Sio siri ninaumia

Daaah! Katika siku ulizoongea point babu, hii mojawapo.
KBD says thank you for zis useful post...............unabahati kibatani cha kushumu hamna..........lol
Hehehe.... ina maana siku nyingine huwa namwaga mipumba siyo?.........(.Sasa hiyo ni bahati au bahati mbaya? Na kama kingekuwepo? Usinijibie kwa hapa nijibu kwa PM):juggle::juggle:
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Asante sana babu,Nilikuwa nikikusoma tu vituko vyako na wajukuu hatimaye leo nimechati nawe,mie namshauri kama ahata kwa mda huo ataona huyo mpenzi wake hahangaiki naye heri acahane naye tu asiendelee kuumia atulie baada ya muda aili ikitulia awe na mpenzi mwingine.

Kwanza nikusifu umependeza,unatabasamu eeh............mwambie binti mwenzio avunje ukimya amwambie ukweli kwamba hapendi anavyofanyiwa (awe na kifua hasa) halafu aone reaction yake.Kama ataonyesha kuelewa basi ajue ni swaga zake tu, wakati mwingine wanaume tunapenda deko fulani hivi hasa kama tunapendwa hatutaki kuonyesha sana eti tumekufa (hiyo siri usimwambie mtu).

Halafu kingine muulize huyo binti (me naogopa kumuuliza moja kwa moja ni dada yangu) kama huyo B/F ni wa kutoka maeneo ya kwao,kama ndivyo ohoooooooooooooo.........jasiri haachi asili!!!
 
Inawezekana ni mfanyakaz huyo boy wako.Mambo ya chartin niya ki primary mdada,take a cal tu.
Mim nina gf a wik kan pas without mawasiliano,na si kwamba hatupendan,majukumu yanatufanya kuwa hivyo..

Hivi inawezekana kweli kuwa kwenye mahusiano na mtu halafu ipite siku nzima.........namaanisha masaa 24 bila salamu wala nini????? Na sio kwamba kuna shida yoyote kwa mmoja wenu....... na bado uniambie eti mnapendana sana...........:smash::smash::smash::smash::alien::alien:
 
Labda nirudi darasani tena nijifunze nini maana ya Mahusiano ya Kupendana......:A S-coffee:
 
Hehehe.... ina maana siku nyingine huwa namwaga mipumba siyo?.........(.Sasa hiyo ni bahati au bahati mbaya? Na kama kingekuwepo? Usinijibie kwa hapa nijibu kwa PM):juggle::juggle:

Hahahahahahaaaaaaaaaaa! Inawezekana ni point kwa wengine ila kwangu inakuwaga sio.......... hasa ile mineno yako ya kutetea ma-inf, siyapendagi yale laiti ungelikuwa unajua jinsi gani unaniuzi..............lol. BT haki yako ya kutoa maoni naiheshimu mpaka basi
 
Labda nirudi darasani tena nijifunze nini maana ya Mahusiano ya Kupendana......:A S-coffee:

Tafadhali babu naomba unichukue na mimi huko darasani......maana mashikholo mageni kabisa.
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaa! Inawezekana ni point kwa wengine ila kwangu inakuwaga sio.......... hasa ile mineno yako ya kutetea ma-inf, siyapendagi yale laiti ungelikuwa unajua jinsi gani unaniuzi..............lol. BT haki yako ya kutoa maoni naiheshimu mpaka basi
Hahahaha wewe nawe.... Dont take JF too serious...Source:Kaizer:photo:
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Tafadhali babu naomba unichukue na mimi huko darasani......maana mashikholo mageni kabisa.
Sisi wakongwe na mauzoefu ya miaka kumi ya ndoa... pamoja na kufanya yale makitu ya infii usiyoyapendaga.... haiwezi pita siku bila kumjulia hali wa ubani.... yaani hata nikiwa job najikuta natext kiduchu japo kumtania kwa salam......... sasa hawa madogo wakiwa bado na manguvu na mashamsham ya mapenzi nlitegemea yasipite masaa mawili bila kuwasiliana, leo naambiwa two good years watu wanawekeana longolongo afu bado mmoja anaishi kwa matumaini ya mapenzi.....Over my dead body!

Haya mapenzi bana, ndio maana hakuna shule ya mapenzi. Watu wangefeli sana!
 
Pole besti..nina mpenzi tena tupo mbali ya nchi hamna siku hatujawasiliana kwa sms pia calls, hatutegeani nani amuanze mwenzie. Wote tunafanya kazi na majukumu kedekede. Nafurahia sana maana tunakuwa connected japo tu mbali mbali! Namuombea kila kukicha!

