Sio siri tena: Polisi wanawaonea CHADEMA,wanapendelea CCM

Huyo police anaye lipua bomu la machozi kwenye nyumba ndio huyo huyo alimlipua D.Mwangosi

Mwsangalie vizuri.

Ndani ya siku moja uchunguzi unakuwa tayari.lakini nchimbi ati anaipa tumwe mwezi wanachunguza nini?
 
Police wengi ni failures huko shuleni. Si unajua kule O-level ndo wengi walikula mizinga kwa sababu ya bangi na vurugu.
 
Mkuu watu kama nyie ndio mnachelewesha harakati za ukombozi,umechelewa wapi kufahamu hili siku zote hizo hadi uje ufahamu leo baada ya kutokea Iringa?
 
M4C ni sawa na ugonjwa wa saratani unashambulia kwa kasi ya ajabu, miezi 3 iliyopita cdm kilijulikana chama cha msimu lakini leo ni tishio, M4C inaathiri hadi ubongo wa watawala
 
Mbona hiyo sio siri! Hata Polisi wenyewe wanjua kuwa wanachowafanyia Chadema ni uonevu? Ila wawe tayari siku wenye nchi tukisema enough is enough, yaani IMETOSHA!
 
Mtu yeyote anayeendelea kuishabikia CCM,Lazima atakuwa na Kichwa cha mwendawazimu.

Mtazame Said Mwema.Chagonja na sasa Nchimbi,hata ukiwauliza sasa 2+2 watashindwa kukujibu tayari wamechanganyikiwa.
 
du?polisi mna matatizo coz kwa mtu mwenye akili hawezi kupiga bomu kwenye nyumba ya mtu.:A S 465:

Dunia inasubiri kuona maelezo ya kutosholeza kupiga mabomu ndani ya nyumba. As far as the records are concerned haijwahi kutokea duniani zaidi ya kwa Hitler kwenye concentration camps. Kuna riots gani ndani nyumba vijana wetu maaskari mbona mnatia aibu serikali!! Maagizo gani au mafunzo gani hayo.
 
.. Polisi wetu wana matatizo matatu ya msingi:
  1. makazi duni sana, tembelea makazi ya askari ukutane na full suti za bati ambapo likiwaka jua ni shida, wakati wa mvua tatizo na wakati wa baridi ni tabu.
  2. malipo duni, mshahara wa laki 2 kwa maisha ya sasa ni lawama tu.
  3. elimu duni.
Hawa watu wana frastration kubwa sana kiasi kwamba hawawezi kuwa na ustaarabu na weledi tunaoutarajia kutoka kwao. Hapa si kwamba nakubaliana au kujaribu kuhalalisha unyama wao, la hasha, ninajaribu kuzima moto na sio moshi. Watu wanaweza kujiuzulu na hata kushtakiwa kwa suala la Mwangosi, lakin kasumba hii haitakoma kama hayo mambo matatu hayatazingatiwa.
 
Kweli ni hatari kubwa sana, ni kwa nini lkn?
Ni madaraka tu au kunakingine?
 
Huo ni ukweli usiopingika, raisi anaonekana wazi kushindwa kuliongoza taifa. Alafu watanzania bado tunajivunia nchi yetu ni ya amani na democracia
 
Ukitaka kujua uelewa wa Polisi fuatilia tangazo la maombi ya kujiunga na CCP, Moshi. Just pass moja tu, D unajiunga na Polisi. Katika hali kama hii unategemea matumizi ya akili kweli??? Only Nguvu na Risasi ndivyo hufanya maamuzi na siyo binadamu.
 
ninafurahi sana pale viongozi wetu wanapoendelea kutoa majibu yaliyojaa upumbavu ndani yake... sina hakika kama tungemtafuta kiranja mmoja wa shule za sekondari kama anaweza kujibu non sense kama hiyyo. kwanini swala la ccm aulizwe mukama na swala la chadema waulizwe polisi..... kimsingi sijui kwanini mpaka sasa hivi hajajiuzulu maana amedhalilisha nafasi yake,,,,,,....kazi kuunda tume zisizokuwa hna tija kwa taifa hili
 
hizi nguvu zoote zitanywea tu,hakuna nguvu zaidi ya ile ya wananchi wanaowalipa mishahara hao polisi
 
Aisee nauli ya KLM mpaka the Hague ni kiasi gani?

attachment.php

yaani mimi nashangaa kweli tanzania kunawajinga wengi sana haswa jeshi la polisi. Hivi nchi inakosa kuangalia matukio yaliyolipotiwa nakuunda tume ya kuchunguza? au Nchimbi, mwema hawazioni hizi picha kwa kifupi hata kama kulikuwa namkusanyiko watu hawakuwa wengi na na angalia hapo kwenye picha hakuna hata mtu ni nyumba ina maana wanatakiwa washitakiwe maana walienda kuvamia familia ya mtu na kuanza kupiga mambomu. ina huzunisha sana kuona tuliowapa dhamana ya kulinda na kutunza amani wanatuwa kuharibu amani.
 
Back
Top Bottom