Sipo tayari kutibiwa na daktari wa kigeni,liwalo na liwe!

Binafsi nalipinga hili suala la kuajiri jamaa kutoka nje badala ya kutatua matatizo tunayokuwa nayo lakini kuhusu kutokuwa tayari kuhudumiwa na Dr kutoka nje, mkuu wala usiseme sana: Hujaugua!!!!
 
wakuu kwa kweli sipo tayari kutibiwa na daktari wa nje kwani nchi yangu tz haipo vitani,huo ndio msimamo wangu liwalo na liwe!

mkuu usijali tutaenda kwa babu wa kikombe semunge, loliondo..
 
Eeh MUNGU, NAOMBA UMPE MTOA MADA GONJWA LA HATARI AKOME NA MPAKA MAJI AITE MMA, EYMEN!!
 
Back
Top Bottom