siogopi ban zinazo tolewa na watu wanao kesha kwenye laptop

Naona leo unaitaka hiyo ban kwa nguvu, na Mods wameamua kukupotezea. lol
Vipi lakini? uko salama? Mia.
 
mods wako likizo wote mapka january 20 so unaweza watukana tuuu no ban here!!!!

Muulize saint Ivuga ndo atakwambia wapo likizo au vipi. unawakanyaga bahati mbaya wanakulipua makusudi. jaribu uone. Mia
 
St. Ivuga, hiki unachosema kina ukweli, kweli!? chit-chat hupewi ban, ngoja waje wazee watakaotaka ukweli kuwa ban ni hadi 'rejea post #5, loh

hamna ban mkuu. mtukane painkiller uone vipi. unamkanyaga bahati mbaya anakulipua makusudi. Mia
 
Naona leo unaitaka hiyo ban kwa nguvu, na Mods wameamua kukupotezea. lol
Vipi lakini? uko salama? Mia.

mwali mbona hujajibu pm yangu bana? sasa inakuaje?. mi sijambo kabisa. vipi wewe? nmefurahi kukuona. wakinipiga ban na mimi nawapiga ban. Mia
 
Naomba nichukue jukumu la kukuchagulia ID utakayo2mia pindi upo selo. hundred.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom