Sinema ya Kitanzania ''MAANGAMIZI' yazidi kutambulika ulimwenguni

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
  • Lazima kuheshimu wahenga zetu kwa matambiko
  • uzungu wako acha hukohuko Marekani

Starring: Barbarao, Amadina Lihamba na Samahani Kejeri
Movie: Maangamizi - The Ancient One
 
Last edited by a moderator:
Inazidi kutambulika kivipi? Mbona hujaelezea? Na uzuri wake ni nini hasa, maana nimekua nikisikia hii ni moja ya movie nzuri sana kutoka TZ. Asante kwa kuitundika!
 
Back
Top Bottom