Sioi Sumari achaguliwa na CCM kumrithi baba yake Arumeru Mashariki!

Matokeo Arumeru Sarakikya 259 Siou Sumari 361 Elishilia Kaaya 176 Anthony Musami 22 Elilehema Kaaya 205 na Ndg Urio 11

Kwa matokeo haya alieshinda kura za maoni ni Ndg Sioi Sumari
.


Je utawala wa Kifalme ndio unaendelea CCM?
Kumbe hata kwenye chama chake hakubaliki.

Sioi =35%
Sarakikya= 25%
Elilehema = 20%
Elishilia = 17%
Anthony = 2%
Urio = 1%
 
Matokeo Arumeru Sarakikya 259 Siou Sumari 361 Elishilia Kaaya 176 Anthony Musami 22 Elilehema Kaaya 205 na Ndg Urio 11

Kwa matokeo haya alieshinda kura za maoni ni Ndg Sioi Sumari
.


Je utawala wa Kifalme ndio unaendelea CCM?

Hiyo tofauti ndogo ya kura ni faida kwa chama changu...nategemea mpasuko mkubwa hapo,maana CCM ni watu wenye uchu na madaraka kweli kweli....
 
Kwa mujibu wa taarifa ya habari TBC saa tano usiku huu, Mkutano Mkuu wa CCM Arumeru umemchagua mtoto wa Mar Sumari kumrithi baba yake Ubunge.

Ikumbukwe kuwa rushwa ilitembea katika mchakato huo. Kazi kwenu wana CCM!
 
Nilisema hapa baadhi ya wanajamvi wakawa wakali kweli sasa yametumia.na mchezo takuwa hivi.

MAGAZIJUTO:
WOTE HAWA NI NDUGU

SIOI + BABA MKWE LOWASA * MWENYEKITI TUME YA TAIFA UCHAGUZI = USHINDI WA KUCHAKACHUA.

ANGALIZO:
HAPA CHADEMA TUNAHITAJI WATU MAKINI SANA LA SIVYO TUTALIA KILIO CHA SAMAKI
 
If CCM wameona Sioy atawawakilisha vizuri fine and good. kama kweli hafai, na kama kweli hili la kurithishana lipo CCM tu, basi CDM should use hii kama mtaji wa ushindi.

CDM wanahitaji kustadi kwa kina tabia za Wameru ili kupata ushindi.
 
..haya haya!...

ivi sioi kamwoa nani?yule dem alemaliza mastaaz yake mzumbe mwaka 2006?
 
Sioi sumary,ridhiwani Kikwete,January makamba,victor kawawa,Zainabu kawawa,Hussein mwinyi,aman karume,William malechela,munde tambwe,beno malisa,na kadhalika
 
Back
Top Bottom