ushoga ni laana kuna mtu kasema ni kighune kwahiyo tumsamehe maana ni kichaa kama mandereni
 
bora dini ya shekh Yahya kuliko dini ya padri shoga Elton John, padri Robinson. Watu wamejitangaza ni mashoga lakini leo wanaongoza ibada kwa jina la Bwana. Watu jama hawa ndio mana wanatolewa roho ili kuzuiya uovu wao usienee, alianza mmoja kujitangaza leo wako wa tatu! Sasa wanaanza kumtangaza BWANA nae pia alikua akitoa nnya!, ASTAGHFIRULLAAAH. dini ya shekh Yahya inamuongozo wa kiutendaji kwa kila jambo, jesus/Issa Bin Mariam ni Mtume wa wa MMungu mtu anaemtukana mtume hukumu yake duniani ni kukatwa kichwa hadharani, kwa kulinda heshima jesus/Issa bin Maryam, na kulikasa jina lake tutakata kichwa cha KAFIRI HUYU

Kwa hiyo ni rahisi zaidi kuua kuliko kuelekeza?

Chuki huzaa chuki. Ni bora kuwaeleza na kuwarudisha katika njia sahihi. Sasa kama unajua afanyalo ni kosa halafu unamwuua ili roho yake iende jehanamu utakua umemsaidia kweli?
 
bora dini ya shekh Yahya kuliko dini ya padri shoga Elton John, padri Robinson. Watu wamejitangaza ni mashoga lakini leo wanaongoza ibada kwa jina la Bwana. Watu jama hawa ndio mana wanatolewa roho ili kuzuiya uovu wao usienee, alianza mmoja kujitangaza leo wako wa tatu! Sasa wanaanza kumtangaza BWANA nae pia alikua akitoa nnya!, ASTAGHFIRULLAAAH. dini ya shekh Yahya inamuongozo wa kiutendaji kwa kila jambo, jesus/Issa Bin Mariam ni Mtume wa wa MMungu mtu anaemtukana mtume hukumu yake duniani ni kukatwa kichwa hadharani, kwa kulinda heshima jesus/Issa bin Maryam, na kulikasa jina lake tutakata kichwa cha KAFIRI HUYU
labda nikusahihishe jambo moja rahisi...Yesu wa Biblia takatifu, si Issa anaetajwa kwenye Misaafu ya Quran, wanaweza kufanana kiasi, ila wanatofautiana sana. Yesu wa Biblia Takatifu , alimuagiza Petro kurudisha kisu alani mwake maana haina maana kumpigania mwana wa Mungu maana baba yake anajeshi kubwa la malaika ambao wanaweza kumpigania....na Yesu wa Biblia Takatifu, ni mpenda amani,utu, kusamehe na mnyenyekevu.
Kutukanwa Yesu hakuanza leo, alitukanwa na Wayahudi , walimpiga na hata kumsurubisha msalabani....lakini aliwasamehe.
Elton John KUWA SHOGA, anaweza kutubu na kusamehewa dhambi zake...... na akawa raia mwema na muumini wa kawaida.
Haitupasi kuua, maana imeandikwa USIUE. NA YESU kabla ya kuondoka alituachia Amri kuu, kuliko zote, akasema PENDANENI. na upendo huu ndio unaoweka mpaka kati ya UKRISTO na dini zingine, uislamu ukiwa mmoja wapo.
 
Mishoga ndivyo ilivyo,inaelekea hata ukienda kuila ukitoka inahadithia kuwa na wewe ni shoga mwenzao!!
 
Abarikiwe Elton John kwa tamko lake.
Matusi aliyotukanwa Yesu alipokuwa akisulubiwa ni mazito kuliko ya elton John.
Bwana wetu Yesu Kristo ni mwingi wa rehema na pendo,
kwake kwapatikana neema na toba.
Naamini Elton Kisha samehewa dhambi yake hiyo, maana kwa kupigwa kwake, kutukanwa kwake na kwa mateso yote aliyopata,
Ulimwengu ukakombolewa.
Amen.
Mbona manchuchanganya ?Mara ni Mungu mara ni mtoto wa Mungu leo hii tunapewa tarifa mpya kuwa jesus alikuwa Jirani .twambieni lipi kati ya hayo ni la u kweli .

Sir Elton John claims Jesus was gay

Rock star offends US Christians by claiming Jesus was a 'super-intelligent gay man'



elton-john--001.jpg
Sir Elton John, seen here on stage in Germany, has offended Christians by saying Jesus was gay. Photograph: Sascha Baumann/Getty Images

