Singaporean Company tangled in Energy Scandal in Tanzania

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,927
One of the biggest port management firm from Singapore Portek International is embroiled in an energy scandal that has been brewing in Tanzania for almost five years now. Portek Systems and Instruments Limited of Singapore, a subsidiary of Portek International owns 54 percent (other sources claims 39 percent) of common shares in Dowans Tanzania Limited.

According to various sources and Tanzanian government officials PSI Ltd has been part of the infamous energy contract inherited from Richmond Development Company. Together with Dowans S.A of Costa Rica, Portek Systems and Instruments was and is still part of a new energy firm solely created in the beginning to inherit the Richmond contract which was entered few months before.

Richmond Development Company of Houston in USA was later found to have entered illegally an energy contract with TANESCO - a public utility firm in Tanzania. The Parliament of Tanzania established a Select Committee led by a constitutional scholar Dr. Harrison Mwakyembe to investigate the Richmond Contract in 2007 to determine the legality of the Richmond/Tanesco contract to provide power generators during the energy crisis of 2006.

The findings of the select commitee implicated former Premier Edward Lowassa as well as other cabinet members and a popular Chama cha Mapinduzi MP and Election Manager for Kikwete's campaign in 2005 Mr. Rostam Aziz. ...... ....
 
No Stone Should be Left Unturned, Until we Come Up With Something...... Na wahusika wazitoe Hizo Billions Which We are About to Pay...
 
Mkuu, kwa hiyo Dowans iliundwa ili kurithi Richmond? Hili andiko latoka wapi mkuu na liliandikwa lini?
 
Hivi WanaJamvi mpaka sasa from this Documents za Mwanakijiji na Invisible... What have we concluded?, are we any nearer seeing the light at the end of this Tanesco Tunnel?
 
Mkuu VOR.. yaani kuna documents nyingi mpaka kichwa kinauma.. ukichanganya na research inayoendelea... basi data zinazidi.. ila inaonekana kama news article na si court report ndo maana nilifikiri labda ni news ..
 
Mkuu VOR.. yaani kuna documents nyingi mpaka kichwa kinauma.. ukichanganya na research inayoendelea... basi data zinazidi.. ila inaonekana kama news article na si court report ndo maana nilifikiri labda ni news ..

Ngoja tumsubiri mwenyewe arudi atuambia ameandika chini kwamba; "Still editing" ngoja tumsubiri kwa hamu atuambie... hakuna kulala mpaka kieleweke... wewe research yako vipi je umepata any more evidences..
 
Mkuu, kwa hiyo Dowans iliundwa ili kurithi Richmond? Hili andiko latoka wapi mkuu na liliandikwa lini?

obvious, absolutely, very clear, no dought, no questions, on that Richmond = Dowans, it inherited Richmond property without any contract
wakati hiyo contract imevunjwa na Bunge, funny enough eti Dowans wakaingia wakaendelea kuwa na mkataba na Tanesco, how..? why..?
when..!!!? usishangae unamjua Idrissa Rashid, pure & simple alikuwa Fisadi mwenzao, jibu umepata, Amigos, ciao
 
Well, tena nimekumbuka itabidi nilifanyie kazi kama wiki mbili zilizopita nilikuwa naangalia One of the National Geographic channel wakonyesha jamaa indonesia wameanzisha wikiliki yao. Especially made for Indonesian scandals. Ntaitafuta hiyo site.
 
Well, tena nimekumbuka itabidi nilifanyie kazi kama wiki mbili zilizopita nilikuwa naangalia One of the National Geographic channel wakonyesha jamaa indonesia wameanzisha wikiliki yao. Especially made for Indonesian scandals. Ntaitafuta hiyo site.

poa every little helps...
 
Yea inaitwa Indoleaks.org (contacts: indoleaks@gmail.com), kuna haja ya kupanua mjadala ntakusanya info za hiyo Portek na the so called activities zake in Tanzania. Sema sasa hao jamaa wanafanya mambo yao kwa lugha yao. Anywayz the boss that dayh was being interviewed in English.
 
yes. Kabla ya hapo hakujawahi kuwepo kampuni ya Dowans duniani.

And yet waziri wetu anasimama bila kuogopa kusisitiza kwamba lazima tuwalipe Dowans. Na kama kuna kitu kimeniudhi katika mjadala huu ni pale ambapo sheria ndiyo imetumika kama justification ya kwa nini hatutakiwi kuhoji lolote kuhusu Dowans. MM pls pm me kuna jambo nataka tulonge.
 
yes. Kabla ya hapo hakujawahi kuwepo kampuni ya Dowans duniani.

Very interesting twist. Now Indonesia comes into the equation. So funny owners wa Richmond walikuwa kama ghosts na wa Dowans ni watu wa 'kusadikika' na waziri ametuzuga, naona kanzi kameamua kufunuafunua, na sasa kameona kitu Indonesia. Let kanzi kaendelee na kazi.
 
Pia unaweza google Portek na ukifika home page ya Portel which has HQTRs in Singapore, then nenda straight kwenye investors relation,
hii kampuni haisemi kama inafanya biashara TZ, ila hapo hapo ndio unakuta hii scandal MMJ aliyetupa, thanks MM
 
Na hata huyo the so called owner (A canadian) kuna haja ya kumlipua kwenye media za huko!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom