Sinza inafaa kupewa hadhi ya jiji

sijafulia

Member
Mar 26, 2010
86
2
Hakika kama umepita sinza hutosita kuungana nami
kwamba sasa sinza inaitaji kuitwa jiji la sinza
nimepita kila sehemu imekidhi kila haja ya mtanzania
kwa kila maitaji ya mtanzania....kwa wale wahusika
hapo juu tunaomba sinza ipewe hadhi ya jiji la sinza kama
dar es salaam
natumaini sala na maombi yetu yatasikika
 
Sisimizi akiona kiji-pond atasema ameona bahari. Sio kosa lake, ndio experience yake hiyo..lol
 
Mawazo yako ya kijinga but sitashangaa yakipata
washabiki huko serikalini........hii nchi....anything is possible.........
 
He he!! Labda amesikia habari ya Twin Cities - Minneapolis na St Paul akaona aige.
Sasa sijui Sinza kaiwekaje nje ya Dar wakati ni ka-subset ka Dar.
 
Ni hizo frames na boutique na utitri wa bar na barbershops? Eeeh kama ndio vigezo vyako naelewa; bht mbaya wakuu wa serikali wataimplement this great dea of yours!
 
Nimekaa sinza takriban 15yrs sasa sioni la maana zaidi ya barabara mbovu, mitaa kufurika maji, sewage water barabarani, nyumba mbovu kibao, hizo anazozungumzia mdau nyingine ni za miti zimekarabatiwa tu kwa mbele wakaweka vioo basi jamaa kachanganyikiwa. Sinza hakuna la maana zaidi ya Nyumba kuwa bei kubwa lkn hazina viwango. Kwa vile si mbali na mjini ndoo maana kila mtu mwenye kakipato ka kati anataka akae SINZA, lkn hakuna cha maana kabisaaa siku hizi uswahili kibao tuu. Zile nyumba ambazo miaka ile ta tisini zilikuwa na vyumba viine au vitatu sasa hivi zimegawanywa vyumba viwili viwili na vi master vya kubabia, so pale ambapo ulikuwa unapanga alone sasa mnakuwa wawili. Bado huko uani vimejengwa vijumba vya uani ambapo utakuta watu wawili wanakaa huko. Nyumba moja/kiwanja kimoja utakuta watu wanne wanaishi hapo uswazi mtupu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom