Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
nimeongeza tena pale juu ila badoOngeza naona vingine bado unavyo haujavimalizia..:eyebrows:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeongeza tena pale juu ila badoOngeza naona vingine bado unavyo haujavimalizia..:eyebrows:
Yes i am a fine lad..i managed to stay single until University,then a certain 'wannabe good girl' showed up and screwed my clean sheet record. So now am waiting for the right one with no intentions of adding another notch to my belt.
Bht tafadhali fafanua hiyo ndoto ya kila mwanamke. . . . ukitaja vigezo vinavyokufanya umwone hivyo ndo tutajua kama ni "every womans dream man" kweli au ni "some
women's dream man."
me single bt opposite sex nipo mod 20's , so kwa sasa vigezo ni hivi kama nimekosea nisahisheni kaka na dada zangu labda nikifika 27
to 30 nitabadilika but i plan to get married at 27
1. awe mkristo lutheran, rc, any other not mlokole
4. awe my best friend than my love ambae tutaangalia mpira pamoja, playing playstation games, dancing kwaito and other stuffs friends do
,
Well nina mengi kusema juu yake bt again I will reserve some for supper...
He upholds high standards of morality
He is very respectifuly
He is very responsible
He is a man of justice
He is very inteligent and knowledgable
He is VERY principled (kuyumbishwa kwake hakuna)
He is very 'naughty' ni ngumu kuwa bored nikiwa naye...he Makes every moment an enjoyable one
He is not MEAN
He loves me for who I am (tough love is what I am talking about here...lol and tha is what I need)
He is has a golden heart
He is very matured
.............................
........,.....................
ntaendelea tolea lijalo.....
I almost thought it was me..lol... maana hizo qualities zinafanana na za kwanguWell nina mengi kusema juu yake bt again I will reserve some for supper...
He upholds high standards of morality
He is very respectifuly
He is very responsible
He is a man of justice
He is very inteligent and knowledgable
He is VERY principled (kuyumbishwa kwake hakuna)
He is very 'naughty' ni ngumu kuwa bored nikiwa naye...he Makes every moment an enjoyable one
He is not MEAN
He loves me for who I am (tough love is what I am talking about here...lol and tha is what I need)
He is has a golden heart
He is very matured
.............................
........,.....................
ntaendelea tolea lijalo.....
Nashindwa kuliongelea kwa mapana kwa sbb tayari nipo ndani ya ndoa, ila ingetokea nafasi nyingine awe mcha Mungu,Anipende/nimpende na awe naakili zote yaani za darasani na za maisha kuliko mimi,awe na influence katika kichwa changu yaani wakati mwingine aweze kuniongoza (kiroho,kimwili n.k). mwenye uwezo wa kujicontrol akili na mwili wake sipendi watu wanao toka nje ya ndoa/mahusiano yao nawachukia hata kama hawanifanyii mimi.
Ahsante MK. .. Ila naomba niulize kwanini ulokole ni tatizo?
Alafu namba nne naona kama umeweka interest zako tu, je utakua tayari kushiriki zake?
My dia Lizzy,Una mpango wa kuoa/kuolewa?
Kama jibu ni HAPANA . . kwanini?
Kama ni NDIO. . . je ni VIGEZO gani ambavyo vikifikiwa na mkaka/mdada utashawishika/penda kuingia ndoani?
Na ni MASHARTI (usichukulie neno masharti kwa uzito wake, namaanisha vitu ambavyo ni muhimu kuzingatiwa) gani ambayo yakizingatiwa unaamini ndoa yako itadumu?
Thanks Lizzy but i wish i could have this chance twice ..................ooooh no it has already gone.Anyway tell me,i know in normal circumstances it is possible but emotionally,honestly am done.Or may be advise me otherwise.
Vinginevyo asante kwa thready
Dada lizzy ulokole wana imani za ajabu anaweza akarudi nyumbani ghafla akasema kupika ni kufuga mapepo si unajua makanisa yana mengi siku hizi, au ghafla akapotea kwenda porini kumpokea mwokozi, nazani ulisikia yale ya airport watu walioenda kutaka kusafiri kwenda kuhubiri injili bila ticket wala viza,
Kuhusu interest zake as long as we are friends nitashare na zake, but ziwe na respect to manhood, i like to have fun and being happy so kila jambo linalotupa furaha wote, i mean mutual benefits nitajoin but isiwe kucheza taarabu...
hii kali jamani ahahaaaaaaaaaaaaaaaaadada lizzy ulokole wana imani za ajabu anaweza akarudi nyumbani ghafla akasema kupika ni kufuga mapepo si unajua makanisa yana mengi siku hizi, au ghafla akapotea kwenda porini kumpokea mwokozi, nazani ulisikia yale ya airport watu walioenda kutaka kusafiri kwenda kuhubiri injili bila ticket wala viza,
kuhusu interest zake as long as we are friends nitashare na zake, but ziwe na respect to manhood, i like to have fun and being happy so kila jambo linalotupa furaha wote, i mean mutual benefits nitajoin but isiwe kucheza taarabu...
My dia Lizzy,
Dah!hii ya leo kali ila salama lol!
kwa upande wangu ni hv:
Jibu: Ni NDIO
sababu/vigezo;
*He is a real Man,means ni mwanaume sio Mvulana
*Ni matured enough 30-35
*Mkristo mchamungu
*Ananipenda km nilivyo
*Ni mwelewa
NB,nashukuru mungu ndie nilienae na ametimiza vigezo mpaka vya ziada na tunasubiri mapenzi ya mungu yatimie kwetu.
My kinda guy. . .just like my gentleman!! lolz
Nwy thank you mwaya. . . ila unajua wapo wanawake ambao mwanaume wa ndoto zao baadhi ya hizo sifa?Pamoja na kwamba vigezo vyote hapo ni "TOP NOTCH" bado wapo watu wasioona umuhimu wake.
I almost thought it was me..lol... maana hizo qualities zinafanana na za kwangu