Sioi hana mvuto

Mastabenja

Member
Mar 23, 2012
25
6
Nimekuwa nikimchunguza sioi ktk kampeni hana mvuto wowote anapoongea ni kama kalazimishwa.uwezo wake wa kujenga hoja duni sana ananikumbusha kampeni zj karume 2005 ccm oye serikali itaboresha uvuvi ccm oye serikali itaboresha karafu ccm oye
 
Hahahaaa hii nimeipenda....
JF inakukaribisha.....Chadema oyeeee....Jisikie uko nyumbani JF oyeeee
 
Umeingia kwa dirishani? Mlango hujauona. Karibu sana JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom