Sio siri ninaumia

Km kwa mda wa miaka miwili tangu mlivoanzana ndivo alivo,na sio kwamba kabla alikuwa anakupigia na mlikua mnachati tatizo liko wapi?
Mie nakushauri ujitoe hofu kwan sio kwamba kabadilika wanaume wengine ndivo walivyo na inawezekana akawa anakupenda kweli.

Sometime mwanaume ni km watoto km tangu mwanzon ww ulimzoesha hivo amoni itakuwa ngumu kumbadilisha,cha msingi ni kuzoea tu hiyo hali na sio kuwaza mambo mabaya.
 
Inawezekana ni mfanyakaz huyo boy wako.Mambo ya chartin niya ki primary mdada,take a cal tu.
Mim nina gf a wik kan pas without mawasiliano,na si kwamba hatupendan,majukumu yanatufanya kuwa hivyo..
 
Pole sana,hebu jaribu kukaza moyo japo kwa wiki moja tu nawe uwe kimya kbs no calls no sms alafu uone atakutafuta au anye atapotezea,ukiona kimya fanya tu mapago mwingize maana hapo lazima atakuwa na mwingine na hana mapenzi nawe tena.
 
Pole sana,hebu jaribu kukaza moyo japo kwa wiki moja tu nawe uwe kimya kbs no calls no sms alafu uone atakutafuta au anye atapotezea,ukiona kimya fanya tu mapago mwingine maana hapo lazima atakuwa na mwingine na hana mapenzi nawe tena.
Karibu sana jamvini Mamy...

Waweza niambia mimi babu wa wajukuu, kuwa huyu mwathirika wa upweke anaweza kufanya mpango gani mwingine hapo? Atongoze wanaume au?
 
may be... but nimevumilia huu ni mwaka wa pili ila naumia tu rohoni dah... mwisho uvumilivu utanishinda
Inabidi umsome na kufahamu mapungufu ya mpz wako hapo mtaishi kwa furaha sana but ukiangalia nani anamfanyia nini mwenzie utaumia kweli!
 
Km kwa mda wa miaka miwili tangu mlivoanzana ndivo alivo,na sio kwamba kabla alikuwa anakupigia na mlikua mnachati tatizo liko wapi?
Mie nakushauri ujitoe hofu kwan sio kwamba kabadilika wanaume wengine ndivo walivyo na inawezekana akawa anakupenda kweli.

Sometime mwanaume ni km watoto km tangu mwanzon ww ulimzoesha hivo amoni itakuwa ngumu kumbadilisha,cha msingi ni kuzoea tu hiyo hali na sio kuwaza mambo mabaya.
Hujambo mjukuu wangu mpenzi?

Hata mie babu yako ni kama mtoto?
 
Karibu sana jamvini Mamy...

Waweza niambia mimi babu wa wajukuu, kuwa huyu mwathirika wa upweke anaweza kufanya mpango gani mwingine hapo? Atongoze wanaume au?

Asante sana babu,Nilikuwa nikikusoma tu vituko vyako na wajukuu hatimaye leo nimechati nawe,mie namshauri kama ahata kwa mda huo ataona huyo mpenzi wake hahangaiki naye heri acahane naye tu asiendelee kuumia atulie baada ya muda aili ikitulia awe na mpenzi mwingine.
 
Km kwa mda wa miaka miwili tangu mlivoanzana ndivo alivo,na sio kwamba kabla alikuwa anakupigia na mlikua mnachati tatizo liko wapi?
Mie nakushauri ujitoe hofu kwan sio kwamba kabadilika wanaume wengine ndivo walivyo na inawezekana akawa anakupenda kweli.

Sometime mwanaume ni km watoto km tangu mwanzon ww ulimzoesha hivo amoni itakuwa ngumu kumbadilisha,cha msingi ni kuzoea tu hiyo hali na sio kuwaza mambo mabaya.

