Sio CCM wala Upinzani...

Salathiel m.

Senior Member
Mar 12, 2011
185
41
Ili nchi iwe na mabadiliko ni lazima sisi wananchi ndio tubadilike,hata kiingie chama gani madarakani kamwe awawezi leta mabadiliko ikiwa jamii yetu itaendelea kua doro hivi! Inatakiwa ifike wakati kiongozi awe anaogopa kula mali ya umma kwa kuogopa macho ya wananchi! Lakin sasa watu wanajizolea mihela uku wakiamini hakuna wa kumfanya kitu,na kweli wananchi watapga kelele siku 2 tu basi wanahamia kwene mada zingine.we have to change!!!
 
Umenena vyema sana mkuu, nami naimani kama yako.
tatizo letu ni kubwa zaidi ya cdm/ccm. Tunahitaji mabadiliko makubwa ambayo ccm/cdm pekee hawawezi kuyaleta.
MF: angalia suala la sheria ya penshen, sio ccm/cdm waliolikataa, mpaka wananchi walipoanza kupaza sauti ndo zikawaamsha usingizini. Woote tulowatuma mjengone hawakulisemea hili, wakalipitisha bila kuhoji.
Hakika tunahitaji mabadiliko makubwa.
 
Tatizo lililopo ni kwamba hata hao walalamikaji ni walaji pia. Hata mtu anayesimamia mapato ya bomba la kijiji anafanya ufisadi.Kwahito, kiuhalisia watu wengi wanaopigia makelele ufisadi wanafanya hivyo sio kwa sababu hawapendi ufisadi, ila ni kwasababu hawajapata fursa ya kuufanya huo ufisadi.
 
Back
Top Bottom