Sir Elton John and David Furnish's Baby Boy!

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
elton-talks-about-his-son__oPt.jpg



Absolutely adorable!
For the first time ever, Elton John and David Furnish have posed on camera with their newborn baby, Zachary!
Here’s what Elton had to say to OK! Magazine about the little fella:
"He shot out like a rocket. There just aren't proper words to describe that feeling. It's indescribable. It was just, 'We have a son'!"
"I'm ready to have a child and lavish my love on our son and not spoil him."
Excellent plan, Elton! We're sure you and David are going to be wonderful fathers!


1303295855_large.jpg
 
sasa huyu kamzaaje huyo mtoto...hii mijitu bana ...toto nalo likikuwa likawa PUNGA itakuwaje ?
 
na ndio itakavyokuwa wallah kwani si watu wasema mtoto wa nyoka nae ni nyoka,,subhanallah rabb ghurirliy warhamniy ya raab,,!!!!!!!!
 
kwa hiyo ndo kamzaa huyu mtoto? da jamaa wanamhemea hyuma AAAAH NDO MAANA HATA NYIMBO ZAKE SIZIPENDI1
 
  • Thanks
Reactions: MAO
Yaaani nashindwa hata nianzaje .

Maana sisi ngozi nyeusi tumezoea kuwafagilia hawa White Man, kila kukicha. Lakini hii ndio moja ya madudu yao.

Sipati picha huyo mtoto akianza shule na atakapokuja na wenzake nyumbani kwao . Atamtambulisha vipi huyo Elton John.

Kid 1: My friends this is my mamy !

Kid 2: Are you crazy ? This should be your Dady !

Upo hapo !?
 
Uchafu huu what is this teaching us ??? This is not our culture na I would love them if at all they exist in the society to be destroyed. It is against Religious ethics and mankind.

Kabisa Siku za Mwisho.
 
SASA NANI BABA?elton john ama mumewe?huyu mtoto atajibiwa vipi akiuliza mama yake yuko wapi?Hawa ndio wanatuletea matatizo tu.
 
huyu mtoto akianza shule.. iam sure atapata tabu.. kutaniwa na wenzake.. na pia kuna 60% possibilty.. ataiga huu mchezo mchafu toka kwa hawa wazazi wake.. hivi ni cha kiume au cha kike..??!
 
Hili jamaa lina heshima sana kwao lkn haya mengine mmmh! Ni tamaduni za kishenzi.Namuombea huyo mtoto ajepata akili tofauti aje tanua hayo mapesa.Kwani zipo za kutosha na si ajabu ataachiwa urithi wa kutosha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom