Single Boy!!

Ah, Lady Jaydee, nyimbo zake nyingi mtu wa kulalamika tu. Anyway kwa vile amemshirikisha Ali Kiba, ngoja tusikilize kwanza.
 
good combination...
wacha nile bata...na hizi zilizopo...ntaanza nao jtatuuu...
 
TF umekuwa publicist wa Ali Kiba siku hizi?

Mi nilijuwa kuwa hatimaye umekuwa singo tukutafutie kitu
 
hehehe hii kitu wee acha tu. Yaani imepangwa halaf imetulia

Kumbe ni kichwa kinamuuma, keshalewa, anajipoza na maaji.
Na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza my melodi
Nishamwambia niiini wewee, ukipenda sana utakuwa chizii
Hayanaga mjuuuzi yale, kila mtu analilia mapenziii

Karibu chama la bachelaa, ukinipendaa, namaliza leo leo tu
Siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana ishakuwa poa poa tu
Hakunaga mapenzi yaleee, ya kugandana ni zama za kalee
Money on the table yeah oh yeeh, kinachofata ni mimi na wewee na wewe.


Who is a single boy? I am a single boy ..........


hehehe Jaydee wa JF amalizie Verse ya Pili
 
Ali kiba mmbana pua hata simfagilii wala nn!! ........
MP.
 
Japo simkubali sana lakini Ali kiba kanifurahisha kwene video ya nai nai
 
Hivi kwenye hii sredi kuna single lady?naomba swali isipuuzwe,ijibiwe
 
Back
Top Bottom