Sipati Start Menu.

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
167
33
Habari za leo wanaJF. Naomba msaada/ushauri toka kwenu jamani, computer yangu imegoma kuonyesha Start Menu. Kinachotokea ni kwamba ninapoiwasha, baada ya ku-load katika hatua zile za mwanzo, pale ninapotaka kuingia kwenye program zingine zilizopo kwenye start menu, computer inagoma ku-display start menu. Computer yangu (laptop) ina Microsoft Windows XP ya 2007. Kwenye display nili-opt ku-hide desktop. Mara ya mwisho nili-download Mozilla Fire Fox, na nikaifanya kuwa "default browzer" badala ya internet explorer iliyokuja nayo. Kitu ambacho nakumbuka ni kwamba nilisahau ku-uninstall internet explorer kabla ya ku-install mozilla. Baada ya ku-install mozilla niliendelea ku-surf kutumia mozilla. Tatizo la Start Menu limejitokeza baada ya kuizima computer baada ya kumaliza surffing juzi. Naomba nisaidieni wakuu nifanye nini ili niendelee kutumia computer yangu?
 
tatizo lako limeelezwa vizuri wenye tovuti ya Micrsft namna ya kulitatuia
This behavior may occur for one of the following reasons:
  • The Auto-hide the taskbar option has been selected for the Taskbar and Start Menu Properties.
  • Your user account settings are corrupted.
  • The core files are damaged.
  • The Explorer.exe file does not load during startup. ...........

kwa jins unavyelza sabbau hasa ya tatizo inaweza kuwa hizo sehemu nilizowea blue.

soma na jaribu kufuata maelezo haya

Hasa hasa jarbu kutengeneza account mpya alafu ulog nayo ucheki (Method 2)

Na Method 4

kama maelezo yatakuchangnya n unaona huelewei basi fanya system restore.
 
kuweka browser zaidi ya moja ktk machine ni nadra sana kusababisha tatizo, binafsi nakushauri kutafuta setup cd ya window xp ufanye reinstallation ya os ikiwa una upeo nayo
 
tatizo halijasababishwa na kuinstall browser mbili kwenye computer yako. You can install as many browsers as you want bila kuunistall nyingine. So tatizo sio browser hapo. Fuata maelezo ya mtazamaji hapo juu
 
Back
Top Bottom