Sio siri ninaumia

Bado kijana mdogo sana....

Ngoja nikuambie kitu..... umri wako unakuruhusu kuwa na subira kuja kumpata akupendaye... Bila kukuficha huyo hakupendi!

thats very true my dear, my bf was like that, we used to chat a lot, but he suddenly acted quiet, so i started texting him first, no calll him..if i didn't text him he also didnt, and irritated me alot, i talked to him like why are u being like that, he changed a bit and then continue with quitnec then one day i made my mind i didnt contact him for three days and i promised to erase him, it was hard but it worked coz he called me and told me HOW HE HAS MISSED ME AND HOW MUCH HE LOVED..then i told him it hurts not to hear from the person u love, from that day till today things are oukay..so if u dont get from him for that long..move on.
 
Ukishikwa shikamana, usiposhikwa achana nae
Na wewe nyuti tu, na akikuuliza sijui nini na wewe umjibu simple tu,
Halafu tafuta Mtakae pendana, hapo naona wewe ndo unapenda ila yeye hapendi
Umeingizwa chaka tena chafu lenye harufu ya uozo
Ondoka huko mapema kabla hujazurika
 
Karibu sana jamvini Mamy...

Waweza niambia mimi babu wa wajukuu, kuwa huyu mwathirika wa upweke anaweza kufanya mpango gani mwingine hapo? Atongoze wanaume au?

Asante sana babu,Nilikuwa nikikusoma tu vituko vyako na wajukuu hatimaye leo nimechati nawe,mie namshauri kama ahata kwa mda huo ataona huyo mpenzi wake hahangaiki naye heri acahane naye tu asiendelee kuumia atulie baada ya muda aili ikitulia awe na mpenzi mwingine.
ODM closer closer
 
mara nyingi mapenzi yanapoanza kunakuwa na hamu na bashasha kubwa ya kuwa karibu through physical contacts, calls, sms etc; kutokana na kuzoeana, majukumu, baadhi ya watu kupata 'kile walichokuwa wanataka' etc, mawasiliano huanza kupungua... pamoja na hali hiyo, ni vizuri wapenzi wakajitahidi kutenga muda wa mawasiliano kati yao coz hii huwaweka karibu na kujenga imani kwamba wote wawili mko kwenye 'same page'
 
Hivi inawezekana kweli kuwa kwenye mahusiano na mtu halafu ipite siku nzima.........namaanisha masaa 24 bila salamu wala nini????? Na sio kwamba kuna shida yoyote kwa mmoja wenu....... na bado uniambie eti mnapendana sana...........:smash::smash::smash::smash::alien::alien:

very possible... hata wiki mnaweza kukata depending on prevailing circumstances
 
Babu kikweli nilikuwa wala sijui namna ya kutumia hii forum hata kujiunga ni rafiki yangu kanisaidia na hata sasa kuna mengi sijayajua ila kila nikimuliza ananisaidia hata like nimeshaweza kugonga,
Nisamehe babu sio vituko tena ni busara,kukaguliwa ndio inakuwaje?

mamy D back to topic, huyu babu ni mchakachuaji mkubwa wa thread halafu na yule mwenzake Krolokwin akija hapa ndio itakua balaa...
 
mamy D back to topic, huyu babu ni mchakachuaji mkubwa wa thread halafu na yule mwenzake Krolokwin akija hapa ndio itakua balaa...
Aisee usinikumbushe tena..... huu mgomo wa madaktari umenisababishia kumkosa jamvini fellow tablet..... Alifumaniwa anapiga chabo kule Tandale kwa mtogole. Ile spoku aliyochomwa bado tunasubiri huruma ya madaktari waitoe jamaa yetu arudi kumwaga mapwenti ya kigreti thinkaz hapa....

Utafiti unaonyesha tangu afumaniwe, mauzo ya pweza katika soko la Tegeta yamepungua sana.

