Sioi akataliwa kikao cha Kamati ya siasa Mkoa

CCM hao bwana! Rushwa ni roho ya CCM, ukijaribu kutenganisha roho na mwili lazima uhai utoweke!
 
huyu mama chatanda bado yuko arusha? jaman hafai hata kdg maneno nayongeaga kuhusu uhusiano wake na mkuu wa kaya ni mazito
 
Tuwe na subira tuone nani zaidi, Lowasa, Millya.. et al: au Chatanda, Wasira.. et al:
 
Yaani mimi nashindwa hata kuelewa, hivi kweli hawa watoto wa wakubwa wanawapenda watanzania au wanataka tu kujaza matumbo yao????!!!!Sina hakika kama huyu Sioi amewahi hata kuingia huko kwenye UVVCCM au hata kufanya shughuli zozote za jamii kweli sijui. Kwanza hata elimu yake nina mashaka nayo sijui ana elimu gani.Anyway, Mungu Tusaidie watanzania tujitambuwe
 
Waliommaliza Sioi ni hawa hapa,

Magesa Mulongo, Mary Chatanda, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye na Stephen Wassira.

hongera sana Chatanda uwepo wako Arusha utasaidia wengi.
 
Back
Top Bottom