Sipati Picha Siku Wana JF Tutakapokutana Peponi!!!!

Kidogo bado nimeshindwa kutolewa sababu limevimba nakunywa dawa mpaka lipungue ndo nitakwenda kutoa
Daah! Pole mpendwa, na siku hizi madaktari hawang'oi tena majino yalovimba, pole again manake nshawahi kuonja maumivu ya jino!.. Ntapita jioni kukoroga uji!
 
Mex
naomba ultimate security wawe na bastola zao kabisa na tuhakikishe tunaPita kwenye screening machine akuna atakaeiingia na silaha maana kuna wengine wana hamu kujua hee ndio huyu mshenzi anaetutukana kumbe yanaishia jamvini jioni tunakunywa wote rosegarden bia kujuana hiyo ndio jf
wito

mnapoingia jamvini mjue mnaingia zaidi nya kandhahari ,,yaani kila mtu anakuwa na silaha yake mnakwenda kujilipua liwalo na liwe lakini mkifika afghansatn mnakaa chini kupanga amani ya nchi yenu hayo ndio maisha ya jf kwa wewe unaeingia so usishangae kuona watu wamekulipua na kujilupua siku ya siku

teeehhh teeehhh hivi akutwakuwa na shampagne nimfungulie ms mahsusi

i like him.her

teeehh teeehhhh naomba niagize matarumbeta kama wataruhusu
 
Asante AshaDII, niko njema kuna mchina mmoja alinitibu, anyway ngoja nipitie


Naona wachina wamekuja juu katika kila kitu.... Pitia bana, kuna list ya watu expecting to be there... If you can make it, it will be good for you.
 
Kwa hiyo hao ulowataja ndio watakaoanza kuREST IN PEACE?!
POPOOOOO!
 
Back
Top Bottom