Sipendi msichana mwenye tabia hizi...

Hizi n dizo tabia za wasichana ambazo sipendi kabisa:
  • kuamka usiku na kuanza kupekua simu yangu
  • msichana mwenye gubu
  • msichana ambaye anajisafisha sana kwa nje huku hajakumbuka kutandika kitanda alichokilalia.
  • msichana mchoyo, ambaye wakija wageni anauvuta mdomo kwa hasira na kuficha chakula.
  • msichana ambaye anapekua mifuko ya shati na suruali kusaka mshiko.
  • msichana ambaye anajidai hawezi kuwatembelea wagonjwa na wenye shida mbalimbali kwa kuwa yuko busy.
  • msichana ambaye anawaza kujiremba na kujipodoa kuliko mustakabari wa maisha yake yajayo.
  • msichana anayefitinisha wanandugu.
  • msichana mwenye maringo na kiburi wakati hamna anachojua.
  • msichana muongo.
  • msichana asiye na hofu ya mungu
  • msichana anayehusudu habari na hadithi za kishirikina.
.......hiyo red ndo sumu ya kila kitu........
 
Back
Top Bottom