UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,520
- 7,723
Aache, ataendelea kumegwa tu humo barabarani wakati wenzie wana ndoa zao na wanafaudu. Yeye anadhani ndoa zote ni sawa na ya wazazi wake?
Sijui ni kwa nini watu hawaelewi kwamba kila ndoa ni unique. Ndoa yako siyo sawa na ya wazazi wako. Wewe ni tofauti kabisa na mama au baba yako, na mwenzio utakayekutana naye ni tofauti kabisa na wazazi wake. Chemistry yenu kwenye mapenzi haiwezi kuwa sawa na ya wazazi wenu. Lazima watu tujifunze ku-shape ndoa zetu kulingana na watu tunaopendana nao. Kulazimisha ndoa yako iwe kama ya wengine ni wrong perception.