Sioi:machalii wa arumeru awadanganyiki na tasaf

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Akionekana kuelemewa na matatizo yanayolikabili jimbo la arumeru mashariki mgombea wa CCM Bw. Sioi ili kupata kura za vijana amehamua kuchukua porojo za waziri usingizi kuwa Mradi wa TASAF ambao unatarajiwa kuanza mwezi wa julai kuwa ndiyo utakuwa mwarubaini kwa ajira kwa vijana wa meru.
Kwa kifupi machali wa Arumeru hawadanganyiki na TASAF coz imekuwepo for the past five years.
 
huyu jamaa anadanganya wananchi,mipango ya tasaf inasubiri utekelezaji kwa hiyo haitahitaji mbunge kukamilishwa.ni upuuzi kudanganya umma katika zama hizi.
 
Tasaf kitu gani bilion moja jk aliyotoa imepotea bila wananch kujua ilivyomegwa.halafu jamaa anaongea kama amekaririshwa.nasari full point wenye akili ndo wanamuelewa "kwa miaka hamsini ya sisiem awakutakiwa kuja majimboni kutoa ahadi walitakiwa kueleza wamefanya nini for 50yr na watafanya nini mbeleni" kauli ya hekima sana kutoka kwa kijana nasari.kama baba alishdwa alyekuwa naibu waziri wewe kidampa utaweza nini
 
Vijana wa Meru siyo vilaza wa kukimbilia mikopo ya kishenzi. Mradi wa TASAF ulikuwepo muda haujaweza kuwakwamua kiuchumi.
 
Kwani CDM wamefanya nini mpaka sasa kwenye majimbo waliyoshinda 2010??
In order to be in a safe side kwa tanzania hii, inabidi uichague CCM, wapinzani wengi hawana mwelekeo!
 
inashangaza kuona jamaa anaahidi mambo yaliopitishwa kwenye bajeti za halmashauri.hana jipya la kuboresha hali ya meru.
Nassari anaongelea maji na ardhi kama key problems.
 
Kwani CDM wamefanya nini mpaka sasa kwenye majimbo waliyoshinda 2010??
In order to be in a safe side kwa tanzania hii, inabidi uichague CCM, wapinzani wengi hawana mwelekeo!

Wabunge wa CDM wamekuwa wakitoa kazi walizo fanya lakini hatujawai ona za wabunge wa CCM.fanya utaratibu wa kutueleza wabunge wa ccm wamefanya nni sample wassira,mwigulu,lusinde,sendeka,chiligati na marehemu sumari pia
 
Tasaf kitu gani bilion moja jk aliyotoa imepotea bila wananch kujua ilivyomegwa.halafu jamaa anaongea kama amekaririshwa.nasari full point wenye akili ndo wanamuelewa "kwa miaka hamsini ya sisiem awakutakiwa kuja majimboni kutoa ahadi walitakiwa kueleza wamefanya nini for 50yr na watafanya nini mbeleni" kauli ya hekima sana kutoka kwa kijana nasari.kama baba alishdwa alyekuwa naibu waziri wewe kidampa utaweza nini

Well said mkuu watuambie ni lipi walilolifanya la maana kwanza na wanatarajia kufanya nini na siyo kutuhadaa na ahadi bandia kama za jk mwaka 2010. Pia wajue Tz haiongozwi kifalme mpaka sasa baba ashindwe ktleta maendeleo ili nae mtoto apewe, wana arumeru msidanganyike kwa hili hata kidogo
 
Huyu jamaa ni muongo na mnafi! ndiyo mzee na hawafai ktk kuwaletea maendeleo jimboni mwenu ndiyo mzee! basi yafaa tusimpe kura
 
Kwani CDM wamefanya nini mpaka sasa kwenye majimbo waliyoshinda 2010??

In order to be in a safe side kwa tanzania hii, inabidi uichague CCM, wapinzani wengi hawana mwelekeo!

Ccm ya Nyerere iliharibika baada ya mafisadi na manyang'au kuingia "I order to be in the safe side!" hatimae wakakiteka chama.
Baada ya kukamata safu za uongozi, wakawafundisha woga wananchi kwamba "I order to be in a safe side", lazima uwe ccm ili kujiongezea "watumwa" na kujihakikishia ufalme wa nchi "I order to be in a safe side!"

Nakuonea huruma maana umetekwa na kauli hiyo, sasa hujiamini tena, unahofu ya kufa na sio tu umejiunga na ccm, bali unawatetea "so that you'll be in a safe side!"

Pole sana!
 
Wabunge wa CDM wamekuwa wakitoa kazi walizo fanya lakini hatujawai ona za wabunge wa CCM.fanya utaratibu wa kutueleza wabunge wa ccm wamefanya nni sample wassira,mwigulu,lusinde,sendeka,chiligati na marehemu sumari pia
with an exception ya Mwigulu, wengine wote uliowataja wameogoza majimbo yao kwa zaidi ya kipindi kimoja. wamekuwa wakichaguliwa kutokana na kazi nzuri walizokuwa wakizifinya majimboni mwao. kwa tafiti zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa zinaonyesha kuwa, ni wabunge wachache sana wa CDM watakoweza kuretain nafasi zao 2015.
 
Hizo ni tafiti za REdet na Dr. Bana hazina ukweli wowote zaidi ya kutawaliwa na emotion na biase.....lusinde naye ni wa miaka mingi?wassira chakachua dot.com
 
Kwani CDM wamefanya nini mpaka sasa kwenye majimbo waliyoshinda 2010??
In order to be in a safe side kwa tanzania hii, inabidi uichague CCM, wapinzani wengi hawana mwelekeo!

Whose safety...CCM or Tanzanians? Safe from who? Who belong to that 'safe side' you are talking about? Is that the only thing you can promise us Mr Bald Head?
 
Back
Top Bottom