Sio hadithi za Shigongo hizi. It is true story guys

Ila hii ni hadith ya kutunga!otherwise we jamaa utakua una matatzo,me hii kitu niliisha ishndwa kabisa.
 
Kwa hapo mi naona hakuna lolote, nyie wote wezi tu...Kwa sababu if She is decent- hata kama kachelewa kwao ungemsaidia kwa kumkodia tax aende kwao... statistics zinaonyesha most of the time opposite sex wakilala pamoja lazima wa'do'! na ndo maana Bible ikasema ikimbieni zinaa..sasa nyie mnambwelambwela eneo latukio na kusema kuna 'decency hapo?' wizi mtupu!
Nnavyofikiri mimi.
Wewe ulisuggest ukiwaza kum'do' na yeye alikubali akitarajiaa ku 'do'iwa. So to answer your question, yes she did not like the results...
 
umeshinda mtihani mmoja, congrats... endelea kumpa kamba ajinyonge mwenyewe..
 
Hivi kwani hadithi za Shigongo zikoje?

Nini usiku mmoja bana? Huyu bibi yenu huyu..... Nlishawahi mbonji naye siku tatu bila kumvua andawea. Mpaka leo ananambia mie ni a real gentleman.

Inanisaidia sana hata akinikuta na kidemu nikimwambia usihofu, ngono si ugonjwa wangu hunijibu fasta "yeah, i know".

Umeshasema bibi yetu haitashangaza hata kama ikipitita wiki mbili au unaongelea kabla ya ndoano?
 
9dG9i25Z9H5vE9zbBBtYCD1U7GyuDURsINsKwGYQNgGQCYCMANsAsk0wpofQXoDTxYI7mXAnyOlhY30I0QvivSDeA2A9ANYJoJ0Aeh1ErwFIF4foZOPXYayTjXehvP8LwQ6AHOW+MhcAAAAASUVORK5CYII=


Usijali ipo siku utakula kwa raha zako!!
 
Bazazi huo ndio udhaifu wake mkubwa. Demu hataki, kwa maeno na hata matendo, Bazazi hujilalia zake akiwa extra naked huku amekumbatia. Dhana kuu ya Bazazi ni kuwa K^T*M?A ni starehe ambayo ni lazima wote mshiriki mkiwa na mawazo huru yanayolenga kufikia kileleni pamoja. Kuna haja gani kwa mmoja kuwe na starehe na mwenzake kuwe na majuto?

Huo ndio uanaume wenyewe kwani watoto wa kiume hulazimisha mambo hata pasipostahili

BIG UP. JOIN DA WORLD OF WINNER. YES WASHINDI WA SAIKOLOJIA, NAAM SAIKOLOJIA YA WANAWAKE

Ndimi BAZAZI
 
Aise kama sijawahi kufanya nae sex hata mara moja na amekuja geto na mmelala kitanda kimoja basi huyo msichana akaupendi yupo hapo kwa ajili ya ndoa tu na hana hisia za kimapenzi na wewe,pia na wewe sidhani kama ni rijali aka shababi nenda lolliondo kwa babu ukapate kikombe.
hapo hukuna mvuto, hebu fikiria demu unaempenda kwa dhati, ukimshika mkono tu kama shoti ya umeme!!!! ukilala nae!! alafu yupo labda na naiti dres we koma!!!!!! hayo mlionayo ni mapenzi ya woga
 
kusema ukweli, hapo sina jibu la kukujibu, nisijeongea vibaya. ila ningekuwa mimi nisingeweza. kwani mliweka mpaka katikati? hamkukumbatiana kwaajili ya kupata joto...mlipokumbatiana kama yeye alikuwa mbele yako makalio yake si yalikuwa yanahisi kitu kigumu, kama hakuhisi hicho anawezafikiri wewe ni bwabwa aiseee, naona story hii ni ya uongo kabisa.

Najua kama mnapendana kweli, mkiwa pale kitandani tayari hisia zingekuwa zimeeibuka...pale kitandani ukimshikashika tu kila mtu angesubmit...

Sasa mtindo wa kila mtu shuka lake huo..sijui mlikuwa mnafanya nini..jambo hili haliwezi kutokea kwa mwanaume wa kawaida...achana na sex mzeee ina power...ndo maana dawa kama huitaki ni kukimbia kama yusufu wa kwenye bible, ukiwa na mwanamke karibu hata kama mlipinga kwa milioni kwama hamtafanya kitu lazima mtajikuta mmefanya tu...labda kama mna matatizo.
 
JERYSON Hapa unavishwa kilemba cha ukoka tu kwa kupachikwa jina la Gentleman, lakini kiukweli kabisa wewe jina lako ni FALLA.

Yaani unataka mwanamke aje ndiyo yeye akwambie anahitaji Sex? kweli leo ndio nimeamini kwamba kuna Wanamume na watoto wa Kiume.
 
Last edited by a moderator:
JERYSON Hapa unavishwa kilemba cha ukoka tu kwa kupachikwa jina la Gentleman, lakini kiukweli kabisa wewe jina lako ni FALLA.

Yaani unataka mwanamke aje ndiyo yeye akwambie anahitaji Sex? kweli leo ndio nimeamini kwamba kuna Wanamume na watoto wa Kiume.

whatever but I know how to play my party.
Ndo nimesema awali kuwa kuna wengine hawataamini,wengine watasema ni hadithi za shigongo,wengine watachangia nonsense like u! But najua humu kuna pumba na mchele so najua pumba ni zipi naachana nazo and then nabeba mchele.
Over.
 
Last edited by a moderator:
Huyo inaonekana ulimwahidi ndoa, sasa hatokupa mpaka mfunge ndoa wakati kuna jamaa atakuwa anajipigia tartiiiibu. Huku kutongozana kwa kuahidiana ndoa huku....!!!
 
Samahani,hata mate hujanyonya au kushika kidogo!!!!?? Kama hujamgusa inaelekea Unampenda vibaya Sanaaaaa
 
whatever but I know how to play my party.
Ndo nimesema awali kuwa kuna wengine hawataamini,wengine watasema ni hadithi za shigongo,wengine watachangia nonsense like u! But najua humu kuna pumba na mchele so najua pumba ni zipi naachana nazo and then nabeba mchele.
Over.
Pumba ndio hizi unazotuletea wewe, lakini kwa taarifa yako hapa hata pumba tunazipembuwa na chuya zitaonekana. unaleta Kid story halafu unaambiwa ukweli unataka kuruka Kimanga!! sasa wewe kama siyo FALLA uitweje?
 
Hii ni pure Shigongo. kwani wewe ulipomwambia akalale kwako ulikuwa una malengo gani?.

Kingine ni kwamba uwezo wako wa kuchombeza ni below 10%, iweje kitu kiko zero distance halafu unagugumia maumivu usiku mzima.

yaani wewe unaona kula mbulunji ndio ujanja?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom