Sipo tayari kutibiwa na daktari wa kigeni,liwalo na liwe!

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,266
Wakuu kwa kweli sipo tayari kutibiwa na daktari wa nje kwani nchi yangu TZ haipo vitani,huo ndio msimamo wangu liwalo na liwe!
 
Teh teh nakuunga mkono asilimia mia. kwanza tutashindwa kuelewana nao lugha
 
Wewe si unatibiwa nje ya nchi. Wacha sisi tutibiwe. Hata hivyo haijaanza leo wapo wa kichina, korea, uholanzi, wajerumani, wajapani n.k hata kabla ya mgomo
 
Wakuu kwa kweli sipo tayari kutibiwa na daktari wa nje kwani nchi yangu TZ haipo vitani,huo ndio msimamo wangu liwalo na liwe!

Mwenye afya hamuhitaji tabibu asilani. Kuwa na afya au la ni mapenzi yake mola!
 
Mbona kuna matangazo kibao mitaani dr manyaunyau,dr mti mkavu,dr maji marefu,nk si wawachukue hao hasa wa kutoka tanga bagamoyo na sumbawanga
 
Wakuu kwa kweli sipo tayari kutibiwa na daktari wa nje kwani nchi yangu TZ haipo vitani,huo ndio msimamo wangu liwalo na liwe!
Inaonekana Akili yako haijakomaa!Ninyi Ndio mnauwanga makono wagomaji na Kuwaacha wananchi wanateseka!
mie mwaka wa saba nafanya kazi hospitali na jua kila Chungu na Tamu la Hospitali!
Ila kugoma kutibu wagojwa ni LAANA SIO BURE!
 
Wakuu kwa kweli sipo tayari kutibiwa na daktari wa nje kwani nchi yangu TZ haipo vitani,huo ndio msimamo wangu liwalo na liwe!

sipo tayari kuchomwa sindano za kupunguza nguvu za kiume na mzungu.

Halafu huyu Mzee Liwali na Liwe anategemewa kuwalipa bei gani hao Noah?
 
Back
Top Bottom