1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 603
Kwa wewe muelewa utaona na kugundua ilo kua kweli tuna serikali ya wachekeshaji,dhaifu,uswahili na wanaoamini kulindwa na ushirikina katika uongozi na maisha yao.
Ila kwa wale wasio na uwezo wa fikra wala kujenga hoja watakuambia hiyo ni sawa,halafu yatafuata matusi tu maana uwezo wa hoja ndio umeishia hapo.
Ila kwa wale wasio na uwezo wa fikra wala kujenga hoja watakuambia hiyo ni sawa,halafu yatafuata matusi tu maana uwezo wa hoja ndio umeishia hapo.