Sina raha

kama ni rafiki yako wa karibu na anamjua mumeo,akakupa cm yake akijua amemsave vp mumeo, ujue alikuwa anakupa ujumbe kimyakimya.
Ungemuuliza imekuaje namba ya mumeo kamsave kama mpz? Na mumeo alivyopokea na kukuita mpz ungemuuliza. Kwa sasa kupata ushahidi ni ngumu
 
Simu yake haiguswi, labda kama nataka ugomvi wiki nzima. Huyo rafiki hata simtaki tena. Nadhani sina hata haja ya kumjulisha najua, atajua mwenyewe baadae.

hataki uiguse anajua ana vimeo.
Usiposimama kidete watakucheza shere hao,maradhi mengi dada,keti na mumeo mzungumze. Na mashosti achana nao. Sasa najua kwa nini wazee walisema ukiolewa vunja ushoga na wanawake ambao hawajaolewa,mambo yenyewe ndo kama hv. . .
 
Kuongea ni muhimu ila asiongei nae kwa lengo la kutafuta ukweli maana amesha ujua. Amwambie tu kua amesha jua kinacho endelea, na achukue muda wa kufikiria upya hiyo ndoa.

I've always thought that, Katika hali kama hii mtu anaweza kujua akiwa na uhakika (or almost) pale tu atakapokuwa ameona reaction za wahusika baada ya kuwajulisha anachojua. Kwa hiyo, nafikiri ni bora aendelee kuwa na open-mind ingawa uwezekano wa mume wake kutokuwa na uhusiano wa nje ni mdogo sana. Uko sahihi kabisa unapomshauri afikirie, lakini afanye hivyo baada ya kuwa na zungumzo na mumeye, ili aweze kufikiria akizingatia namna ambavyo mume wake ali-react na maelezo aliyotoa.
 
I've always thought that, Katika hali kama hii mtu anaweza kujua akiwa na uhakika (or almost) pale tu atakapokuwa ameona reaction za wahusika baada ya kuwajulisha anachojua. Kwa hiyo, nafikiri ni bora aendelee kuwa na open-mind ingawa uwezekano wa mume wake kutokuwa na uhusiano wa nje ni mdogo sana. Uko sahihi kabisa unapomshauri afikirie, lakini afanye hivyo baada ya kuwa na zungumzo na mumeye, ili aweze kufikiria akizingatia namna ambavyo mume wake ali-react na maelezo aliyotoa.
Ni mawazo mazuri pia. Kwa kweli uhusiano upo, na hapo nadhani hakuna ubishi. Ila akiongea nae ataweza kufafanua mambo kadhaa. Kwanza atajua kama ni uhusiano wa muda mrefu au wa siku chache (hii itamsaidia kumjua mume wake. kama ni wa siku nyingi basi huenda kuna mengine mengi anamficha), pia ataweza kugundua nia ya mume. tunaweza kumshahuri kumsamehe mume kumbe yeye mwenyewe alitaka kumfukuza mke wake. Bira amuulize ana nia gani sasa. Alafu pia sometimes mtu kuonekana anajuta makosa yake na kuyakiri kunaweza kumsaidia mtoa mada kuchukua uamuzi haraka.
Aongee nae tu, alafu ajipe muda wa kupoza hasira kabla ya kuchukua maamuzi. no need to rush.
 
mianaume ndivo tulivyo by... Mwambie tu ajue kuwa unamjua siku nyingi ila sasa umechoka..kukaa kimya yeye anaendelea kufanya hayo...mwanaume mwenye akili atastuka na kujirekebisha au kujipanga upya yote yanawezekana.
 
@NN
You can't be an actor.
Hasira iko wazi sana katika maandishi yako
na nadhani umetaharuki kuwa huyu dada bado anataka ushauri gani wakati kaona mwenyewe.
Better the old NN.
 
Una akili kama mchwa, ulifanya jambo la busara kutomuuliza
Mke hagombani na kimada wa mumewe
Kaongee na mmeo, na ukabe hadi penati kuanzia sasa.

Kuwa na rafiki kama huyo huhitaji adui.
Kongosho, ni kweli mke hagombani na kimada wa mumewe lakini kama kimada mwenyewe ni mtu ambaye ni rafiki yangu!! Nitagombana naye tu kwa sababu alipotongozwa alijua fika kuwa huyu ni mume wangu mie na hapaswi, si kwa kuwa ni mume wa mtu tu, bali kwa kuwa ni mume wa rafiki yake! So alikuwa anajua alichokifanya na pengine yeye ndo aliyemseduce!

