'sio tu..bali pia'

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
Chit Chatters hii haina tofauti na game ambazo tumekuwa tunacheza hapa kila siku..Ila hii inatumia maneno yakuunganisha 'sio tu kwamba...bali pia (Not only...but also)..Lakini kwa game hi tutakuwa tunatoa sifa za Jamii Forums (kwa mujibu wako wewe lakini)..yaani tuhakikishe tumemaliza sifa zote zinazofaa kuelekezwa kwa hii forum..Nitatoa mifano miwili na wengine mtaendelea..Weka sentensi moja ili na mwenzio apate cha kuchangia..lol!

1.Sio tu kwamba JF ni shule bali pia ni kisima cha burudani..
2.Sio tu kwamba JF ni sehemu ni kisima cha burudani bali pia ni kaa la moto kwa wanaCCM..

Endelezeni wakubwa kumwaga misifa ya JF ili Maxence Melo aongeze maubunifu!!!
Tchao!
 
Last edited by a moderator:
Sio tu kwamba jf ni court bali ni kama baba na mama yako wanao weza kukufunza.
 
sio tu jf ni darasa bali ni baraza la marafiki tunaojuana zaidi ya wale tuwaonao!
 
Sio tu kwamba Ban ya JF inauma,
Bali pia inachangia kunikosesha ku-Quote Thread za wana CC.
 
Sio tu jf ni sehemu ya kupata habari, bali ni sehemu ya kuchambua habari kwa kina
 
sio tu kwamba JF ni kisima cha burudani na mafunzo pia ni sehemu ambayo watu hujipatia vipoozeo vya nafsi! Ila mimi simo a.k.a sijaaliwa!
 
Sio tu kwamba JF imeniunganisha na mke wangu mrembo measkron ila pia nimepata kufahamia na jamaa wengineo.
 
Last edited by a moderator:
Sio tu kwamba JF inapatikana kwa computer ofisini/home bali pia kwenye cm ya mkononi hivyo kumfanya hata msafiri aburudike/aelimike na kujikuta anafika safari yake bila uchovu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sio tu kwamba JF huniongezea stress lakini pia hunipunguzia presha na kuniongezea furaha
 
sio kwamba nashindwa kucomment post za watu jf bali mods wananikosesha amani wananifanya niwafikirie wao kabla ya kucoment.
 
Back
Top Bottom