Sioi Sumari kuapishwa tarehe 10 april 2012 saa tatu asubuhi - Lowassa

View attachment 50591Mheshimiwa Edward Lowasa akimnadi mgombea wa ccm,kijana mtanashati na mjenga hoja za nguvu mheshimiwa Sioi Sumari alisema"Nawaahidi, kuwa sasa matatizo yenu yamekwisha, nimekuja kufunga mjadala wa ajenda ya matatizo ya ardhi, maji na umeme, mkimchagua Sioi … Aprili 10 saa 3.30 asubuhi ataapishwa na ikifika saa 7.30 mchana mimi Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM wa Mkoa wa Arusha na wabunge wenzangu, tutamwita Waziri wa Ardhi, Mama Tibaijuka (Profesa Anna) ili achukue jalada la suala la ardhi na maji na kulipeleka kwa Rais. Aliendelea kumnadi mbunge mtarajiwa kuwa Sioi "Ni mtu makini na mwenye uwezo. Naomba mumwamini na mumchague, nimekuja kumwombea kura kama mwana CCM mwenzangu. “Lakini hata nikimnadi kama mkwe si dhambi. Alimpenda Pamela, watu waache kidomodomo. Ni kijana safi, kwa hivyo nisimsifie kwa vile mimi ni mwanasiasa? Mkimchagua Sioi nawaahidi kuwa mtapata maendeleo makubwa maana tutashirikiana naye… nawaahidi hivyo mimi si mtu wa domo ni mtu wa kazi,”

MHESHIMIWA EL.NA waziri mkuu staafu tunaomba tumia cheo chako muapisheni siku ya jumapili Tarehe 01.04.itapendeza zaidi.
 
Acha kukurupuka kashaga, soma vizuri swali la pinokyo. Concern yake hapo ni hou mwaka. Thread inaonyesha mwaka 1012. Mjibu sasa.

yah nimecheki, ni typing error katika heading! ila content iko poa kabisa
 
mwisho wa Lowassa? Nafikiri ikitokea CDM wakashinda huko Arumeru, Mr. White hair atakuwa kajimaliza mwenyewe kisiasa! Naona anajaribu kupima kukubalika kwake kisiasa na kama ikatokea CCM ikashinda, tutegemee Lowassa kuongeza mbio zake towards urais!
 
View attachment 50591Mheshimiwa Edward Lowasa akimnadi mgombea wa ccm,kijana mtanashati na mjenga hoja za nguvu mheshimiwa Sioi Sumari alisema"Nawaahidi, kuwa sasa matatizo yenu yamekwisha, nimekuja kufunga mjadala wa ajenda ya matatizo ya ardhi, maji na umeme, mkimchagua Sioi … Aprili 10 saa 3.30 asubuhi ataapishwa na ikifika saa 7.30 mchana mimi Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM wa Mkoa wa Arusha na wabunge wenzangu, tutamwita Waziri wa Ardhi, Mama Tibaijuka (Profesa Anna) ili achukue jalada la suala la ardhi na maji na kulipeleka kwa Rais. Aliendelea kumnadi mbunge mtarajiwa kuwa Sioi "Ni mtu makini na mwenye uwezo. Naomba mumwamini na mumchague, nimekuja kumwombea kura kama mwana CCM mwenzangu. “Lakini hata nikimnadi kama mkwe si dhambi. Alimpenda Pamela, watu waache kidomodomo. Ni kijana safi, kwa hivyo nisimsifie kwa vile mimi ni mwanasiasa? Mkimchagua Sioi nawaahidi kuwa mtapata maendeleo makubwa maana tutashirikiana naye… nawaahidi hivyo mimi si mtu wa domo ni mtu wa kazi,”

Mod peleka ihi thread kule chit chat.jamaa kashaanza siku ya wajinga mapema uhu ni mwaka 2012
 
mwisho wa Lowassa? Nafikiri ikitokea CDM wakashinda huko Arumeru, Mr. White hair atakuwa kajimaliza mwenyewe kisiasa! Naona anajaribu kupima kukubalika kwake kisiasa na kama ikatokea CCM ikashinda, tutegemee Lowassa kuongeza mbio zake towards urais!
Hiki kinaweza kuwa kipimo cha kukubalika kwake ila hakiwezi kuwa kipimo kamili cha kuweka conclusion juu ya hatma yake ya urais. Hii ni sample ndogo sana.
 
Back
Top Bottom