Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Sioi j Sumari ameshinda tena kuwa mgombea ubunge wa jimbo la arumeru mashariki kwa tikiti ya CCM, awali alikuwa ameshinda huku akifuatiwa kwa karibu na Sarakikya. Nauchukulia ushindi huu kama pigo kwa Viongozi wa ccm wanaoendekeza makundi katika chama. Ni imani yangu kuwa Sioi alitaka kutiliwa zengwe kwa kushukiwa kuwa ni kundila Lowasa. Kama hisia yangu niyakweli basi Siasa za makundi zitaigharimu CCM.