Sina ubavu wa kugombana ila ningejiforwardia zile sms kwenye simu yangu halafu nikawa ninamtumia moja baada ya nyingine mpaka aconfess au abadili namba!
 
@NN
You can't be an actor.
Hasira iko wazi sana katika maandishi yako
na nadhani umetaharuki kuwa huyu dada bado anataka ushauri gani wakati kaona mwenyewe.
Better the old NN.
Sarcasm ni namna nyingine nzuri tu ya kufikisha ujumbe.
 
Pole sn mamito,uckurupuke kumvaa mumeo,kusanya ushahidi wa kutosha ndio uongee na mumeo na umwonyeshe ushahidi,haina haja ya kugombana na huyo shosti kwan hapo mwenye matatizo ni mumeo,kwan angekuwa na busara hata km shost angemtega acngetegeka!ongea na mumeo na onyesha mcmamo na kumtaka atumie kondom na mkomalie kbs mpaka ajue hujapenda alichofanya.
 
Huyo shost mpotezee coz ni mbaya sn,yani alikupa hiyo akijua anakufikishia ujumbe kuwa anatoka na mmeo,jaman anasahau na yy ni mwanamke pia?achana nae na ushost ufe,ndio maan ctaki mashoga cjui shost watu wabaya sn,angrrrrrr!
 
Pole, ila kesi yako kidogo nyepesi kwani una ushahidi wa mambo , na kama waswahili wasemavyo kikulacho kinguoni mwako.ila inaonekana una moyo wa subira na uvumilivu kwani mtu mwingine angesha mwaga mboga hapo, alichokifanya mumeo sio jambo la busara hata kidogo kama kuna mapungufu kutoka kwako alipaswa kukuweka chini na kukueleza mkarekebishana japo inawezekana pia hakuna anachokikosa kwako ila ni uendawazimu wake tu.
Nini chakufanya sasa.
Mweke chini mume wako ninyi wawili mzungumze si kwa ugomvi jaribu kutulia kabisa, umweleze the whole issue na kwamba umeshajua kinachoendelea baina yake na huyo rafikiyo, lakini pia jaribu kumuuliza kama angejisikia vema wewe kufanya alichokifanya yeye, zungumzeni muyamalize kwa amani kuachana sio solution, kama ni mume mwelewe atakuelewa lakini pia tumia staha ya kike katika kuzungumza nae, zungumza toka moyoni, akileta kiburi shirikisha wazazi.

Kwa rafikiyo huyo nae, ukishamalizana na mume wako mkayamaliza nae mwite siku moja kwa lunch nyumbani kwako wakati mumeo hayupo mweleze ulichokigundua lakini pia mweleze jinsi ulivyojisikia na jinsi gani hukupendezwa na tukio hilo najua ni vigumu ku control emotions sometimes ila jaribu utaweza, ila inategemea pia ni rafikiyo kwa level gani, siwezi kuandika kila neno ila naamini mtayamaliza kwa amani, wala huna haja ya kuanzisha vurumai mpaka majirani wakajua kinachoendelea.

Sio kwamba natetea uovu walio ufanya HAPANA; ila tumia busara kumaliza tatizo atakuheshimu kama ni mwanaume kweli na utaona mabadiliko, ILA KATIKA YOTE HAYO MTANGULIZE MUNGU:

Bye.
 
Ushauri wangu KAA mbali na simu ya mwenza wako au rafiki yako ni mapresha matupu hasa mwapo kwenye mahusiano
 
Huyo shost mpotezee coz ni mbaya sn,yani alikupa hiyo akijua anakufikishia ujumbe kuwa anatoka na mmeo,jaman anasahau na yy ni mwanamke pia?achana nae na ushost ufe,ndio maan ctaki mashoga cjui shost watu wabaya sn,angrrrrrr!

Labda huwa wanafanya ule uwestern, rafiki anajiachia na mume kadri awezavyo!! Rafiki anajua kila kona ya chumba chenu mnacholala na anaingia bila wasi, rafiki anabaki na mume nyumbani kwako na we unaelekea kwenye shughuli zako eti pasi na wasi kabisa, kila mara wanakumbatiana na kupigana mabusu kwa kisingizio cha ushemeji, we hustuki tu!!! Rafiki anajidai kukusaidia kupika mara kwa mara tena hasa akiwepo mumeo, istoshe anakufungia kanga moko ndembe ndembe ndo anaingia jiko.......inahuu?? Muogope kama ukoma!! Heheh rafiki anajua kila stori yenu ya mahaba na anajua kila apendacho mumeo kuanzia msosi mpaka kwenye maongezi.......duh why asikunyongee ilhali na we huna mipaka nae?? Mazoea yawe na limit kwakweli!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom