Sio tishio Arumeru, Nape atimkia Dar akimbia siasa za Arumeru

Nimeipenda staili ya Sioi ya kuomba Kura, the guy is cool, anaongea kwa utaratibu na ni msikilizaji mzuri!
Hawa wenzangu wa CDM ni full kupayuka, wanaongea kwa jazba mpaka mishipa inawatoka!!

Anaongea polepole ili watu wasi sikie ahadi zake kwasababu anajua hazitekelezeki kama kashindwa baba yake akiwa naibu wa fedha ndio aweze yeye kwa kumuoa binti ya gamba EL
 
Wote hao wameijipanga, na wanatoa na wanaonyesha CCM imefikia wapi kwenye utekelezaji wa Ilani yake in respect of jimbo la Arumeru mashariki! Ukimsikiliza Mbowe, Nasari au Slaa wanaongea kama wanatoa mahubiri kwenye mikutano ya injili!!
Matusi wanayomwaga hadharani ndiyo utekelzaji wa ilani ya ccm???
 
Matusi wanayomwaga hadharani ndiyo utekelzaji wa ilani ya ccm???
Matusi kama yepi? kama kusema Slaa kaiba mke wa mtu ni tusi? au Nasari alikuwa mtundu ni matusi?
Kama ukiambiwa ukweli sidhani kama ni tusi, linakuwa tusi kama unakuwa umesingiziwa na the way hilo neno lilivyokuwa presented kwako!
 
Bila kusema, picha tu zinaonesha "leader material" ni nani:

the%2Btwo.jpg


Source: http://3.bp.blogspot.com/-7aNHvtq-W7g/T2Rsx2vBH_I/AAAAAAAABq8/h5ABajv-gtQ/s1600/the+two.jpg
 
Maisha ni kupanga na kuchagua, as long as anakuwa satisfied hamna tatizo!!

Bora sisi tunaocheka....kuliko nyie mnaolia muda wote ...

CCM tumeshazoea kushinda....huo msamiati KUSHINDWA hatunao kabisa!!!

Kuwa mstaarabu...ukitaka tuanze kuwaongelea viongozi wa CDM na tabia yao hii thread haitatosha!
Tarehe mbili Rejao utajificha wapi ndugu yangu, safari hii hamchomoi Arumeru sio Igunga kutoa mahindi ya msaada!!!!!!!!!

 
Kuna rafiki yangu kanitumia katuni ya kipanya leo! Nimecheka sana!! Ametofautisha watu na wafu!! Of course watu ni kama mimi na wewe, ila wafu akasema ni watu ambao wanaweza kulipia hata pumzi yao kama sirikali ikiwataka wafanye hivyo! Akaongeza kuwa wafu ni kama mabehewa, wanafuata kichwa kinapokwenda!! Wanapiga kura kwa mazoea!!

Rejao, nadhani umenielewa.... No offence lakini, ila mama huyu anaweza kuwa ana-fall ndani ya mfano wa kipanya!!
Huyo mama hana makosa anafanya biashara zake oneo la chama cha CCM angalia vizuri picha kwa nyuma mwisho!!!!!

 
Hiyo sio matokeo ya siasa safi ya ccm bali ni influence ya bendi za music zinazotembea na ccm thats why walipoona kamanda anapita ilibidi kampeni ziahirishwe kwa muda ili wananchi washangilie makamanda wa chadema. baada ya hapo kilichofuata ni kina nchemba kumwaga matusi hadharani bila aibu.
 
Kwa Hisani ya MIsupu

Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru

Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru

2.+mgombea+wa+CCM+Sioi+Sumari+akiingia+kwenye+mkutano+huo+wa+Ngarasero+leo+jioni.jpg


1.Sioi+akisalimia+wananchi+kwenye+mkuatno+huo+wa+Ngarasero,+Usa+River.jpg

Mbona naona sehemu kubwa ni watotot????
 
Kwa Hisani ya MIsupu

Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru

Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru

2.+mgombea+wa+CCM+Sioi+Sumari+akiingia+kwenye+mkutano+huo+wa+Ngarasero+leo+jioni.jpg


1.Sioi+akisalimia+wananchi+kwenye+mkuatno+huo+wa+Ngarasero,+Usa+River.jpg
Nasikitika kweli mnapomtumia Nape kama katibu mwenezi huku mkijua ni mkuu wa wilaya kule masasi na analipwa mshahara kwa kodi zetu wakati huku anafanya kazi za chama huku ni kuhujumu kodi zetu na kuwadhulumu watu wa masasi. kukimbilia kwakwe dar ni makosa inabidi akimbilie masasi au Mwambie ****** ateue mwingine kama mnaona anafanya vizuri kwenye propaganda
 
Nimeipenda staili ya Sioi ya kuomba Kura, the guy is cool, anaongea kwa utaratibu na ni msikilizaji mzuri!
Hawa wenzangu wa CDM ni full kupayuka, wanaongea kwa jazba mpaka mishipa inawatoka!!

Hana cha usilizaji mzuri wala nini, we umeshaambiwa kuwa jamaa alishaanza mchezo mbaya sasa unategemea mtu wa jinsi hiyo awe ngangari?
 
nimeipenda staili ya sioi ya kuomba kura, the guy is cool, anaongea kwa utaratibu na ni msikilizaji mzuri!
Hawa wenzangu wa cdm ni full kupayuka, wanaongea kwa jazba mpaka mishipa inawatoka!!

rejao naomba nikuulize tafadhali.. Unaweza kuwa mkweli kidogo na kuacha ushabiki kwa muda
1. Ccm mmeifanyia nini arumeru katika utawala wenu woote mpaka sasa
2. Unafahamu uporaji wa ardhi uliofanyika katika eneo hilo tangu awamu ya pili mpaka sasa
3.unafahamu uhaba wa zahanati na maji safi ulivyo kataka eneo hili? Huku maji yakitolewa hapo na kupelekwa mundoli?
Nijibu hayo machache plzz weka ushabiki pembeni then ntakwambia kitu badaye.........
 
CCM inachofanya ni kukuandalia mazingira mazuri, wewe ufanye uwezalo kujikwamua! ndiyo maana huyu mama anaridhika na anachokipata, amani ndio msingi wa maendeleo. Watu wengi sana wameanzia huku na sasa ni mamilionea, mfano rahisi ni ndugu zangu wachaga!
Hawa ndugu zetu CDM wanachofanya ni kuleta vurugu, ukiangalia Arusha mjini hapakaliki, Mwanza hapakaliki, Mbeya na iringa hali ni mbaya kabisa. Hii ni kwa sababu tu ya sumu ya chuki inayomwagwa na hawa wapinzani waliopata kibahati bahati ubunge kwenye hayo majimbo!


mtaikimbia nchi hii kama gaddafi si unajua mjinga akierevuka.. mlitaka watanzania kila siku wawapigie makofi hata kama mnatuua na sumu, na kwa risasi, mnatuibia rasilimali zetu tulizopewa na Mungu, halafu unataka tuwachekee fanyeni haki na tuone ikitendeka na uone kama kutakuwa na vurugu.. Simamieni rasilimali zetu na zitunufaishe woote then uone kama kuna mtu ataichukia ccm.... manafanya ujinga na ushenzi wa kutumia ujinga na umaskini wa watanzania kama mtaji wa nyinyi kuwaibia.. ole wenu siku zenu zitafika.. si unajua hakuna marefu.........Rejao siku inakuja hata kama ni miaka 50,,.... umeiona Senegal, umeiona Zambia, umeiona Kenya.... umeiona ccm ya mwaka 1990 na ccm ya leo...polesana... mtatueleza mlikoficha rasilimali zetu zote... she,..zi kabisa nyie.

...ukiona nimezungukwa na vyombo vingi vya dola ujue nimesha waibia wananchi (Nyerere).
 
Rejao kweli unatazama kama yalivyo macho ya kwenye avatar yako! Huo ulegelege, uoga na kutokujiamini kwa Siyoi ndo kutokuwa na papara!?!
 
Back
Top Bottom