Sina raha

YN AMKALISHE CHINI WAONGEE HALAFU AMSAMEHE!? kirahisirahisi hivyo? NACHUKIA SANA MFUMO DUME, ingekua ni huyo dada amegundulika anamahusiano na rafiki wa mume wake mumewe angemsamehe kirahisi hivyo?

Ndo hivyo Da'Angel Msoffe...au wewe unadhani Da'Misguided achukue hatua gani?
 
Una akili kama mchwa, ulifanya jambo la busara kutomuuliza
Mke hagombani na kimada wa mumewe
Kaongee na mmeo, na ukabe hadi penati kuanzia sasa.

Kuwa na rafiki kama huyo huhitaji adui.
Niambie pakuanzia basi mwenzangu.

Timtim asante.
 
Ndugu yangu kama unakifua cha kusamehe kabisa na ukasahau ni vyema ufanye hivyo, mungu atakusaidia.
 
mnh ndoa hizi unaweza kufa na presha hivi hivi kimya kimya...watu wasijue kilichokuua.....mie nakushauri uwe unaanza kumnunulia mumeo condom wakati wa kuduu naye atumie akilkuuliza kwa nini mwambie umejua yeye si muaminifu,halafu muache kama ana adabu ataacha afanyayo na kurudi kwako....kama hana ataendelea lakini wewe utakuwa safe,nasema haya kwa sababu nahisi umeshindwa kufanya maamuzi ya kuondoka kama wanawake wengi wanavyoshindwa......mie kwangu infidelity ni deal breaker.....nikigundua umecheat naondoka nikuache ufanye utakayo.bi dada nahisi kuondoka huwezi/umeshindwa labda kwa vile una mtoto mdogo na bado unadepend kwa huyo mume cha kufanya at least play safe usije kuondoka duniani bure.
 
Mambo Nee?

Hebu mtafutie Misguided mzungu bana
 
YN AMKALISHE CHINI WAONGEE HALAFU AMSAMEHE!? kirahisirahisi hivyo? NACHUKIA SANA MFUMO DUME, ingekua ni huyo dada amegundulika anamahusiano na rafiki wa mume wake mumewe angemsamehe kirahisi hivyo?

Ingekuwa ni mke kafanya hivyo ungesikia wanasema........PIGA CHINI FASTA HUYO!!! Lol
 
Ndo hivyo Da'Angel Msoffe...au wewe unadhani Da'Misguided achukue hatua gani?
AWEKE SURA YA KAZI, huyo mume km alitaka kufanya ubazazi wake bora angefanyia mbali na mtu wa mbali ili mkewe asijue, kutembea na rafiki wa mke wake ni dharau, unyanyasaji na uongevu mkubwa, NASHAURI ADHABU KALI ZICHUKULIWE DHIDI YAKE!
 
Mumeo anakuruhusu kushika simu yake?
Kama unaweza zipata hizo meseji kwa mumeo afu ujirushie kama unataka ushahidi.
Halafu uongee na mumeo ukiwa na ushahidi

Lakini hata kama huna ushahidi bado ongea na mmeo.

huyo dada mpotezee kata mawasiliano naye. Ila siku akikutafuta waka kuliko kifaru aliyejeruhiwa
Mweleze yooote unayoyafahamu, na vunja urafiki kabisa

Niambie pakuanzia basi mwenzangu.

Timtim asante.
 
Pole sana, mueleze mumeo aelewe kwamba umejua na pia mueleze na rafiki yako.kukaa kimya hakukusaidii,ila kutakuaribia ndoa,usichoke kumuambia mumeo juu ya uaminifu ktk ndoa,asije kukuletea ukimwi bure.
 
Ina mana huyo rafiki hamfahamu mumeo au? Manake amesubutuje kukupa simu umpigie mumeo ilhali anajua amemsevu mpenzi?au ndio kusema hakujua unapiga kwa nani? Ila anajiamini sana! Una moyo wa uvumilivu sana, mimi ningeanguka kwa presha....sijui nikoje lakini sijajaliwa huo moyo jamani... Kazungumze na mumeo, pole sana asee!
 
Da'Angel Msoffe mbona uko mkali sana? Ushawahi kutendwa nini?
KWENYE SWALA LA UZINZI SINA MSAMAHA NA M2, HATA MY MUME ANALIJUA HVY KM ANAFANYA UCHAFU WAKE ANAUFANYIA MBALI SN NA SIJAWAH KUMFUMA WL KUSIKIA, ha mi siwezi kumpenda m2 kwa moyo wangu wote hlf akanidhalilisha!
 
AWEKE SURA YA KAZI, huyo mume km alitaka kufanya ubazazi wake bora angefanyia mbali na mtu wa mbali ili mkewe asijue, kutembea na rafiki wa mke wake ni dharau, unyanyasaji na uongevu mkubwa, NASHAURI ADHABU KALI ZICHUKULIWE DHIDI YAKE!

Hmmmm mkareee wewe
 
mnh ndoa hizi unaweza kufa na presha hivi hivi kimya kimya...watu wasijue kilichokuua.....mie nakushauri uwe unaanza kumnunulia mumeo condom wakati wa kuduu naye atumie akilkuuliza kwa nini mwambie umejua yeye si muaminifu,halafu muache kama ana adabu ataacha afanyayo na kurudi kwako....kama hana ataendelea lakini wewe utakuwa safe,nasema haya kwa sababu nahisi umeshindwa kufanya maamuzi ya kuondoka kama wanawake wengi wanavyoshindwa......mie kwangu infidelity ni deal breaker.....nikigundua umecheat naondoka nikuache ufanye utakayo.bi dada nahisi kuondoka huwezi/umeshindwa labda kwa vile una mtoto mdogo na bado unadepend kwa huyo mume cha kufanya at least play safe usije kuondoka duniani bure.
Asante Neema.
Kuhusiana nae kimwili siwezi kwakweli,kulala nae tu naona tabu.Ila ntajitahidi nimweleze kwamba najua soon.
 
Mumeo anakuruhusu kushika simu yake?
Kama unaweza zipata hizo meseji kwa mumeo afu ujirushie kama unataka ushahidi.
Halafu uongee na mumeo ukiwa na ushahidi

Lakini hata kama huna ushahidi bado ongea na mmeo.

huyo dada mpotezee kata mawasiliano naye. Ila siku akikutafuta waka kuliko kifaru aliyejeruhiwa
Mweleze yooote unayoyafahamu, na vunja urafiki kabisa
Simu yake haiguswi, labda kama nataka ugomvi wiki nzima. Huyo rafiki hata simtaki tena. Nadhani sina hata haja ya kumjulisha najua, atajua mwenyewe baadae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom