sipendi masimu haya jamani.

Mimi naona simu ambazo ni latest zinafaida nyingi sana, kwanza zin sensitive camera kuanzia 5MP - 8MP, pili zina uwezo wa kuchukua video movie bila shida yoyote hadi MP4 (1280 -780) ambayo highest quality. Net ndiyo usiseme kabisa, kwa vifu hivyo vitatu kwangu mimi ndiyo msingi wa maamuzi, vinginevyo kama nataka kupokea na kukata Nokia tochi ni simu poa. Kinachokuja hapa ni gharama ya simu hizo, mfano simu ya chini nzuri touch samsung wave II utaipata kuanzia 660,000.00 na kuendelea, ukija kwenye Iphone ndiyo balaa hadi 1.3ml! Kutokana na ughali huo ndiyo maana zinawashinda wengu lakini otherwise ni best phones ever in the world for the time being.

yep, napenda maendeleo kama hayo, ila kwanini features hzo zisiwe katika candybar phones ambazo sio touch wala smartphones? mimi sipendi touch wala smartphones, haki itendeke jameni!
 
sijasema kuwa napenda tochi jameni. mi napenda candybar phones, tatizo langu ni kwanini feature latest zimewekwa kwa androids na windows mobile wakati choice lazma iwe na updates?

Tatizo ni kwamba features nyingi zinahitaji kuwa na njia nzuri ya kuinteract nazo, ni vigumu sana kuweka features kwenye candybar phone kisha iwe na interface nzuri kufananisha na touch. Pia feature kama web na video zinahitaji screen kubwa ili ziwe zina raha. Operating System ya hizi candbat nazo nyingi hazina uwezo wa advanced features mara nyingi kasoro Symbian ndo ilikuwa inajitahidi.

Lakini kubwa kuliko yote ni kwamba hakuna market ya simu kama hizo tena, watu kama wewe wamebaki wachache sana hivyo hakuna maana kibiashara kutengeneza simu advanced kwenye muundo wa candybar. Juzi tu hapa SonyErricsson wametangaza wanahamia kwenye smartphones tu, so feature phone zote watazitosa karibuni. Nokia nao wameitupa Symbian wako kwenye transition kwenda Windows Phone.
 
eh? kama ndio hivo basi hakuna jinsi, itabidi niendelee na hzi simu zangu za low-tech, maana mwenzenu na touch sijui smartphones wallah?
 
we binadam gan usiyefurahia mabadiliko ya teknologia kweli kuna watu na binadamu....me i love touchscreen verymuch
 
we binadam gan usiyefurahia mabadiliko ya teknologia kweli kuna watu na binadamu....me i love touchscreen verymuch

na wewe binadamu gani usiyeheshimu mapendeleo ya mtu? kwani si nishasema kwanini sipendi touch na smartphones, mbona una bichwa gumu hivyo wewe?
 
inakua hivi una kitu chako umekimaster fresh then technology inachange unapitwa na wakati unabaki kueka bias tu. Utafkiri feudalism isiyotaka capitalism. Em jitahidi uende na technology kaka.

Wasema kudondosha simu zafa? Hivi waijua gorrila touch screen yakanyagwa na gari screen haipasuki? Em tafuta baadhi ya samsung galaxy inayo pamoja na nokia n9 uone kazi
 
Jamani ni mimi nina Nokia X2-01 ila nikiingia facebook siwezi kuwaona malafiki walio online msaada please
 
Back
Top Bottom