The Industry Senior Member Sep 1, 2012 114 30 Sep 7, 2012 #1 Cha kushangaza warembo ndio wamepewa jukumu la kusukuma....
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Sep 7, 2012 #2 haki sawa we ulitaka nani asukume.
Mwanahisa JF-Expert Member Jun 29, 2012 1,382 510 Sep 7, 2012 #3 Alafu hili watakua wamelipiga petrol iliyochakachuliwa na mafuta taa. Kazi kweli kweli by the time wanafika St Peters jiko la mchina lina afadhali.
Alafu hili watakua wamelipiga petrol iliyochakachuliwa na mafuta taa. Kazi kweli kweli by the time wanafika St Peters jiko la mchina lina afadhali.
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Sep 7, 2012 #4 kama hajui kunyoosha hata sterling na wapo wawili unategemea nini hapo.