Asante ndugu yangu ntajitahidi!
 
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........

pole sana......dah.....kumbe am lucky eeh......

Cjambo kbs mt swty Babu,
Inawezekana kbs ukawa ndio mtoto mkubwa kwa bibi yetu mama matesha aisee!
Orayt..... wee u mjukuu mwema sana.
BTW umemuona huyu mjukuu mpya hapa chini? Waweza mleta kwa ukaguzi? Hebu mkaribishe kwenye familia yetu kwanza..... naona kama atatufaa huyu!

Asante sana babu,Nilikuwa nikikusoma tu vituko vyako na wajukuu hatimaye leo nimechati nawe,mie namshauri kama ahata kwa mda huo ataona huyo mpenzi wake hahangaiki naye heri acahane naye tu asiendelee kuumia atulie baada ya muda aili ikitulia awe na mpenzi mwingine.
Aisee! Huyu babu huyu....... Sasa kama ulikuwa unanisoma kama guest mbona ulikuwa hunigongei LIKE? Alafu.... tangu lini busara za babu zikawa vituko?:A S-coffee:
 
26 ndugu yangu
Bado kijana mdogo sana....

Ngoja nikuambie kitu..... umri wako unakuruhusu kuwa na subira kuja kumpata akupendaye... Bila kukuficha huyo hakupendi! Two good years mtu anakuzengua nawe wajiaminisha iko siku atabadilika? Over my dead body! Na umri huu nimeshayashuhudia mengi...

Raha ya mapenzi ni KUPENDANA!.......Hakuna adhabu kubwa hapa duniani na ahera kama KUPENDA PASIPOPENDEKA.... Stuka before its too late! Usije ukasema sijakuambia, shauri zako.

Na hili ndilo neno la Babu ODM
 
Orayt..... wee u mjukuu mwema sana.
BTW umemuona huyu mjukuu mpya hapa chini? Waweza mleta kwa ukaguzi? Hebu mkaribishe kwenye familia yetu kwanza..... naona kama atatufaa huyu!

Aisee! Huyu babu huyu....... Sasa kama ulikuwa unanisoma kama guest mbona ulikuwa hunigongei LIKE? Alafu.... tangu lini busara za babu zikawa vituko?:A S-coffee:
Ucjali my swty Babu,huyu inaonekana alishaizimia familia yetu tangu akiwa km guest,nilimkaribisha JF,
Sasa ngoja nitamtambulisha kwa familia yetu na kitakachofata ni ukaguzi wako babu then anakuwa mwana familia kamili lol!
 
Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........

nawe mkatie tu mawasiliano tuanzishe yetu. Au unaonaje. Mapenzi si kovu useme huwezi kumfuta akilini
 
Pole mdada ila mzoee tu mpenzi wako labda ni mzito tu katika mambo ya kuwasiliana.
Mimi nilishapataga mtu wa hivyo, mwanzoni ilinipa shida ila nilipomjua tu kuwa ni mzito katika mawasiliano basi akawa hanipi shida tena.
Wengine ndio walivyo.
 
Orayt..... wee u mjukuu mwema sana.
BTW umemuona huyu mjukuu mpya hapa chini? Waweza mleta kwa ukaguzi? Hebu mkaribishe kwenye familia yetu kwanza..... naona kama atatufaa huyu!

Aisee! Huyu babu huyu....... Sasa kama ulikuwa unanisoma kama guest mbona ulikuwa hunigongei LIKE? Alafu.... tangu lini busara za babu zikawa vituko?:A S-coffee:

Babu kikweli nilikuwa wala sijui namna ya kutumia hii forum hata kujiunga ni rafiki yangu kanisaidia na hata sasa kuna mengi sijayajua ila kila nikimuliza ananisaidia hata like nimeshaweza kugonga,
Nisamehe babu sio vituko tena ni busara,kukaguliwa ndio inakuwaje?

Similar Discussions

Back
Top Bottom