Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,355
Tatizo kuna ndugu zangu hapo wataona kama mawimbi yanaongezeka na kupungua.....
Tatizo kuna ndugu zangu hapo wataona kama mawimbi yanaongezeka na kupungua.....
ukiwa kwenye ndoa unaishi na wanandoa na unapata uzoefu mwingi tu AU VIPI MAMA?...
au wewe ''you are here to critisize?''
watu kwanini mnapenda kuwaprovoke wengine bure tu?sio fair jamani
sio lazima kuchangia kila thread!ukiona vipi vipi unaipotezea tu
hehehehehe!Tatizo kuna ndugu zangu hapo wataona kama mawimbi yanaongezeka na kupungua.....
sasa mama hapo ulipaswa kufikiria mara mbili zaidi
umenifanya niogope kuolewa
Sasa na wewe mbona hujawekamo factor of safety? Unajua ndoa bila factor of safety inapotokea masuala ya infidelity watu wataweza kuuana!!
Teamo leo mbona mnatuwekea ma michoromichoro tu
Hahahahaha! Ngoja nicheke tena kidogo hahahahahahahahaha!
Sinusoidal curve imekuwa translated kwenye malovee? Hahahahahaha! Wahandisi kweli noma...
Sasa hebu tutafsirie na projectile curve kwenye maisha ya ndoa. (Niko bize naandaa makaratasi ya talaka hapa, wapi bht?)
hapo mwanaume lazima amfahamu mwenzie halafu lazima nayeye amsaidie kazi na kulea watoto sio kutafuta infidelity... hivi lini wanaume watakuwa responsible? kwanini mke akizaa watoto yeye ndio ahangaike nao 24 hrs? what about his role as a father?mama anakuwa very busy na wanae kama anao,pia anakuwa bize sana na kazi.
Hapa mwanamume anajikita sana kwenye INFIDELITY
In my four months of marriage i have come to learn that UPEPO-WA-NDOA
is a sinusoidal-curve.
Swali zuri sana sis lakini kama hiyo signature yako unamaanisha basi nadhani utakuwa unajua role ya mwanaume akiwa baba.Mie naona Teamo hujakuwa fair...kwanini uwaombe wanawake wawe wavumilivu zaidi, lazima uvumilivu uwe pande zote mbili ili maisha yawe na balance...
hapo mwanaume lazima amfahamu mwenzie halafu lazima nayeye amsaidie kazi na kulea watoto sio kutafuta infidelity... hivi lini wanaume watakuwa responsible? kwanini mke akizaa watoto yeye ndio ahangaike nao 24 hrs? what about his role as a father?
Kuna mambo unaweza kuvumilia na kuna mambo hayavumiliki....
hehehehe!DW u bet najua ila Teamo (Geoff bwana harusi) ndo kaandika hapo juu... watoto wakizaliwa basi baba anajikita kwenye infidelity; kwasababu yeye anakuwa free sana yani hana kazi kabisa ya kulea.. na mamii avumilie tuu .. hahha kazi kweli kweli kama mambo ndio hivyo...