Singa singa na ring tone

Edmond

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
359
54
Singa singa usiku kucha anajamba ovyo ovyo kwa kila aina ya sauti booboo!,shishhhh nk,mkewe akamuuliza una nini leo mwenzangu?, akajibu natafuta ringtone ya makario yangu!!!, cheka uongeze siku za kuishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom