Sintapiga kura, mpaka mgombea binafsi aruhusiwe

mr who

Member
Mar 22, 2012
76
15
Kupiga kura ni kwa ajili ya kuchangua raisi au mbunge ili aweze kutekeleza majukumu yake kama kiongozi ni jambo nyeti sana,hivyo kuna wagombea wengi wenye sifa za kuwa viongozi lakini kwa kuwa anagombea kupitia chama fulani hawezi kupigiwa kura kwa sababu yupo chama pinzani,au tawala,hivyo wengi wapiga kura tumeweka vyama mbela bila kuangalia uwezo wa mgombea, mfano utakuta chama kimoja kimeweka mgombea mwenye sifa sahihi,na kingine kimeweka mgombea kutokana na umaarufu wake tu, hapo wanavyama wataangalia uchama na wala si uwezo wa mgombea hata kama yupo chama tofauti na kma akienda kuboronga huko inakuwa tabu kwa jamii zima, kutokana na hilo kwangu mimi sipigi kura mpaka mgombea binafsi aruhusiwe.
 
Kupiga kura ni kwa ajili ya kuchangua raisi au mbunge ili
aweze kutekeleza majukumu yake kama kiongozi ni jambo nyeti sana,hivyo
kuna wagombea wengi wenye sifa za kuwa viongozi lakini kwa kuwa
anagombea kupitia chama fulani hawezi kupigiwa kura kwa sababu yupo
chama pinzani,au tawala,hivyo wengi wapiga kura tumeweka vyama mbela
bila kuangalia uwezo wa mgombea, mfano utakuta chama kimoja kimeweka
mgombea mwenye sifa sahihi,na kingine kimeweka mgombea kutokana na
umaarufu wake tu, hapo wanavyama wataangalia uchama na wala si uwezo wa
mgombea hata kama yupo chama tofauti na kma akienda kuboronga huko
inakuwa tabu kwa jamii zima, kutokana na hilo kwangu mimi sipigi kura
mpaka mgombea binafsi aruhusiwe.

tuutumie vizuri mchakato wa kubadili katiba ili kuwe na kipengele cha mgombea binafsi
 
Mtu wa ajabu sana wewe huwezi kufikiria BEYOND YOUR NOSE. Usipopiga kura itakusaidia nini?

Kama mimi ningekuwa wewe, kama hilo takwa la mgombea binafsi halitakuwa limekubaliwa na serikali iliyoko madarakani, Basi Ningekipigia KURA cvama ambacho kingeni hakikishia kitaruhusu MGOMBEA BINAFSI kama kitashika dola.

Uamuzi wako it is LIKE TO PUT THE CART BEFORE THE HORSE, ukitegemea mkokoteni uvute Farasi. Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!
 
Mimi mwenyewe na support mgombea binafsi, ambaye anakuwa hana affiliation na chama, yeye ataangalia maslahi ya nchi tu. Tatizo lakini hata huko marekani wagombea binafsi huwa hawafanikiwi sana.
 
Back
Top Bottom