Sir Elton John has sparked outrage among Christians in the United States after claiming Jesus was gay.
In an interview with US magazine Parade, John said he believes Jesus Christ was a "compassionate, super-intelligent gay man who understood human problems".
His remarks have upset America's religious lobby, not known for its tolerance of diverging views, with one senior US Catholic complaining that Jesus had labelled a "sexual deviant".
In the wide ranging interview – due to be published in full on Parade.com later today – John, 62, spoke about drugs, fame and Christianity.
Talking about Jesus, he said: "On the cross, he forgave the people who crucified him. Jesus wanted us to be loving and forgiving. I don't know what makes people so cruel. Try being a gay woman in the Middle East – you're as good as dead."
John, real name Reg Dwight, also discussed consummating his relationship with civil partner David Furnish and how the pair keep their love alive.
But it is his remarks regarding Jesus that appear to have stoked the most interest.
Bill Donohue, president of the Catholic League – a US Catholic civil rights organisation which says it aims to defend Catholicism – said John was not in a position to pass comment.
"Jesus was certainly compassionate, but to say he was 'super-intelligent' is to compare the son of God to a successful game-show contestant," Donohue said.
"More seriously, to call Jesus a homosexual is to label him a sexual deviant. But what else would we expect from a man who previously said, 'From my point of view, I would ban religion completely.'"
Stephen Green, director of right-wing US Christian group Christian Voice, dismissed the claim as "rubbish".
"The Bible says Jesus was without sin and that rules out homosexuality," he said. "This is a desperate cry for attention."
In Britain, the response was somewhat more moderate.
A spokesman for the Church of England said: "Sir Elton's reflection that Jesus calls us all to love and forgive is one shared by all Christians."
"But insights into aspects of the historic person of Jesus are perhaps best left to the academics," he told the BBC
 
Huyu nae dhambi zake za ushoga zimemzidia ndo maana anakosa kujitambua ..ukiwa mtenda dhambi ni lazima utaitetea dhambi yako
hivyo basi Hata kama ana fedha lakini Maisha yanamchanganya si bure

...Kama alivyosema mmoja wa watu waliohojiwa baada ya 'mheshimiwa' huyo kutoa kauli yake:: "Unategemea nini kutoka kwa mtu ambaye aliishasema kuwa ingekuwa amri yake angeishafuta dini zote"??

...Mimi naongeza::"Unategemea nini kutoka kwa Mwanaume ambaye amekubali kuwa Mke wa Mwanaume Mwenzake???
 
kweli kitendo cha wewe kuwa shoga, ni kasoro kubwa, ni aibu, ndo maana John Fashanu alijiua baada ya jamii yake kujua.
sasa kukaa na kumsikiliza Elton, aah , ujinga, tunamsamehe.
maana kaisha chagua fungu lake.

Wewe kama nani??? na mwezio nani??? Unge-react vipi kama hii slander ingekuwa ni dhidi yako binafsi, baba yako mzazi, babu yako, mama yako au mkeo???

Yaani unaona sawa kwa Mwenyezi Mungu aliyekuneemesha na ubinadamu kati ya viumbe wake wengi, anayekupa uhai, anayekupa riziki, aliyekupa akili nk, nk kutukaniwa Mtume wake namna hii lakini ingekuwa umetukanwa wewe kiumbe wake wa kawaida tu ingekuwa purukushani.

Uongo, ni uongo ulio wazi. Suala sio kwamba nyinyi wakristo ni wasamehevu, la hasha!!! Sababu ni hii.

1. It does not touch any part of your faith, you are insensitive because you have no faith, none to God Almighty, none to His Prophets and His Messengers, either be that Adam, Abraham, Moses, Yahya(John), or Jesus, let alone Muhammad (SAW)

2. You are helpless, and you can't do anything about it, just some part of you that can make a very insignificant yell. You are incapable/scared/coward of waging war against those who are enemies of God Almighty, His Prophets and His Messengers of which God Almighty has just extended the golden opportunity for faithfull to take part in waging war against His enemies. You have lost it, losers!!!

3. You are selfish type of human beings. God does not require protection from any of his creatures but taking a stance against mistreatment of His and His Prophets and Messengers' names, attribute-tittles, majesties is an oppurtunity to the faithfulls to show their gratitude and humility towards their Lord. Where are you??? Just hiding cowards. In this type of issue, you were expected to be upfront and your Muslim cousins backing you up. You are pathetic and just proving to be useless people. You still don't get the point of blasphemy(kufuru), do you???

" Whoever loves for the sake of God Almighty, and hates for the sake of God Almighty. S/He gives for the sake of God Almighty, and withholds for the sake of God Almighty, then S/He has perfected his/her faith"

You are just pathetic and faithless people. No wonder they created for you and you just swallow without digesting this cruci-fiction thing in order to get away with every stupidity you commit. To think that this selfishness is attorned in your alleged cruci-fiction is vainglorious.
 
Mishoga ndivyo ilivyo,inaelekea hata ukienda kuila ukitoka inahadithia kuwa na wewe ni shoga mwenzao!!
mchajikobe umenichekesha na ni kweli watahadithia mana mashoga huwa ni wambea na wenye viherehere kuliko hata sisi wanawake.
ila kitu kimoja kimoja nadhani huelewi ni kwamba kwa kingredha gayz stands for men who like men hivyo hata kama mtu anajiona kidume cha mbegu lkn akimla mwanaume mwenzie na yeye ni gay.
elton john amepinda tu na wala sio ajabu kwa yeye kusema hivyo maana anajua anavyofanya inatia kinyaa hivyo anadhani akisema yesu ni gay itasaidia kupunguza makali ya uvundo wake.
hata hivyo yesu amezoea matusi na kashfa na hata mate alitemewa lkn haikupunguza ukweli kwamba yeye ni mwana wa mungu mkombozi wetu.
kipindi hiki kilishatabiriwa na mambo mengi ya ajabu yatafululiza na wengi watayumbishwa hivyo cha msingi ni kila mtu ashike sana alicho nacho.
 