Hebu angalia movie ya ''Two can play that game'' ..siyo kukufanya ukumoane nae ila ujue mapenzi ya aina fulani yanaendeshwaje.

Naelewa ukimpenda mtu unavyofeel tena kama yeye anaonekana tofauti. lazima kuna kitu zaidi ya alivyo!
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Sisi wakongwe na mauzoefu ya miaka kumi ya ndoa... pamoja na kufanya yale makitu ya infii usiyoyapendaga.... haiwezi pita siku bila kumjulia hali wa ubani.... yaani hata nikiwa job najikuta natext kiduchu japo kumtania kwa salam......... sasa hawa madogo wakiwa bado na manguvu na mashamsham ya mapenzi nlitegemea yasipite masaa mawili bila kuwasiliana, leo naambiwa two good years watu wanawekeana longolongo afu bado mmoja anaishi kwa matumaini ya mapenzi.....Over my dead body!

Haya mapenzi bana, ndio maana hakuna shule ya mapenzi. Watu wangefeli sana!
hahaha babu naona hauentertain kabisa stress za ajabu ajabu mmh! to you stress free life z possible lolz, guuud!
 
hahaha babu naona hauentertain kabisa stress za ajabu ajabu mmh! to you stress free life z possible lolz, guuud!
Mbona hujanigongea LIKE? Hebu kagonge bana kikojoleo changu kisisimke....!
 
pole bibie cha msing atafuta wakukupa hayo maneno matamu hapo unapoishi sasa fimbo ya mbali haiuwi nyoka
W
a hapa karibi kila mtu ana wake, kila ninaye fikira anaweza kuwa ananiambia mimi nina mchumba au gf wangu kama vipi tuwe wapenzi tu ila akija wangu heshima iwepo. wengine vimeo hadi wanafahamika. kazi ipo kusaka wa hapa hapa
 
Sisi wakongwe na mauzoefu ya miaka kumi ya ndoa... pamoja na kufanya yale makitu ya infii usiyoyapendaga.... haiwezi pita siku bila kumjulia hali wa ubani.... yaani hata nikiwa job najikuta natext kiduchu japo kumtania kwa salam......... sasa hawa madogo wakiwa bado na manguvu na mashamsham ya mapenzi nlitegemea yasipite masaa mawili bila kuwasiliana, leo naambiwa two good years watu wanawekeana longolongo afu bado mmoja anaishi kwa matumaini ya mapenzi.....Over my dead body!

Haya mapenzi bana, ndio maana hakuna shule ya mapenzi. Watu wangefeli sana!

Halafu mtu anakwambia eti kawaida tu bila kuwasiliana na hamna shida yoyote tena anakupenda sana.........khaaaaaa!

Babu labda mi niko vere demanding but siwezi kuelewa kamwe mahusiano yasiyokuwa na mawasiliano.......it is a big NO. Tena wachina wameturahisishia mawasiliano kiasi hiki bado mtu analeta longolongo na zengwe na hadisi zisizo na kichwa wala miguu.....siwezi kuelewa. Ata kama uko busy vipi kwani mchana huli?? kwa nini usitumie muda huo kumjulia mwenzio? Na kama uko busy mpaka mchana unapita....basi mjulishe asubuhi kabla hujaanza kazi zako ili asiwe na wasiwasi.

Mi jamani hayo mapenzi yanamna hiyo siyawezi kabisa na ningeshakuwa historia siku nyingi sana. Raha ya mapenzi....kupendana (Source: Aspirin), kujaliana, kudekezana, kuwasiliana......lol
 
To start with, delete jina lake kwenye phonebook yako..... Ukishadelete niambie.
Hiyo ni rahisi sana kudelete kwenye cm ila kichwani ninazo namba zake zote hata nikiamshwa asbh nazitaja hapo ndo nachoka kabisaaa. so kudelete hakunisaidii
 
Mimi ushauri wangu...mpotezeee, huyo si wako tena au mapenzi yameisha. Sioni sababu ya wewe kuganda, hapo ndugu haupendwi. Inauma utalia tena utalia sana but kata communication, itakuwa ni frustration ya one month or two maximum, time is the best healer, utamsahau.

Naamini mwenyewe akiona hakuna call or sms atashangaa but you're doing it to free yourself from this heartache.
 
Hiyo ni rahisi sana kudelete kwenye cm ila kichwani ninazo namba zake zote hata nikiamshwa asbh nazitaja hapo ndo nachoka kabisaaa. so kudelete hakunisaidii

Jishughulishe na other interest, kama kusikiliza music, movie or whatever, kama wewe ni mtu wa mazoezi fanya maana kwanza ni stress reliever, pili ukirudi home umechoka, hautakuwa na muda wa kumfikiria but just delete his contacts na shindana na urge to call/text him.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom