Sioi Sumari achaguliwa na CCM kumrithi baba yake Arumeru Mashariki!

tupe habari kamili, kapata kura ngapi, na waliomfuatilia nao wamepata ngapi,ili habari ikamilike vizuri
 
Mchuano ni mkali sana hasa ukitegema kuwa unacheza mziki kati ya lowassa ambaye ni baba mkwe wa sioi na chadema wanakubalika maeneo ya arusha.kazi kali kuliko tunavyotegemea.let's see lowaSsa in action.
 
wakwanza sioi sumari
pili sarakikya
tatu kaaya elishia
nne sikumbuki maana walikuwa wanataja haraka sana pia idadi yaa kura kwa kila mmoj sijaweza kurecod kwa haraka
 
Kwani hujui uongozi ndani ya ccm huwa ni wa kifamilia kwanza, kama huamini fuatilia
 
[h=6]Matokeo Arumeru Sarakikya 259 Siou Sumari 361 Elishilia Kaaya 176 Anthony Musami 22 Elilehema Kaaya 205 na Ndg Urio 11

Kwa matokeo haya alieshinda kura za maoni ni Ndg Sioi Sumari
.[/h]Je utawala wa Kifalme ndio unaendelea CCM?
 
Back
Top Bottom