Baada ya kusema hayo.... pigeni magoti tumwombee aendelee kupata ujasiri wa kuishi kwa matumaini
 
Semeni ukweli hv kuna mtu anayependa kikukweli akakosa kujari mhh chezea wwe upendo wwe ulivyopenda unaona unavyojari iweje yeye kauka week ukiona kimya tafuta mwingine
 
Bado kijana mdogo sana....

Ngoja nikuambie kitu..... umri wako unakuruhusu kuwa na subira kuja kumpata akupendaye... Bila kukuficha huyo hakupendi!

thats very true my dear, my bf was like that, we used to chat a lot, but he suddenly acted quiet, so i started texting him first, no calll him..if i didn't text him he also didnt, and irritated me alot, i talked to him like why are u being like that, he changed a bit and then continue with quitnec then one day i made my mind i didnt contact him for three days and i promised to erase him, it was hard but it worked coz he called me and told me HOW HE HAS MISSED ME AND HOW MUCH HE LOVED..then i told him it hurts not to hear from the person u love, from that day till today things are oukay..so if u dont get from him for that long..move on.

hata mimi nilikua mzito sana kwa GF wangu, nahisi njia ulizozitumia kwa Boyfriend na GF wangu alizitumia mpaka sasa nimeshazoea kama kuchat tunachati, tunaongea hata masaa matatu usiku hua ananipigia.. we are happy
 
Aisee usinikumbushe tena..... huu mgomo wa madaktari umenisababishia kumkosa jamvini fellow tablet..... Alifumaniwa anapiga chabo kule Tandale kwa mtogole. Ile spoku aliyochomwa bado tunasubiri huruma ya madaktari waitoe jamaa yetu arudi kumwaga mapwenti ya kigreti thinkaz hapa....

Utafiti unaonyesha tangu afumaniwe, mauzo ya pweza katika soko la Tegeta yamepungua sana.

Baada ya kusema hayo.... pigeni magoti tumwombee aendelee kupata ujasiri wa kuishi kwa matumaini

:lol::lol::lol:
 
We asipate taabu hii mutu napenda wewe ila mwanaume wengi tatiso apana jua sema hii mambo ya wasungu mala lofu yuu, mala miss yuu. Ila afumbue jicho hii mutu nawesa kuwa na nyako ingine huko.
 
Pole mdada. Wengine hayo ndio maisha yetu ya kila siku. Inauma lakini utafanyaje? Mimi naona hapo 'compartibility' katika kipengele cha mahusiano ni utata, na pengine inaweza ikaashiria ( au isiashirie labda) mengineyo.
Mimi naona mawasiliano ndio daraja la nyoyo/nafsi zozote mbili na zaidi sana nafsi zilizo katika mahusiano. Kwahiyo daraja hilo likiwa na ufa, ubao uliochomoka, sijui tunafanyaje sasa? Either kuvumilia au kuchukua maamuzi mazito .eg. kuji surprise kama walivyosema wengine au kama unaona hilo kwako ni key issue sana, basi ujivue gamba.
Maana panapo majaliwa ukakaa na mtu kama huyo maishani i.e mkawa mke na mume, utavumilia? au ndio donda la nafsi litakuwa ndugu?
All in all pole yetu!
 
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........

ongea nae, tell him what you expect from him. tupo vijana tuliolelewa kigumu na haya mambo ya caring tunajifunza ukubwani so bila kuelekezwa ni ngumu kufahamu
 
kuna watu wengine are not emotionally open...mwanzo alikuwa mtu wa maloveydavi au?
 
Mpige surprise visit, utajua mawazo yote.

Kwa lugha nyingine unamshauri akafumanie? Eti Dada mtoa mada kisaikolojia umejiandaa kufumania? Halahala tusije tukapoteza memba mmu mana wengine wakifumania huwa wanachukua maamuzi magumu na ndo mana jela zimejaa wahanga wa kufumania/kufumaniwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom