Sipati picha CCM kukaa bungeni viti vya wapinzani

hulbmbowe

Member
Mar 12, 2014
96
36
Kwa hali ninayoiona kila siku ccm inazidi kushuka chini ni kutokana na mienendo yao ya utawala ambao haumfurahishi mtz mwenye hali yeyote... Kwa mwaka huu wa uchaguzi wajipange kisaikologia wasije kupata wabunge 5 tu hahaha maana baadhi yao ni mwendo wa kuhonga kama kawa. Na siku zote kiongozi bora wananchi wanamjua wenyewe
 
Duh.. Haitakaa itokee.. Kumbuka wao ndo wenye tume... Sidhani tume tulinayo ikatangaza mpinza ndo awe rais.. Weweee patachimbika pale kwa wazee wa bvr
 
Duh.. Haitakaa itokee.. Kumbuka wao ndo wenye tume... Sidhani tume tulinayo ikatangaza mpinza ndo awe rais.. Weweee patachimbika pale kwa wazee wa bvr

Hakuna kitu kinatisha kama nguvu ya umma,ogopa sana hiyo tume itatangaza hata kama atakuwa anatangaza huku akibubujikwa na machozi
 
CCM watamkumbuka sana Komba leo angewabeba na nyimbo zake. Wasanii wenyewe mlio nao ni wa bongo muvi ambao wanajulikana kwa watoto tu au mahause girl ambao hushinda nyumbani na kuangalia hizo bongo muvi. Duh pole xana
 
Nasikia sasa wanataka kumpa ubunge viti maalum wema
 
Back
Top Bottom