Sio kweli...!

Sio kweli kila anaekupigia debe wakati wa kampeni atakuchagua!
 
Sio kweli kila mwenye maisha mazuri ni msomi

sio kweli kila mficha uchi hazai

sio kweli kila aliyefika chuo amefaulu kihalali

sio kweli kila mpiga chabo hana manzi

sio kweli kila mpiga punyeto hajaoa

sio kweli.....
 
Heheehe
Sio kweli kila anaekuomba namba anakutaka.
Sio kweli kila aliyenenepa anakula vizuri.
Sio kweli kila aliyekonda ana ngoma.
Sio kweli kila anaekusifia anamaanisha.
Sio kweli kila unaemtaka ni saizi yako.

Sio kweli kila anayekugongea LIKE kapenda comment yako!
 
Sio kweli........ kila anaekuchekea anakupenda

Sio kweli .......kuwa wanasiasa wote ni waongo

Sio kweli.......kila anaekuomba namba ya simu anataka kutongoza

Sio kweli......kila tajiri ana furaha na mali zake
 
Sio kweli kila anayesema bwana asifiwe kaokoka......!
Sio kweli kila anayema anakupekupenda anamaanisha,........!
Sio kila mwanaume ana cfa za kuwa mume........!
Sio kweli kila mwanamke ana cfa za kua mke,......!
Sio kweli......!
 
Back
Top Bottom