Mbona manchuchanganya ?


We unapenda mwenyewe tu kuchanganyikiwa bana. Kuna la kukuchanganya hapo? Kama ukichanganyikiwa na hilo basi ujue nawe ni shoga au akili bado hazijakomaa. Sasa wewe unategemea nini kutoka kwa huyu? Nikupe sababu mbili kwanini kasema hivyo:

1. Kwanza anaipinga ile imani inayopinga mashoga, hence atatafuta maneno yoyote ili mradi kupinga na kuweka anachokifanya kuwa ni sahihi

2. Pili ameamua kuisemea hiyo imani kwa kuwa anajua hatofanywa kitu na wenye imani hiyo hawatatangaza kichwa chake kuwa ni dili kwa khiyo anijona ni free kufanya hivyo kwa kuwa hatauliwa. Si unakumbuka katuni ya Denmark? Kichwa cha jamaa mpaka leo ni dili kwahiyo kaelekeza huko kwani ataendelea kuishi zaidi atapinhwa kwa maneno tu.

So be wise and start wealthy thread not this piece of psychotic behaviour please!
 
Hivi kwanin Alton John, anadai na wengine wa msaspect YESU kuwa ni shoga? wanavigezo gani?

Kwa nini hawamsemi Jacob Mzuma au Mtume Mohammad S.A.W kuwa ni mashoga? Tuacheni jazba, tujibu kitaalam ili wengi wasio mjua Yesu nao wafaidike. Respect
 
Utaona watu wakipapatika kumsema Yesu, wanatafuta compromise

kama unataka kuwa shoga si uwe tu? kitu gai kinakufanya umseme Yesu tena?

injili inachoma!!!
 
Hivi kwanin Alton John, anadai na wengine wa msaspect YESU kuwa ni shoga? wanavigezo gani?

Kwa nini hawamsemi Jacob Mzuma au Mtume Mohammad S.A.W kuwa ni mashoga? Tuacheni jazba, tujibu kitaalam ili wengi wasio mjua Yesu nao wafaidike. Respect

wewe unasemaje??
 
Huyu nae dhambi zake za ushoga zimemzidia ndo maana anakosa kujitambua ..ukiwa mtenda dhambi ni lazima utaitetea dhambi yako
hivyo basi Hata kama ana fedha lakini Maisha yanamchanganya si bure

Dada FirstLady naomaba unifafanulie hapo Uliposema (.ukiwa mtenda dhambi ni lazima utaitetea dhambi yako) siku hizi utakuta watu wenye sifa za huyo Elton john wamekubalika ndani ya baadhi y makanisa kuwa wafuwasi au viongozi wa kuendesha ibada , sasa inakuwa vipi hapo ?au unamanisha walio ruhusu hali hiyo nao ni wafanyaji hivyo vijambo?
 
Wewe kama nani??? na mwezio nani??? Unge-react vipi kama hii slander ingekuwa ni dhidi yako binafsi, baba yako mzazi, babu yako, mama yako au mkeo???

Yaani unaona sawa kwa Mwenyezi Mungu aliyekuneemesha na ubinadamu kati ya viumbe wake wengi, anayekupa uhai, anayekupa riziki, aliyekupa akili nk, nk kutukaniwa Mtume wake namna hii lakini ingekuwa umetukanwa wewe kiumbe wake wa kawaida tu ingekuwa purukushani.
.
sasa kama ni Mungu mwenye nguvu zote , si muache ajipiganie, sasa unampiganiaje Mungu, unapiganiaje nafsi ilio hai.....mbona hii ni rahisi.
Mungu ni tofauti sana na baba yangu, ambae anahitaji msaada kupiganiwa, na inawezekana baba ama mama yangu ni wazee, hivyo lazima niwatetee.
hapo ndipo ulipo mpaka kati ya Ukristo na Uislamu, ambapo Allah wa Quran hana nguvu, mnyonge, asieweza kujipigania.
 
laana mkubwa! na kwa nyie mnaosema kama ingekuwa Waislam... kwani nani kawaambia huu upuuzi hauwaumi Waislam? Yesu (au Issa) anaheshimiwa na anaaminiwa na Waislam wote, na hakutokea US, UK or AFRICA katokea MIDDLE EAST, and ask yourself majority of ppl in ME are Muslim or Christians? and you think you know him better than em! dumb ass
 
Jamanie wana JF.Naombeni MODS wafunge hii thread. Au kwa vile wakristo hawana jazba i mean hawajandamana ? ok. hope wengi mtakubaliana na mimi .Hii thread inasababisha watu wengine wanapata dhambi na laana humuhumu, manake wanaingiza hata mitume wa dini zingine, guys i beg your support lets close this thread:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom