Wanaukumbi,
Tunaongea ushirikiano kati ya Tanzania na China kila kukicha.
Naomba kujua kampuni ya meli ya Sino-Tanzania Joint Shipping Company ilifia wapi. Je kama bado ipo hai ina faida au la?
Msharika kwenye kampuni hii alikuwa China Ocean Shipping Company (COSCO) - shirika la umma - one of the largest shipping companies in the world.
Au walituacha kwenye mataa?